LGE2024 CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
View attachment 3150399

"Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti ...
Kama hayo yanatoka kweli moyoni mwenu Mungu awabariki,na Iwapo ni namna tu ya kutuliza joto la kisissa basi pia Mungu awapatie iliyostahiki yenu.
 
Sasa kama Tamisemi watatii agizo la kumrejesha aliyekosea . . . Hahaha 😅😅😅
 
Tengeneza tatizo, jifanye unalitatua ili usifiwe kwa sana.

Ngoja tuone wasimamizi uchaguzi DED DAS Kamati za Rufani na wasimamizi wasaidizi kauli hii kwa vitendo wataifanyia kazi kwa asilimia ngapi.

Uchaguzi ni mchakato sasa umefikia katikati je kuelekea kutayarisha hitimisho mawakala wa vyama na wadau waangalizi, vyombo vya habari n.k wataruhusiwa kwa uwazi na ukaribu kuhakiki ma box ya, kura, kuhakiki orodha yawapiga kura, karatasi za kura, upigaji kura, uhesabuji kura, majumuisho na utakangazaji matokeo kwa uwazi ikiwemo mubashara /live watu waone.
 
Kwa mfano huo mdogo utagundua Nani alienda Shule kukariri na Nani alienda kuelimika

Hata kwenye Majina yetu Ndio sababu kuna vifupisho mfano ukiandika JK Kikwete Kila Mtu anajua ni mh Jakaya

Mh Mchengerwa tupa mapingamizi yote Tukutane na Hawa Ufipa FC Uwanja wa FISI tuwamalize

Baadae Mlale unono 😀
 
Watakuja na matukio na sababu nyingine kwanini wasipewe maboksi ya kura!
 
Hii dhulma iliyofanyika ya kuwaengua wapinzani ndiyo imezidisha chuki ya Watanganyika kwa Rais Samia Suluhu. Akatae akubali huu ndiyo ukweli wenyewe.
 
Watendaji wenyewe hawa waliosoma St. Kayumba ni bure kabisa.
 

"Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti...
Demokrasia yetu sio changa asitake kupotosha. Ila demokrasia yetu inabakwa kuiga uhayani uliofanyika wakati wa Magufuli. Hapo ccm imejitokeza kujisafisha baada ya kuona mwitikio wa jamii kuhusu huo uhuni wa kitoto umebuma.
 
Ulikuwa unashabikia ujinga oneni sasa mabosi wenu wamewaona machawa mliopitiliza.Kiasi cha kutaka kuliharibu taifa letu kwa kujalimaslshi yenu pekee.
 
Hii nayo ni ghilba na hadaa tu, Mchengerwa ushenzi aliofanya ni maagizo ya CCM baada ya kugundua kuwa kumbe Chadema haijafa kama walivyokuwa wanahadaa umma kuwa Chadema ni mfu bado kuzikwa tu.
CHADEMA haijafa ila Mbowe anaidogosha Kwa ahadi ya fedha na cheo. Mjinga sana
 
Ulikuwa unashabikia ujinga oneni sasa mabosi wenu wamewaona machawa mliopitiliza.Kiasi cha kutaka kuliharibu taifa letu kwa kujalimaslshi yenu pekee.
Chadema nyie ni Lege Lege mno tofauti na wale CUF Ngangari wa Enzi za maalim
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Mimi nimekutana nao sana hawa Watendaji wa Vijiji (VEOs)na Watendaji wa Kata (WEOs), ni elimu ya makaratasi lakini kichwani hawajaelimika.

Huko kwa DEDs napo ndio balaa zaidi.
Hii inchi haiwezi kutoka kwenye mkwamo kwa kuwa na watumishi wa umma na wa serikali wasio na uwezo.
 
Sifa kujua kusoma na kuandija na hata wasiokujua kusona na kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…