Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Yaani CCM walivyopaniki na kuanza kutukana katika kampeni zao ni wa kuonea huruma. Tena wasimfananishe Lissu na Dr Slaa au LOWASSA, haya yote ni makali ya CCM. Lissu ni mpinzani halisi ambaye hata siku moja hawezi kuisema vizuri CCM wala mgombea wake.
Kuamini kua CCM wengi wao hawatumii akili zao vizuri, maskini hawajui kwamba sasa Lissu anamsema Magufuli kama mgombea wa CCM na siyo Rais.Mkitaka Magufuli asisemwe mwambieni aachane na kampeni ajitoe kwenye kugombea Urais.
Kwa bahati nzuri vyombo vyetu vya dola viongozi wake wengi ni wasomi, kwahiyo wameiacha ngoma ichezwe na wanasiasa na wanajua madhara ya kuingilia kati siasa.
Ninachokiona kwa sasa ni kwamba CCM inaendeshwa na watu wasio na uzoefu katika siasa labda umtoe mzee Mangula na Dkt Shein. Hawa wengine ni ilimradi liende tu.
Tambueni kwamba Tundu Lissu anaijua sana lugha ya sheria, kila neno anenalo halimtoki kwa bahati mbaya. Anajua kuwatega CCM na ni mjanja kweli kweli, akiwatenga wanaingia wazima wazima wanajikuta wanacheza midundo yake.
CCM mmekali kuelezea mambo ambayo yameshafanyika kwa miaka mitano iliyopita na yote mpaka sasa hayajakamilika hata kwa 50%.Watu wanataka kusikia vitu vipya, wamechoka na sinema zenu.