CCM tujipange kugawana vyeo uchaguzi tushashinda 100%

Maendeleo yapi unadai? Huoni SGR?
Changamoto za maji safi na salama vijini, miundombinu isiyopitika misimu yote ya mwaka hali ambayo imepelekea baadhi ya mazao kuharibikia shambani kutokana ubovu wa barabara.
Changamoto za upatikanaji wa huduma bora za afya
 
1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani.

2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
Hivyo vyeo tugawane 50-50 Tanganyika na Zanzibar
 
1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani.

2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
Eeghh kisha mkakope matrilioni tena ya shilling, muuze bandari na migodi na ARDHI. Mtakufa vibaya nyie Watu
 
Kampeni zitakuwa ni matamasha ya burudani za wasanii wa muziki, komedi, ngoma za asili, bongo muvi na upuuzi mwingine wa kujaza wananchi kwenye kampeni
 
1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani.

2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
Kuna haja uchaguzi? Kama ndio kwa nini tupoteze fedha za kujenga barabara,maji,shule nk..
 
1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani.

2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
Hahahaha sio kuwahudumia Wananchi ila kwanza ni vyeo🤣
 
Changamoto za maji safi na salama vijini, miundombinu isiyopitika misimu yote ya mwaka hali ambayo imepelekea baadhi ya mazao kuharibikia shambani kutokana ubovu wa barabara.
Changamoto za upatikanaji wa huduma bora za afya
Yaani maji ,umeme na barabara ndiyo tunaongelea leo ktk karne hii.Wakati wenzetu wanazidi kigundua vitu mbali mbali na kutoa Elimu bora na Teknolojia za hali ya juu ili kupeleka mbele maisha ya raia wao sisi tunamuita Rsis kuja kuzindua matundu ya choo.Kweli bado sana tuko nyuma kifikra badala yakufikiria tunabahari kubwa tunawezaje kutengeneza viwanda vya Meli kwa ajili yetu na tuwauzie wenzetu yaani hata mtumbwi tunanunua alafu tunapongeza mikumi tena.Afadhali yule alieimba anakwenda Zimbwabwe sijui kashafika au bado.Tooth stick inatoka china kweli.Tuna Ardhi kubwa ya ,,kilimo badala yakuweka kipaumbele ktk kujenga viwanda vya mnolea eti tunaweka ruzuku kwenye mbolea kutoka nje hii ni akili matope.Mimi nadhani bado tunaitajika tuendelee kutawaliwa tena siyo na wazungu makaburu tu wanatosha ila si hawa makaburu weusi.
 
Back
Top Bottom