PreGE2025 CCM tambueni ya kuwa CHADEMA ni joka kubwa lenye vichwa vingi.. Ukikata kimoja vinachipua vingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA
Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm

Hivi kweli mpaka Leo ccm inashindwa kujua kwamba
CHADEMA sio TLP?
CHADEMA sio CUF?
CHADEMA sio NCCR- MAGEUZI?

Wanadhani na wanajiongopea kwamba kwakuwa walifanikiwa kuvi difuse hivyo vyama hapo juu basi wataweza kwa CHADEMA

CHADEMA ni chama kibeba maono ya Taifa la Tanganyika.. CHADEMA NI MPANGO KAMILI WA MUNGU kuliokoa taifa la Tanganyika..!

Huku wakikiyumbisha chama kwa kuwashawishi viongozi wa mikoa mbalimbali kuondoka CHADEMA.. huko mikoani mikutano ya NO REFORMS NO ELECTION chini ya Heche na timu yake inazidi kupata uungwaji mkono na wananchi wa kawaida

Hatuoni wananchi wakisusia mikutano ya no reforms no election kwakuwa tu viongozi wao wa ngazi za chini na za kati wanakihama chama..kinachoendelea na kinachotokea ccm hawaamini kabisa macho yao.. Wanebaki na press conference za kupangq huku wakichekwq na kudharauliwa na hata wana ccm wenzao wenye akili
Hivi wanashindwa kutambua kabisa kwamba CHADEMA imeshavuka level za kuwa chama cha viongozi na wanachama wachache?

Hivi wanashindwa kabisa kujua kwamba CHADEMA ina mashina lukuki kwa maelfu kiasi kwamba ukikata mmea kwenye shina moja inachipua mingine kumi?
CHADEMA kwa sasa ni imani

CHADEMA kwa sasa ni tumaini
CHADEMA kwa sasa ni furaha, ni faraja na ni mwanga wa taa kwenye giza totoro liitwalo ccm!

Wananchi wanaihitaji CHADEMA iwe mvua liwe jua kuliko viongozi wenye bei wanaonunulika.. Ndio maana kuhama kwao sio mjadala na wala wananchi hawastuki

CHADEMA ni joka kubwa lenye vichwa vingi.. Ukikata kimoja vinachipua vingine... com ni mti wa mkafiri ukiushika tu unaishia kukunukia na kukutia nuksi😂
 
Amen mkuu✊🏾👊🏿

#NRNE:
 
Kabisa ni dude kubwaaa
 
Bila chadema tungekuwa nchi ya Kichawa na kujidanganya kwamba tuna haki! Tushukuru Mungu kwa hiki chama
 
sure gentleman,
Chadema ni joka la kibisa lililopoteza uelekeo wa kisiasa nchini 🐒
 
Na wewe Jo unajihesabu katika wenye akili timamu nawe umo!?😂😂😂
Ndio sababu haka kamchezo anakocheza Mjumbe wa kudumu wa Kamati kuu ya Chadema nakafuatilia kwa umakini mkubwa

Asubuhi Upendo Tv ya KKKT kulikuwa na Mjadala wa Hatma ya Chadema nikastaajabu sana

Huu mchezo hauna tofauti na mabilioni ya Kuunga juhudi uliochezwa na Mwamba mwenyewe ft Slowly 😂😂

Usiku saizi nakutakia Kuwanga kwema usidondoke na Ungo 😂😂😂🇹🇿
 
Mkuu ukituliza kichwa utajua kuwa shida haipo kwa hao kijani na njano, ila shida ipo kwa hao blue na nyekundu wanaohama na waliobaki. Kama wanahama kwa mapenzi yao, jua kuwa ndani ya chama kuna jambo halipo sawa, na kuendelea kumlaumu adui bila kutafuta ufumbuzi wa kwanini wanahama ni sawa kumpa mseto mgonjwa wa UTI.
Kama wanahama kwa kushawishiwa na pengine kwa kuhongwa kwa kodi zetu, basi jua kuwa watu wa blue na nyekundu wanahongeka hata waliobaki ni either haijaingia ofa nzuri au nafasi walizo nazo bado wana maslahi nazo.
Amini kwamba kila mtu ananunulika ila wanatofautiana dau tu. Kama blue na nyekundu wanataka kusimama imara ni lazima kwanza kuhakikisha umoja ndani ya chama, hao wanaotoka wanaenda kuuza ramani ya vita kwa adui.

Binafsi sijawahi kumwamini mwanasiasa, eti apige makelele kutetea umma, sijawahi amini hilo, wanafanya hivyo kwa sababu hio ni kazi waliyoichagu na ndio inayoleta ugali mezani, ila si kwamba wanahuo msimamo. Ipo mifano miingi ya watu waliokua shupavu kabisa ndani ya blue na nyekundu, ila ugali ulipotaka kumwagika, loyalty ya chama yote iliisha wakachagua ugali, wengine walipewa ubalozi nk.
 
Bila chadema tungekuwa nchi ya Kichawa na kujidanganya kwamba tuna haki! Tushukuru Mungu kwa hiki chama
Amen ✊🏾👊🏿

Bila chadema tungekuwa tunabubujikwa na machozi kama Cc Lucas Mwashambwa 😁😁
 
Back
Top Bottom