nonsense 🐒CCM kama chama cha siasa kilishakufa siku nyingi sana. Sasa hivi ni genge wa wahuni wamejivika mamvuli wa chama cha siasa. Lakini ni typical group la wahuni na wezi.
Sijawahi kuona mwizi ana ambiwa tu acha kuiba na akaacha. CCM ni wezi hawako tayari kuacha wizi kwa mazungumzo. Hiyo tusahau.
Mambo yafuatayo lazima yafanyike kumlazimisha mwizi aache tabia ya kuiba. (Kumbuka wahuni wanatumia sana fedha kushawishi)
1. Nguvu lazima itumike kufanya aache tabia ya wizi. Nguvu ya umma inahitajika sana to bring CCM down into 'its knees'
2. Mashinikizo ya nguvu sana kutoka international communities inahitajika mno
Wewe ni kibaraka/mtumwa wa wezi!nonsense 🐒
Yaani inabidi tukomae kweli kweli la sivyo tutauzwa. CHADEMA na wananchi wazalendo inabidi waelewa kuwa, we are not dealing with a political party. Tunadeal na drug cartels under the umbrella of political party.Hakuna mwizi ambaye huwa anaachishwa kwa kubembelezwa. Angalia kashfa zote za mikataba mibovu na rasilimali zinazouzwa kila siku, wanajua fika wakitoka madarakani ni jela inawahusu. Ndio maana by any means necessary watang'ang'ania hapo hapo na sisi tutakomaa nao mpaka tuwang'oe!
Ni haki yako kusema nonsense kwa sababu wewe ni mmoja wapo.nonsense 🐒
Swadakta, serikali ya CCM ni kikundi cha kigaidi. Hakuna wana-siasa paleCCM kama chama cha siasa kilishakufa siku nyingi sana. Sasa hivi ni genge wa wahuni wamejivika mamvuli wa chama cha siasa. Lakini ni typical group la wahuni na wezi.
Sijawahi kuona mwizi ana ambiwa tu acha kuiba na akaacha. CCM ni wezi hawako tayari kuacha wizi kwa mazungumzo. Hiyo tusahau.
Mambo yafuatayo lazima yafanyike kumlazimisha mwizi aache tabia ya kuiba. (Kumbuka wahuni wanatumia sana fedha kushawishi)
1. Nguvu lazima itumike kufanya aache tabia ya wizi. Nguvu ya umma inahitajika sana to bring CCM down into 'its knees'
2. Mashinikizo ya nguvu sana kutoka international communities inahitajika mno
"Ili Tanzania Ipone, ni Lazima CCM Ife".CCM kama chama cha siasa kilishakufa siku nyingi sana. Sasa hivi ni genge wa wahuni wamejivika mamvuli wa chama cha siasa. Lakini ni typical group la wahuni na wezi.
Sijawahi kuona mwizi ana ambiwa tu acha kuiba na akaacha. CCM ni wezi hawako tayari kuacha wizi kwa mazungumzo. Hiyo tusahau.
Mambo yafuatayo lazima yafanyike kumlazimisha mwizi aache tabia ya kuiba. (Kumbuka wahuni wanatumia sana fedha kushawishi)
1. Nguvu lazima itumike kufanya aache tabia ya wizi. Nguvu ya umma inahitajika sana to bring CCM down into 'its knees'
2. Mashinikizo ya nguvu sana kutoka international communities inahitajika mno
Kwani watapanda vipi ngazi ya vyeo bila kujionyesha kwa wakubwa wao kwa maonyesho kama hayo.Kwa hiyo hapo Tz. mwenge ni muhimu kuliko binadamu?
Kikundi cha majambazi na waporaji