PreGE2025 CCM tambueni ya kuwa CHADEMA ni joka kubwa lenye vichwa vingi.. Ukikata kimoja vinachipua vingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hata TLP,CUF na NCCR ziliwahi kuwa kama Chadema na Chadema ni Zao la Matokeo ya kazi za CUF,NCCR na TLP.Huo ndio msingi wa Kuelewa Siasa za nchi yetu sio kushabikia tu.
 
Kwa hatua iliyofikia Chadema ni kama jini limeshatoka kwenye chupa, wamechelewa sana wangefanya hivi miaka 20 iliyopita kwa sasa wakubali tu matokeo kuwa Chadema ni Taasisi na Chadema ni Imani hivyo siyo rahisi kuiua. Wangetafakari tu kwa nini maelfu ya watu bado wanashiriki kwenye mikutano NRNE bila vivutio vyovyote na bado wanaichangia hela. Kupambana na Chadema ya sasa ni sawa na na kuzuia upepo kwa viganja vya mikono.
 
Hata TLP,CUF na NCCR ziliwahi kuwa kama Chadema na Chadema ni Zao la Matokeo ya kazi za CUF,NCCR na TLP.Huo ndio msingi wa Kuelewa Siasa za nchi yetu sio kushabikia tu.
Wewe nawe ubongo wako umechanganyika na kamasi .
 
Joka walilofuga limewageuka.
 
Sasa wanachama wa CHADEMA watakosaje kwenye mikutano yetu mkuu? Sema hivi,sisi ata tukikosea ua atupo tayari kukubali kua ili tumeenda chaka baya.
 
Ni muhimu pia ujue unapovuna mpunga,ni lazima hili upate chakula kizuri,uondoe pumba,mawe nk nk,,hivyo lazima hayo yatokee ili ubaki mchele unaotakiwa,kwahiyo wanaondoka kwa kuwa hawataki shida na mateso yanayotoka nje ya chama chao, hao hawana upendo na chama chao,hawataki kuvumilia misuko suko.,wako radhi kuwasaliti wenzao,hivyo bora waende waendako.
 
Vipi waislam, wahindu, wabudha, wayahudi, washinto, watao nk? Hao hawana imani kwa kuwa kusikia kwao hakutokani na neno la Kristo? Wewe Yohani wewe!
Ukishasikia neno la Kristo ndio utaamini au kutoamini ndio sababu Islam wanamuhubiri sana Yesu Kristo wakimwita Nabii Issa

Soma Surat Maryam kwenye Quran
 
Kwani wewe pimbi unalipwa kiasi gani? Umejaa uzandiki .
 
Chadema ina zaidi ya watiu 1000 wenye sifa za kikipngoza chama hiki.
 
Huyo jamaa bado hajui siasa ni nini,anadhani siasa ni hisia.Muda utamfundisha vizuri.
 
Upo sahihi kiongozi. Hoja yangu ipo kwenye kukosekana kwa loyalty ya kweli kwa wanachama. Hata wewe unaonekana loyal kwa sababu hujawekewa dau la size yako kuondoa hio loyalty yako kwa chama. Jambo la pili ni pengine viongozi wa juu kuna mahala wanakosea approach ya namna wanavyo tekeleza azima yao. Mkuu uongozi ni kuunganisha watu, sio kuwatawanya, ni kuwafanya waamini kuwa nikisema maji risasi itageuka maji. Wakikuamini watakua obedient, obedience inatengeza loyaty. Akili inapaswa kutulia kwanza, kuona namna sahihi ya kufanya. Kuendelea kutumia nguvu huku kondoo wakitawanyika, na kujiaminisha eti bahari inajisafisha ni kuendelea kujikaanga wenyewe tu.
Huyo jamaa bado hajui siasa ni nini,anadhani siasa ni hisia.Muda utamfundisha vizuri.
kwa umri wake naamini anajua siasa ni nini, ila anaweka ukweli mfukoni na kuandika ushabiki
 
Na kila atakayejaribu kuiua Chadema atakufa yeye tena atakufa kibudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…