GE2025 CCM sio chama kirahisi hivyo kwenye suala la Dola

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
kwamba swala la ukombozi ilikua agenda ya OUA πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , unalewa ukiwa pande gan

..unaifahamu Kamati ya Ukombozi ya OAU ya Nchi za Kusini mwa Afrika?

..unawafahamu Balozi George Magombe, na Brigedia Jenerali Hashim Mbita?

..Unazifahamu Nchi zilizokuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa kusini mwa Afrika?

..Tulishiriki kama WATANZANIA / NCHI.

Cc Nguruvi3
 
sio historia ccm ni chama kikubwa kuliko vyote afrika taarifa zipo
Sikumbuki upuuzi huu umeurudia humu mara ngapi. Hivi huchoki hata kuendelea kuamini jambo ambalo ni kiini macho? Huo wingi wa watu wasaka fursa zinazopatikana ndani ya chama na serikali ndizo zinazokupa matumaini juu ya uhai wa chama?
 
ukiaangalia hio post nmeweka link ya vyama vikubwa duniani na ccm imewekwa #10 sasa kama hutaak ukwel basi wewe ishi kwenye nadharia yako
 
Kwa hiyo maana yako ya "ubepari" ni unyang'anyi? Uliona wapi hali ya namna hiyo popote duniani?
Biblia inasema "Mwenye nacho huongezewa, na aasiekua na kitu ata kidogo chake nacho kinachukuliwa" mwisho wa kunukuu
 
gen z hawakuwepo wakati huo sasa hivi genz washajua maandamano ya amani hayaleti matoke mwisho wa siku huishia kuumizwa vibaya na polisi siku hizi gen z ni kuchoma bunge , choma Mali za viongozi
 
gen z hawakuwepo wakati huo sasa hivi genz washajua maandamano ya amani hayaleti matoke mwisho wa siku huishia kuumizwa vibaya na polisi siku hizi gen z ni kuchoma bunge , choma Mali za viongozi
unawajua wakina kinjitikile? mangi meli? mkwawa..?
 
..kuiita Ccm chama cha ukombozi na kukiweka kundi moja kundi moja na Zanu, Swapo, Anc, Mpla, etc ni utapeli wa kihistoria.

..Tanu, Asp, na Ccm, hawakumwaga damu ili uhuru wa Tanganyika na Zanzibar upatikane, kiasi cha kuhalalisha wawe kundi moja na vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika.

..Kwa ujumla, damu nyingi zaidi ya Watanganyika imemwagika kutokana na harakati za kudai demokrasia ya kweli, kuliko kipindi cha kudai uhuru toka kwa Muingereza.

Cc Nguruvi3
 
Hivi kipi kina washinda kuwa kama CPV au CPC sijali mtakaa madarakani muda gani nacho jali basi muwe na akili kama wenzenu CPC na CPV

Hivi unaona mahali Vietnam na Chi a zilipo na zinapoenda ?
 
Hivi kipi kina washinda kuwa kama CPV au CPC sijali mtakaa madarakani muda gani nacho jali basi muwe na akili kama wenzenu CPC na CPV

Hivi unaona mahali Vietnam na Chi a zilipo na zinapoenda ?
ukisema hakuna upinzani unajua vurugu wanaloleta wakina wapinzani
 
Hivi kipi kina washinda kuwa kama CPV au CPC sijali mtakaa madarakani muda gani nacho jali basi muwe na akili kama wenzenu CPC na CPV

Hivi unaona mahali Vietnam na Chi a zilipo na zinapoenda ?
history sio msaafu wa mambo yajayo ata ivo kila mtu hupokea outcomes kutokana na matendo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…