Mafia huenenda kwa misingi na mahesabu makali.CCM ni primitives wakuitwa IINTERAHAMWE!Tena ni genge la mauaji kama la MAFIA.
Ndio chama hovyo kuwahi kutokea kwasasa!Mafia huenenda kwa misingi na mahesabu makali.CCM ni primitives wakuitwa IINTERAHAMWE!
KabisaCCM imepoteza mvuto kabisa na sasa kimekuwa sio tena chama cha siasa. Ni kikundi cha watu wahuni. Ndio maana unaona wanavamia na kuiba mali za CHADEMA. Wanateka, wanaua na hata sasa eti wanajaribu kuwaonga mabeberu!! Hayo mambo sio siasa kabisa. HAYO MAMBO NI UHUNI
Na hata watu ambao bado wanasapoti CCM ni kwamba wanafaidika na huo uhuni wao.
Sasa mjue kwamba kuwatoa wahuni lazima nguvu za umma zitumie sio rahisi eti kufanya maridhiano na wahuni. Na ninasema hapa kwa ujasili kabisa tukishindwa kuandamana 7/7 basi mjue wahuni watafanya uhuni wa kutisha sana.
Wote waliomo mule ni aidha wapate maslahi ya ulinzi katika uhalifu,ushirika wa wizi wa mali za umma,sifa za hovyohovyo na kujinasibisha na muundo wa genge la serikali haramu/kupewa madaraka.Ndio chama hovyo kuwahi kutokea kwasasa!
Haitakuwa rahisi sana, anguko la ccm ni anguko la wengi na ni anguko la vingi.. Wengi wanatafakari yatakayowapata baada ya angukomuda sio muda, anguko kubwa kutoka!
Ni kweli ila anguko lipo pale pale. Zama zimebadilika!Haitakuwa rahisi sana, anguko la ccm ni anguko la wengi na ni anguko la vingi.. Wengi wanatafakari yatakayowapata baada ya anguko
Kuna mataifa ya nje pia ni wafaidikaji wakubwa hawa nao hawako tayati kuona ccm inakufa
Yap. Si rahisi sana lakini itaanguka tu.Haitakuwa rahisi sana, anguko la ccm ni anguko la wengi na ni anguko la vingi.. Wengi wanatafakari yatakayowapata baada ya anguko
Kuna mataifa ya nje pia ni wafaidikaji wakubwa hawa nao hawako tayati kuona ccm inakufa
Ogopa sana mshamba anapofanya ya kihuni.
madarakani.
Mifano angalia na muangalie Bashite na Madelu!
CCM imepoteza mvuto kabisa na sasa kimekuwa sio tena chama cha siasa. Ni kikundi cha watu wahuni. Ndio maana unaona wanavamia na kuiba mali za CHADEMA. Wanateka, wanaua na hata sasa eti wanajaribu kuwaonga mabeberu!! Hayo mambo sio siasa kabisa. HAYO MAMBO NI UHUNI