Wewe nawe ubongo wako umechanganyika na kamasi .Hata TLP,CUF na NCCR ziliwahi kuwa kama Chadema na Chadema ni Zao la Matokeo ya kazi za CUF,NCCR na TLP.Huo ndio msingi wa Kuelewa Siasa za nchi yetu sio kushabikia tu.
Joka walilofuga limewageuka.Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA
Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm
Hivi kweli mpaka Leo ccm inashindwa kujua kwamba
CHADEMA sio TLP?
CHADEMA sio CUF?
CHADEMA sio NCCR- MAGEUZI?
Wanadhani na wanajiongopea kwamba kwakuwa walifanikiwa kuvi difuse hivyo vyama hapo juu basi wataweza kwa CHADEMA
CHADEMA ni chama kibeba maono ya Taifa la Tanganyika.. CHADEMA NI MPANGO KAMILI WA MUNGU kuliokoa taifa la Tanganyika..!
Huku wakikiyumbisha chama kwa kuwashawishi viongozi wa mikoa mbalimbali kuondoka CHADEMA.. huko mikoani mikutano ya NO REFORMS NO ELECTION chini ya Heche na timu yake inazidi kupata uungwaji mkono na wananchi wa kawaida
Hatuoni wananchi wakisusia mikutano ya no reforms no election kwakuwa tu viongozi wao wa ngazi za chini na za kati wanakihama chama..kinachoendelea na kinachotokea ccm hawaamini kabisa macho yao.. Wanebaki na press conference za kupangq huku wakichekwq na kudharauliwa na hata wana ccm wenzao wenye akili
Hivi wanashindwa kutambua kabisa kwamba CHADEMA imeshavuka level za kuwa chama cha viongozi na wanachama wachache?
Hivi wanashindwa kabisa kujua kwamba CHADEMA ina mashina lukuki kwa maelfu kiasi kwamba ukikata mmea kwenye shina moja inachipua mingine kumi?
CHADEMA kwa sasa ni imani
CHADEMA kwa sasa ni tumaini
CHADEMA kwa sasa ni furaha, ni faraja na ni mwanga wa taa kwenye giza totoro liitwalo ccm!
Wananchi wanaihitaji CHADEMA iwe mvua liwe jua kuliko viongozi wenye bei wanaonunulika.. Ndio maana kuhama kwao sio mjadala na wala wananchi hawastuki
CHADEMA ni joka kubwa lenye vichwa vingi.. Ukikata kimoja vinachipua vingine... com ni mti wa mkafiri ukiushika tu unaishia kukunukia na kukutia nuksi😂
Sasa wanachama wa CHADEMA watakosaje kwenye mikutano yetu mkuu? Sema hivi,sisi ata tukikosea ua atupo tayari kukubali kua ili tumeenda chaka baya.Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA
Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm
Hivi kweli mpaka Leo ccm inashindwa kujua kwamba
CHADEMA sio TLP?
CHADEMA sio CUF?
CHADEMA sio NCCR- MAGEUZI?
Wanadhani na wanajiongopea kwamba kwakuwa walifanikiwa kuvi difuse hivyo vyama hapo juu basi wataweza kwa CHADEMA
CHADEMA ni chama kibeba maono ya Taifa la Tanganyika.. CHADEMA NI MPANGO KAMILI WA MUNGU kuliokoa taifa la Tanganyika..!
Huku wakikiyumbisha chama kwa kuwashawishi viongozi wa mikoa mbalimbali kuondoka CHADEMA.. huko mikoani mikutano ya NO REFORMS NO ELECTION chini ya Heche na timu yake inazidi kupata uungwaji mkono na wananchi wa kawaida
Hatuoni wananchi wakisusia mikutano ya no reforms no election kwakuwa tu viongozi wao wa ngazi za chini na za kati wanakihama chama..kinachoendelea na kinachotokea ccm hawaamini kabisa macho yao.. Wanebaki na press conference za kupangq huku wakichekwq na kudharauliwa na hata wana ccm wenzao wenye akili
Hivi wanashindwa kutambua kabisa kwamba CHADEMA imeshavuka level za kuwa chama cha viongozi na wanachama wachache?
Hivi wanashindwa kabisa kujua kwamba CHADEMA ina mashina lukuki kwa maelfu kiasi kwamba ukikata mmea kwenye shina moja inachipua mingine kumi?
CHADEMA kwa sasa ni imani
CHADEMA kwa sasa ni tumaini
CHADEMA kwa sasa ni furaha, ni faraja na ni mwanga wa taa kwenye giza totoro liitwalo ccm!
Wananchi wanaihitaji CHADEMA iwe mvua liwe jua kuliko viongozi wenye bei wanaonunulika.. Ndio maana kuhama kwao sio mjadala na wala wananchi hawastuki
CHADEMA ni joka kubwa lenye vichwa vingi.. Ukikata kimoja vinachipua vingine... com ni mti wa mkafiri ukiushika tu unaishia kukunukia na kukutia nuksi😂
Ni muhimu pia ujue unapovuna mpunga,ni lazima hili upate chakula kizuri,uondoe pumba,mawe nk nk,,hivyo lazima hayo yatokee ili ubaki mchele unaotakiwa,kwahiyo wanaondoka kwa kuwa hawataki shida na mateso yanayotoka nje ya chama chao, hao hawana upendo na chama chao,hawataki kuvumilia misuko suko.,wako radhi kuwasaliti wenzao,hivyo bora waende waendako.Mkuu ukituliza kichwa utajua kuwa shida haipo kwa hao kijani na njano, ila shida ipo kwa hao blue na nyekundu wanaohama na waliobaki. Kama wanahama kwa mapenzi yao, jua kuwa ndani ya chama kuna jambo halipo sawa, na kuendelea kumlaumu adui bila kutafuta ufumbuzi wa kwanini wanahama ni sawa kumpa mseto mgonjwa wa UTI.
Kama wanahama kwa kushawishiwa na pengine kwa kuhongwa kwa kodi zetu, basi jua kuwa watu wa blue na nyekundu wanahongeka hata waliobaki ni either haijaingia ofa nzuri au nafasi walizo nazo bado wana maslahi nazo.
Amini kwamba kila mtu ananunulika ila wanatofautiana dau tu. Kama blue na nyekundu wanataka kusimama imara ni lazima kwanza kuhakikisha umoja ndani ya chama, hao wanaotoka wanaenda kuuza ramani ya vita kwa adui.
Binafsi sijawahi kumwamini mwanasiasa, eti apige makelele kutetea umma, sijawahi amini hilo, wanafanya hivyo kwa sababu hio ni kazi waliyoichagu na ndio inayoleta ugali mezani, ila si kwamba wanahuo msimamo. Ipo mifano miingi ya watu waliokua shupavu kabisa ndani ya blue na nyekundu, ila ugali ulipotaka kumwagika, loyalty ya chama yote iliisha wakachagua ugali, wengine walipewa ubalozi nk.
Ukishasikia neno la Kristo ndio utaamini au kutoamini ndio sababu Islam wanamuhubiri sana Yesu Kristo wakimwita Nabii IssaVipi waislam, wahindu, wabudha, wayahudi, washinto, watao nk? Hao hawana imani kwa kuwa kusikia kwao hakutokani na neno la Kristo? Wewe Yohani wewe!
Kwani wewe pimbi unalipwa kiasi gani? Umejaa uzandiki .Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA
Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm
Hivi kweli mpaka Leo ccm inashindwa kujua kwamba
CHADEMA sio TLP?
CHADEMA sio CUF?
CHADEMA sio NCCR- MAGEUZI?
Wanadhani na wanajiongopea kwamba kwakuwa walifanikiwa kuvi difuse hivyo vyama hapo juu basi wataweza kwa CHADEMA
CHADEMA ni chama kibeba maono ya Taifa la Tanganyika.. CHADEMA NI MPANGO KAMILI WA MUNGU kuliokoa taifa la Tanganyika..!
Huku wakikiyumbisha chama kwa kuwashawishi viongozi wa mikoa mbalimbali kuondoka CHADEMA.. huko mikoani mikutano ya NO REFORMS NO ELECTION chini ya Heche na timu yake inazidi kupata uungwaji mkono na wananchi wa kawaida
Hatuoni wananchi wakisusia mikutano ya no reforms no election kwakuwa tu viongozi wao wa ngazi za chini na za kati wanakihama chama..kinachoendelea na kinachotokea ccm hawaamini kabisa macho yao.. Wanebaki na press conference za kupangq huku wakichekwq na kudharauliwa na hata wana ccm wenzao wenye akili
Hivi wanashindwa kutambua kabisa kwamba CHADEMA imeshavuka level za kuwa chama cha viongozi na wanachama wachache?
Hivi wanashindwa kabisa kujua kwamba CHADEMA ina mashina lukuki kwa maelfu kiasi kwamba ukikata mmea kwenye shina moja inachipua mingine kumi?
CHADEMA kwa sasa ni imani
CHADEMA kwa sasa ni tumaini
CHADEMA kwa sasa ni furaha, ni faraja na ni mwanga wa taa kwenye giza totoro liitwalo ccm!
Wananchi wanaihitaji CHADEMA iwe mvua liwe jua kuliko viongozi wenye bei wanaonunulika.. Ndio maana kuhama kwao sio mjadala na wala wananchi hawastuki
CHADEMA ni joka kubwa lenye vichwa vingi.. Ukikata kimoja vinachipua vingine... com ni mti wa mkafiri ukiushika tu unaishia kukunukia na kukutia nuksi😂
Huyo jamaa bado hajui siasa ni nini,anadhani siasa ni hisia.Muda utamfundisha vizuri.Mkuu ukituliza kichwa utajua kuwa shida haipo kwa hao kijani na njano, ila shida ipo kwa hao blue na nyekundu wanaohama na waliobaki. Kama wanahama kwa mapenzi yao, jua kuwa ndani ya chama kuna jambo halipo sawa, na kuendelea kumlaumu adui bila kutafuta ufumbuzi wa kwanini wanahama ni sawa kumpa mseto mgonjwa wa UTI.
Kama wanahama kwa kushawishiwa na pengine kwa kuhongwa kwa kodi zetu, basi jua kuwa watu wa blue na nyekundu wanahongeka hata waliobaki ni either haijaingia ofa nzuri au nafasi walizo nazo bado wana maslahi nazo.
Amini kwamba kila mtu ananunulika ila wanatofautiana dau tu. Kama blue na nyekundu wanataka kusimama imara ni lazima kwanza kuhakikisha umoja ndani ya chama, hao wanaotoka wanaenda kuuza ramani ya vita kwa adui.
Binafsi sijawahi kumwamini mwanasiasa, eti apige makelele kutetea umma, sijawahi amini hilo, wanafanya hivyo kwa sababu hio ni kazi waliyoichagu na ndio inayoleta ugali mezani, ila si kwamba wanahuo msimamo. Ipo mifano miingi ya watu waliokua shupavu kabisa ndani ya blue na nyekundu, ila ugali ulipotaka kumwagika, loyalty ya chama yote iliisha wakachagua ugali, wengine walipewa ubalozi nk.
Upo sahihi kiongozi. Hoja yangu ipo kwenye kukosekana kwa loyalty ya kweli kwa wanachama. Hata wewe unaonekana loyal kwa sababu hujawekewa dau la size yako kuondoa hio loyalty yako kwa chama. Jambo la pili ni pengine viongozi wa juu kuna mahala wanakosea approach ya namna wanavyo tekeleza azima yao. Mkuu uongozi ni kuunganisha watu, sio kuwatawanya, ni kuwafanya waamini kuwa nikisema maji risasi itageuka maji. Wakikuamini watakua obedient, obedience inatengeza loyaty. Akili inapaswa kutulia kwanza, kuona namna sahihi ya kufanya. Kuendelea kutumia nguvu huku kondoo wakitawanyika, na kujiaminisha eti bahari inajisafisha ni kuendelea kujikaanga wenyewe tu.Ni muhimu pia ujue unapovuna mpunga,ni lazima hili upate chakula kizuri,uondoe pumba,mawe nk nk,,hivyo lazima hayo yatokee ili ubaki mchele unaotakiwa,kwahiyo wanaondoka kwa kuwa hawataki shida na mateso yanayotoka nje ya chama chao, hao hawana upendo na chama chao,hawataki kuvumilia misuko suko.,wako radhi kuwasaliti wenzao,hivyo bora waende waendako.
kwa umri wake naamini anajua siasa ni nini, ila anaweka ukweli mfukoni na kuandika ushabikiHuyo jamaa bado hajui siasa ni nini,anadhani siasa ni hisia.Muda utamfundisha vizuri.
Na kila atakayejaribu kuiua Chadema atakufa yeye tena atakufa kibuduKwa hatua iliyofikia Chadema ni kama jini limeshatoka kwenye chupa, wamechelewa sana wangefanya hivi miaka 20 iliyopita kwa sasa wakubali tu matokeo kuwa Chadema ni Taasisi na Chadema ni Imani hivyo siyo rahisi kuiua. Wangetafakari tu kwa nini maelfu ya watu bado wanashiriki kwenye mikutano NRNE bila vivutio vyovyote na bado wanaichangia hela. Kupambana na Chadema ya sasa ni sawa na na kuzuia upepo kwa viganja vya mikono.
Hang over inakutesa sana.Ukishasikia neno la Kristo ndio utaamini au kutoamini ndio sababu Islam wanamuhubiri sana Yesu Kristo wakimwita Nabii Issa
Soma Surat Maryam kwenye Quran
Umeshapendeza bila Shaka.Ukishasikia neno la Kristo ndio utaamini au kutoamini ndio sababu Islam wanamuhubiri sana Yesu Kristo wakimwita Nabii Issa
Soma Surat Maryam kwenye Quran