CCM imepoteza mvuto kabisa na sasa kimekuwa sio tena chama cha siasa. Ni kikundi cha watu wahuni. Ndio maana unaona wanavamia na kuiba mali za CHADEMA. Wanateka, wanaua na hata sasa eti wanajaribu kuwaonga mabeberu!! Hayo mambo sio siasa kabisa. HAYO MAMBO NI UHUNI
Na hata watu ambao bado wanasapoti CCM ni kwamba wanafaidika na huo uhuni wao.
Sasa mjue kwamba kuwatoa wahuni lazima nguvu za umma zitumie sio rahisi eti kufanya maridhiano na wahuni. Na ninasema hapa kwa ujasili kabisa tukishindwa kuandamana 7/7 basi mjue wahuni watafanya uhuni wa kutisha sana.