Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo Dubai tunatekeleza ushauri wakoNakubaliana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo kuwa Mkataba wa Bandari siyo MSAHAFU na ikiwezekana kama kuna mapungufu yasahihishwe.
Mimi nawashauri CCM wasione aibu hata kama mkataba ulikwisha sainiwa warudi kwa hao Waarabu na kuwapigia magoti kuhusu dosari zilizopo kwenye mkatabana zisahihishwe.
Suala hili la Bandari litakuja kuigharimu CCM wasipochukua tahadhari mapema. Ni jambo lisilopingika kuwa Mkataba una dosari na ni vema hizo dosari zikarekebishwa mapema.
Mkuu nipo huku namanyere,mwimbi,ulumi ndani huku nlishangaa watu wanasema huyu mama ameuza bandari zoteHasa walikua wanakaza matako ili iweje? Wangesema hivo mapema kelele zingetoka wapi? Ilikua ni kukubali tena ilikua wawapange wabunge ionekane wamesimamia maslahi ya nchi na serikali ingepewa muda kwenda kurekebisha dosari halafu wakirekebisha bunge liangalie na lishauri wala wasingefanya taharuki zote hizo hadi vijijini watu hawataki kuelewa kitu
Upo kazini kulaza akili za watu?Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa.
Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025.
CCM, kwa mtaji wa ukakasi wa suala la Bandari, kaeni mguu sawa kung'olewa!
Suala la Bandari linajadiliwa kwa marefu na mapana kila kona ya nchi. Maandamano ya vyama vya upinzani yameshaanza mikoani kupinga suala zima la ubinafsishaji/uuzwaji/ukodishaji, au hata kuigawa bure Bandari yetu na nyingine Tanzania. Tukubali tusikubali, serikali ya CCM imeingia mkenge mkubwa...www.jamiiforums.com
Suala la Bandari na DP World CCM ililichukua kirahisi rahisi ikifikiri watu ni wakuelekezwa kibla bila upinzani wowote.
Ambacho CCM imegundua ni kwamba hata ndani ya CCM na serikali yake , mambo si shwari.
Wazee kama Mama Tibaijuka, Waziri Mkuu Mstaafu Warioba(mwanasheria) na wasomi kama Prof Shivji (mwanasheria), wameonya juu ya mapungufu ya mkataba wa Bandari na DP World kwa kitaalamu kabisa.
Baada ya Mkataba huo kupitishwa Bungeni na kutetewa na viongozi wandamizi kama Spika Tulia, bado moto uliendelea kujichochea kwa malalamiko juu ya mkataba huu.
Mbaya zaidi ni wanaharakati kama Wakili Mwabukusi na "banyambala" wa huko Mbeya walioli challenge sual zima la mkataba kwa kulipeleka Mahakamani.
Sasa CCM imeamka usingizi wa pono!
Hawawatumi tena vibaka wa kisiasa, kina Kitenge, Zembwela na Hando kutetea Bandari saga.
Sasa Chongolo Katibu Mkuu mwenyewe ni kiguu na njia kulielezea suala la Bandari nchi nzima.
Huko Mwanza, Chongolo sasa anasema;
"Mkataba huu siyo msahafu wala biblia kusema kuwa hauna dosari, kwani umeandikwa na binadamu"
Anaendelea Chongolo:
"...aliitaka serikali kufanya marekebisho katika maeneo yenye tija katika mkataa huo wa uwekezaji na kuhakikisha yanafanyiwa kazi haraka ili utekelezaji uanze haraka"
Ref Nipashe pg 1, pg 2(31/07/2023).
Hiki ndio watanzania walitaka kisikike kutoka CCM, kuwa;
- kwanza, kuna mkataba ulioingiwa kinyemela,
-pili, mkataba huo una makosa,
-tatu,mkataba huo urekebishwa
-na nne , uwekezaji uendlee kwa kutilia maanani maslahi ya Taifa
Kwa Chongolo kukubali kuwa kulikuwa na makosa, basi tusonge mbele, wenye akili watajua binafsi nani aliteleza.
Unarekebisha kitu/jambo lililokosewa kwa bahati mbaya au kwa kutojua.Dhamira ya mkataba haikuwa nzuri na hilo lipo wazi,
Kulekebisha ili kuendelea na muwekezaji huyo huyo si jambo zuri pia,
Mkataba usiwepo kabisaaa kama ni muwekezaji awe mwingine..
Sijui kama huko CCM kwa sasa hivi kuna yeyote anayelitambua hili.DP World inabidi wafuate masharti ya nchi yetu kibiashara.
etc na si kina MSANDO wachumia Tumbo ambaye amezoea kusaini mikataba ya kupiga show za giggy money na Mapromota mkataba wa page moja tu.
Wishful thinking. Pipedreaming. Ni hadithi ya fisi kunyemelea mkono wa binadamu akifikiri utadondoka. The cup is half full tuendelee unaweza lusema pia the cup is half empty tuache.Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa.
Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025.
CCM, kwa mtaji wa ukakasi wa suala la Bandari, kaeni mguu sawa kung'olewa!
Suala la Bandari linajadiliwa kwa marefu na mapana kila kona ya nchi. Maandamano ya vyama vya upinzani yameshaanza mikoani kupinga suala zima la ubinafsishaji/uuzwaji/ukodishaji, au hata kuigawa bure Bandari yetu na nyingine Tanzania. Tukubali tusikubali, serikali ya CCM imeingia mkenge mkubwa...www.jamiiforums.com
Suala la Bandari na DP World CCM ililichukua kirahisi rahisi ikifikiri watu ni wakuelekezwa kibla bila upinzani wowote.
Ambacho CCM imegundua ni kwamba hata ndani ya CCM na serikali yake , mambo si shwari.
Wazee kama Mama Tibaijuka, Waziri Mkuu Mstaafu Warioba(mwanasheria) na wasomi kama Prof Shivji (mwanasheria), wameonya juu ya mapungufu ya mkataba wa Bandari na DP World kwa kitaalamu kabisa.
Baada ya Mkataba huo kupitishwa Bungeni na kutetewa na viongozi wandamizi kama Spika Tulia, bado moto uliendelea kujichochea kwa malalamiko juu ya mkataba huu.
Mbaya zaidi ni wanaharakati kama Wakili Mwabukusi na "banyambala" wa huko Mbeya walioli challenge sual zima la mkataba kwa kulipeleka Mahakamani.
Sasa CCM imeamka usingizi wa pono!
Hawawatumi tena vibaka wa kisiasa, kina Kitenge, Zembwela na Hando kutetea Bandari saga.
Sasa Chongolo Katibu Mkuu mwenyewe ni kiguu na njia kulielezea suala la Bandari nchi nzima.
Huko Mwanza, Chongolo sasa anasema;
"Mkataba huu siyo msahafu wala biblia kusema kuwa hauna dosari, kwani umeandikwa na binadamu"
Anaendelea Chongolo:
"...aliitaka serikali kufanya marekebisho katika maeneo yenye tija katika mkataa huo wa uwekezaji na kuhakikisha yanafanyiwa kazi haraka ili utekelezaji uanze haraka"
Ref Nipashe pg 1, pg 2(31/07/2023).
Hiki ndio watanzania walitaka kisikike kutoka CCM, kuwa;
- kwanza, kuna mkataba ulioingiwa kinyemela,
-pili, mkataba huo una makosa,
-tatu,mkataba huo urekebishwa
-na nne , uwekezaji uendlee kwa kutilia maanani maslahi ya Taifa
Kwa Chongolo kukubali kuwa kulikuwa na makosa, basi tusonge mbele, wenye akili watajua binafsi nani aliteleza.
Sure hakuna mtu anakataa uwekezaji isipokuwa yale mapungufu yarekebishwe vizuri
Jidu la Mabambasi,Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa.

Kwa sasa nafikiri CCM wameona hofu ya wananchi.Jidu la Mabambasi,
CCM walipoteza nafasi adhimu Tangu day one. Walichokomalia mpaka wakakataa kukiri kosa ni kudhani Kwa vile kulikuwa na saini ya Mwenyekiti wao akimwamuru Waziri Mbarawa asaini mkataba basi ingeonekana Mwenyekiti ni dhaifu. Kwa hiyo wakaamua kujitosa kama walivyo bila tahadhari yoyote. Miongoni mwa watu waliokuwa na hofu ya kasoro zilizomo kwenye mkataba ni Wasira, lakini Kwa unafiki akaahidiwa posho akasaliti nafsi yake na Watanganyika wenzake.
Mkuu soma tu alama za nyakati.Sijui kama huko CCM kwa sasa hivi kuna yeyote anayelitambua hili.
Nashangaa kidogo, sijui wewe hili umeliokota wapi mkuu, 'Jidu'?
Nina mashaka makubwa kama kweli unayaamini maneno yako hayo!
Kweli kabisa maana hatuna wataalamu wazuriNa kama kutakuwa na mabadiliko kwenye huo mkataba ni lazima yawekwe wazi ili wananchi wakubaliane nayo na sio kufanya kisirisiri kama safari za nje anazofanya Samia!
Tutaendelea kubisha hivyohivyo hadi Mwenyekiti aongee. Sisi huwa tunasikiliza neno la Mwenyekiti.Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa.
Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025.
CCM, kwa mtaji wa ukakasi wa suala la Bandari, kaeni mguu sawa kung'olewa!
Suala la Bandari linajadiliwa kwa marefu na mapana kila kona ya nchi. Maandamano ya vyama vya upinzani yameshaanza mikoani kupinga suala zima la ubinafsishaji/uuzwaji/ukodishaji, au hata kuigawa bure Bandari yetu na nyingine Tanzania. Tukubali tusikubali, serikali ya CCM imeingia mkenge mkubwa...www.jamiiforums.com
Suala la Bandari na DP World CCM ililichukua kirahisi rahisi ikifikiri watu ni wakuelekezwa kibla bila upinzani wowote.
Ambacho CCM imegundua ni kwamba hata ndani ya CCM na serikali yake , mambo si shwari.
Wazee kama Mama Tibaijuka, Waziri Mkuu Mstaafu Warioba(mwanasheria) na wasomi kama Prof Shivji (mwanasheria), wameonya juu ya mapungufu ya mkataba wa Bandari na DP World kwa kitaalamu kabisa.
Baada ya Mkataba huo kupitishwa Bungeni na kutetewa na viongozi wandamizi kama Spika Tulia, bado moto uliendelea kujichochea kwa malalamiko juu ya mkataba huu.
Mbaya zaidi ni wanaharakati kama Wakili Mwabukusi na "banyambala" wa huko Mbeya walioli challenge sual zima la mkataba kwa kulipeleka Mahakamani.
Sasa CCM imeamka usingizi wa pono!
Hawawatumi tena vibaka wa kisiasa, kina Kitenge, Zembwela na Hando kutetea Bandari saga.
Sasa Chongolo Katibu Mkuu mwenyewe ni kiguu na njia kulielezea suala la Bandari nchi nzima.
Huko Mwanza, Chongolo sasa anasema;
"Mkataba huu siyo msahafu wala biblia kusema kuwa hauna dosari, kwani umeandikwa na binadamu"
Anaendelea Chongolo:
"...aliitaka serikali kufanya marekebisho katika maeneo yenye tija katika mkataa huo wa uwekezaji na kuhakikisha yanafanyiwa kazi haraka ili utekelezaji uanze haraka"
Ref Nipashe pg 1, pg 2(31/07/2023).
Hiki ndio watanzania walitaka kisikike kutoka CCM, kuwa;
- kwanza, kuna mkataba ulioingiwa kinyemela,
-pili, mkataba huo una makosa,
-tatu,mkataba huo urekebishwa
-na nne , uwekezaji uendlee kwa kutilia maanani maslahi ya Taifa
Kwa Chongolo kukubali kuwa kulikuwa na makosa, basi tusonge mbele, wenye akili watajua binafsi nani aliteleza.
bila kuwa na sheria inayoadhibu wanaosaini mikataba ya hovyo au kuisaini bila kuisoma kwanza, wachkliwe hatua za kisheria/nidhamu, itabidi bajeti za kila mwk ziwe na fungu la fidia ya mamikataba mabovu. mm naamini wanaosaini wanajua athari za hizo saini zao lakini tamaa za fedha zimetamalaki. ungeweza kupata a/c zao za mabenki ungejua kw nn nchi imefkishwa hapo na kw nn wazalendo wanateseka. mafixadi wanatutesaTanzania imeshindwa kesi ya makinikia yapigwa faini ya TShs Billion 800
Daadeki! Shamba la bibi kizee hili! Tusipokuwa waangalifu na kufuata utaratibu tutashtwakiwa; haya sasa.