CCM Sio tena chama cha siasa, tusijidangaye kuwa itatoka madarakani kwa amani

TIETA

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
1,201
Reaction score
3,345
CCM kama chama cha siasa kilishakufa siku nyingi sana. Sasa hivi ni genge wa wahuni wamejivika mamvuli wa chama cha siasa. Lakini ni typical group la wahuni na wezi.

Sijawahi kuona mwizi ana ambiwa tu acha kuiba na akaacha. CCM ni wezi hawako tayari kuacha wizi kwa mazungumzo. Hiyo tusahau.

Mambo yafuatayo lazima yafanyike kumlazimisha mwizi aache tabia ya kuiba. (Kumbuka wahuni wanatumia sana fedha kushawishi)

1. Nguvu lazima itumike kufanya aache tabia ya wizi. Nguvu ya umma inahitajika sana to bring CCM down into 'its knees'

2. Mashinikizo ya nguvu sana kutoka international communities inahitajika mno
 
nonsense 🐒
 
Hakuna mwizi ambaye huwa anaachishwa kwa kubembelezwa. Angalia kashfa zote za mikataba mibovu na rasilimali zinazouzwa kila siku, wanajua fika wakitoka madarakani ni jela inawahusu. Ndio maana by any means necessary watang'ang'ania hapo hapo na sisi tutakomaa nao mpaka tuwang'oe!
 
Yaani inabidi tukomae kweli kweli la sivyo tutauzwa. CHADEMA na wananchi wazalendo inabidi waelewa kuwa, we are not dealing with a political party. Tunadeal na drug cartels under the umbrella of political party.
 
CCM kama chama cha siasa kilishakufa siku nyingi sana. Sasa hivi ni genge wa wahuni wamejivika mamvuli wa chama cha siasa. Lakini ni typical group la wahuni na wezi.

Sijawahi kuona mwizi ana ambiwa tu acha kuiba na akaacha. CCM ni wezi hawako tayari kuacha wizi kwa mazungumzo. Hiyo tusahau.

Mambo yafuatayo lazima yafanyike kumlazimisha mwizi aache tabia ya kuiba. (Kumbuka wahuni wanatumia sana fedha kushawishi)

1. Nguvu lazima itumike kufanya aache tabia ya wizi. Nguvu ya umma inahitajika sana to bring CCM down into 'its knees'

2. Mashinikizo ya nguvu sana kutoka international communities inahitajika mno
Swadakta, serikali ya CCM ni kikundi cha kigaidi. Hakuna wana-siasa pale
 
CCM kama chama cha siasa kilishakufa siku nyingi sana. Sasa hivi ni genge wa wahuni wamejivika mamvuli wa chama cha siasa. Lakini ni typical group la wahuni na wezi.

Sijawahi kuona mwizi ana ambiwa tu acha kuiba na akaacha. CCM ni wezi hawako tayari kuacha wizi kwa mazungumzo. Hiyo tusahau.

Mambo yafuatayo lazima yafanyike kumlazimisha mwizi aache tabia ya kuiba. (Kumbuka wahuni wanatumia sana fedha kushawishi)

1. Nguvu lazima itumike kufanya aache tabia ya wizi. Nguvu ya umma inahitajika sana to bring CCM down into 'its knees'

2. Mashinikizo ya nguvu sana kutoka international communities inahitajika mno
"Ili Tanzania Ipone, ni Lazima CCM Ife".

Kwa hiyo shida ipo hapo kwenye "kufa" bila ya kuuliwa; na hata yenyewe kwa kutumia hivyo vyombo walivyovinunua kutumika kuua.

Lakini umma wa waTanzania wakishaamua, hakuna kinachoweza kushindikana.
CCM ni lazima ife, vinginevyo, Tanzania haiendi popote kimaendeleo.
 
Kwa hiyo hapo Tz. mwenge ni muhimu kuliko binadamu?

Kikundi cha majambazi na waporaji
Kwani watapanda vipi ngazi ya vyeo bila kujionyesha kwa wakubwa wao kwa maonyesho kama hayo.

Wewe unafikiri akina Mafwele walifika hapo walipo kwa njia zipi?

Kwenye shughuli kama hiyo ya mwenge, ndiyo viwanda vya kutengeneza watu waovu kabisa.
Maana halisi ya zoezi hilo la mwenge wameligeuza na kulifanya kuwa la aibu kubwa.
 
Cha mafisadi watekaji wanyanyasaji waroho WAUAJI YOTE HAYO ILI WABAKI MADARAKANI
 
Back
Top Bottom