The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Pia, wakumbuke kuna chawa wenye sumu na wanaoeneza ukimwi na ukosefu wa akili kichwani (UAKI) kama wewe.Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA
Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm
Hivi kweli mpaka Leo ccm inashindwa kujua kwamba
CHADEMA sio TLP?
CHADEMA sio CUF?
CHADEMA sio NCCR- MAGEUZI?
Wanadhani na wanajiongopea kwamba kwakuwa walifanikiwa kuvi difuse hivyo vyama hapo juu basi wataweza kwa CHADEMA
CHADEMA ni chama kibeba maono ya Taifa la Tanganyika.. CHADEMA NI MPANGO KAMILI WA MUNGU kuliokoa taifa la Tanganyika..!
Huku wakikiyumbisha chama kwa kuwashawishi viongozi wa mikoa mbalimbali kuondoka CHADEMA.. huko mikoani mikutano ya NO REFORMS NO ELECTION chini ya Heche na timu yake inazidi kupata uungwaji mkono na wananchi wa kawaida
Hatuoni wananchi wakisusia mikutano ya no reforms no election kwakuwa tu viongozi wao wa ngazi za chini na za kati wanakihama chama..kinachoendelea na kinachotokea ccm hawaamini kabisa macho yao.. Wanebaki na press conference za kupangq huku wakichekwq na kudharauliwa na hata wana ccm wenzao wenye akili
Hivi wanashindwa kutambua kabisa kwamba CHADEMA imeshavuka level za kuwa chama cha viongozi na wanachama wachache?
Hivi wanashindwa kabisa kujua kwamba CHADEMA ina mashina lukuki kwa maelfu kiasi kwamba ukikata mmea kwenye shina moja inachipua mingine kumi?
CHADEMA kwa sasa ni imani
CHADEMA kwa sasa ni tumaini
CHADEMA kwa sasa ni furaha, ni faraja na ni mwanga wa taa kwenye giza totoro liitwalo ccm!
Wananchi wanaihitaji CHADEMA iwe mvua liwe jua kuliko viongozi wenye bei wanaonunulika.. Ndio maana kuhama kwao sio mjadala na wala wananchi hawastuki
CHADEMA ni joka kubwa lenye vichwa vingi.. Ukikata kimoja vinachipua vingine... com ni mti wa mkafiri ukiushika tu unaishia kukunukia na kukutia nuksi😂
Chadema ni iman huwez kupambana na iman ukashndaKuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA

Naunga mkono hoja ila chama hakiwezi kuwa ni mpango wa Mungu,bali mtu ndie mpango wa Mungu,hivyo kwa Chadema Tundu Lissu ni mpango wa Mungu kupitia Chadema,ila sio mara moja wala mbili,shetani huweza kuingilia mpango ili kuutibua!,tuliona kwa Mama yetu Eva kule Bustanini Adeni!CHADEMA ni chama kibeba maono ya Taifa la Tanganyika.. CHADEMA NI MPANGO KAMILI WA MUNGU kuliokoa taifa la Tanganyika..!
CHADEMA kwa sasa ni imani
Yuko mwingine alijiengua kisa kanyimwa wali kuku, yeye alipewa Wali ng'ombeAliebuni hii operation inayoendelea ya kujaribu kuihujumu CHADEMA na wote wanaomuwezesha, watakuwa na mafaili Mirembe na bado wanaendelea na matibabu .
Shetani hajawahi kumshinda MunguKosa kubwa hili hapa"waanzilishi wa ccm walisaini kwamba chama hicho ndicho kitatawata na vingine vitakua vinaisimamia CCM isiharibu"maneno ya mzee nilimsikia!!
Sasa haijalishi chadema itakua na nguvu kuu kiasi Gani lakini Haina baraka za kutawala nchi hasta ishinde chaguzi!!
Ni wakati wa SIMBA.. Ni wakati wa CHADEMA😍Kosa kubwa hili hapa"waanzilishi wa ccm walisaini kwamba chama hicho ndicho kitatawata na vingine vitakua vinaisimamia CCM isiharibu"maneno ya mzee nilimsikia!!
Sasa haijalishi chadema itakua na nguvu kuu kiasi Gani lakini Haina baraka za kutawala nchi hasta ishinde chaguzi!!
Vipi waislam, wahindu, wabudha, wayahudi, washinto, watao nk? Hao hawana imani kwa kuwa kusikia kwao hakutokani na neno la Kristo? Wewe Yohani wewe!Imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa Neno la Kristo
Kwenye Siasa kuna Itikadi siyo Imani
Mkuu umenena ukweli mtupu, niyo uone uwezo wa CCM wa kufikiri, hawa jamaa kwa kweli hawana uwezo wa kuliongoza hili taifa.....walishafeli kitambo ila wanajikongoja tu na muleta udikteta uchwara kutaka kuua chama kinachowachachafia. Sema tu dogo Mbowe alikuwa kibaraka wa CCM, hakuwa mpinzani wa ukweli hata siku moja.Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA
Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm
Hivi kweli mpaka Leo ccm inashindwa kujua kwamba
CHADEMA sio TLP?
CHADEMA sio CUF?
CHADEMA sio NCCR- MAGEUZI?
Wanadhani na wanajiongopea kwamba kwakuwa walifanikiwa kuvi difuse hivyo vyama hapo juu basi wataweza kwa CHADEMA
CHADEMA ni chama kibeba maono ya Taifa la Tanganyika.. CHADEMA NI MPANGO KAMILI WA MUNGU kuliokoa taifa la Tanganyika..!
Huku wakikiyumbisha chama kwa kuwashawishi viongozi wa mikoa mbalimbali kuondoka CHADEMA.. huko mikoani mikutano ya NO REFORMS NO ELECTION chini ya Heche na timu yake inazidi kupata uungwaji mkono na wananchi wa kawaida
Hatuoni wananchi wakisusia mikutano ya no reforms no election kwakuwa tu viongozi wao wa ngazi za chini na za kati wanakihama chama..kinachoendelea na kinachotokea ccm hawaamini kabisa macho yao.. Wanebaki na press conference za kupangq huku wakichekwq na kudharauliwa na hata wana ccm wenzao wenye akili
Hivi wanashindwa kutambua kabisa kwamba CHADEMA imeshavuka level za kuwa chama cha viongozi na wanachama wachache?
Hivi wanashindwa kabisa kujua kwamba CHADEMA ina mashina lukuki kwa maelfu kiasi kwamba ukikata mmea kwenye shina moja inachipua mingine kumi?
CHADEMA kwa sasa ni imani
CHADEMA kwa sasa ni tumaini
CHADEMA kwa sasa ni furaha, ni faraja na ni mwanga wa taa kwenye giza totoro liitwalo ccm!
Wananchi wanaihitaji CHADEMA iwe mvua liwe jua kuliko viongozi wenye bei wanaonunulika.. Ndio maana kuhama kwao sio mjadala na wala wananchi hawastuki
CHADEMA ni joka kubwa lenye vichwa vingi.. Ukikata kimoja vinachipua vingine... com ni mti wa mkafiri ukiushika tu unaishia kukunukia na kukutia nuksi😂
Narudia, Kuna namna flani wanachadema chakavu wameanza kuchanganyikiwa kwa Kasi sana. Uongeaji wao, uanzishaji wao wa mada na jinsi wanavyokesha wakijibishana wenyewe tu kwenye mada zao ni ushahidi tosha. Mama Samia ni lidude limpja likuubwa sana linalowatoa uharo wanachadema chakavu.
We zombie si yule bingwa wa kuandika hbr za kusadikika, we huna unaloelewa bwege flani tu. Chadomo imebaki mazishiKuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA
Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm
Hivi kweli mpaka Leo ccm inashindwa kujua kwamba
CHADEMA sio TLP?
CHADEMA sio CUF?
CHADEMA sio NCCR- MAGEUZI?
Wanadhani na wanajiongopea kwamba kwakuwa walifanikiwa kuvi difuse hivyo vyama hapo juu basi wataweza kwa CHADEMA
CHADEMA ni chama kibeba maono ya Taifa la Tanganyika.. CHADEMA NI MPANGO KAMILI WA MUNGU kuliokoa taifa la Tanganyika..!
Huku wakikiyumbisha chama kwa kuwashawishi viongozi wa mikoa mbalimbali kuondoka CHADEMA.. huko mikoani mikutano ya NO REFORMS NO ELECTION chini ya Heche na timu yake inazidi kupata uungwaji mkono na wananchi wa kawaida
Hatuoni wananchi wakisusia mikutano ya no reforms no election kwakuwa tu viongozi wao wa ngazi za chini na za kati wanakihama chama..kinachoendelea na kinachotokea ccm hawaamini kabisa macho yao.. Wanebaki na press conference za kupangq huku wakichekwq na kudharauliwa na hata wana ccm wenzao wenye akili
Hivi wanashindwa kutambua kabisa kwamba CHADEMA imeshavuka level za kuwa chama cha viongozi na wanachama wachache?
Hivi wanashindwa kabisa kujua kwamba CHADEMA ina mashina lukuki kwa maelfu kiasi kwamba ukikata mmea kwenye shina moja inachipua mingine kumi?
CHADEMA kwa sasa ni imani
CHADEMA kwa sasa ni tumaini
CHADEMA kwa sasa ni furaha, ni faraja na ni mwanga wa taa kwenye giza totoro liitwalo ccm!
Wananchi wanaihitaji CHADEMA iwe mvua liwe jua kuliko viongozi wenye bei wanaonunulika.. Ndio maana kuhama kwao sio mjadala na wala wananchi hawastuki
CHADEMA ni joka kubwa lenye vichwa vingi.. Ukikata kimoja vinachipua vingine... com ni mti wa mkafiri ukiushika tu unaishia kukunukia na kukutia nuksi😂
Nataraji japo maramoya nione mada yake itwayo kwa maslahi ya chadema,taifa na watanzania,tena ikiwa haina woga wala unaa ndani yake.cc
Pascal Mayalla mzee wa kura 1
Kabisa mkuu waambie hao,na kuna jambo moja kubwa ambalo ilifaa watambue,kwamba hata yule mwananchi ambaye waliona labda hajitambui,hana elimu,fukara na mambo kama hayo,wajue kwamba sivyo wadhaniavyo,,wengi kwasasa wajiuliza baada chaguzi za mitaa kupita,nguvu ilotumika,yaliyotokea ,nini ilikuwa sababu!?,, kwanini mabadiliko madogo yasifanyike, vyama vyote vikashiriki uchaguzi kwa haki,uwazi na Uhuru??Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA