- Thread starter
- #21
Lazima itaondoka tu. Na wanalijua hilo ndo maana sasa hivi hawapigi siasa. Kazi yao kubwa ni kuiba sare za CHADEMA, Kuvunja vizimba vya CHADEMA, kusema mambo ya uongo dhidi ya CHADEMA na viongozi wao, kuwabambikia kesi za uongo. etc.CCM itake isitake itaondoka madalakani Tena kwa aibu hata vibaraka wao watakimbia huko kusikojulikana
Huwezi kuwasikia wanajibu hoja za kisiasa wanazotoa CHADEMA, kama ishu za barabara, ishu za wakulima, ishu za haki, usawa, elimu, rushwa etc. CHAMA CHA SIASA KINATAKIWA KUJIBU HOJA HIZO SIO KUVUNJA VIZIMBA.