Tengeneza tatizo, jifanye unalitatua ili usifiwe kwa sana.
Ngoja tuone wasimamizi uchaguzi DED DAS Kamati za Rufani na wasimamizi wasaidizi kauli hii kwa vitendo wataifanyia kazi kwa asilimia ngapi.
Uchaguzi ni mchakato sasa umefikia katikati je kuelekea kutayarisha hitimisho mawakala wa vyama na wadau waangalizi, vyombo vya habari n.k wataruhusiwa kwa uwazi na ukaribu kuhakiki ma box ya, kura, kuhakiki orodha yawapiga kura, karatasi za kura, upigaji kura, uhesabuji kura, majumuisho na utakangazaji matokeo kwa uwazi ikiwemo mubashara /live watu waone.