CCM tujipange kugawana vyeo uchaguzi tushashinda 100%

1744700609714.png

Muanzisha thread.
 
Mnawazaga Vyeo Na Uchaguzi Tu Kila Baada Ya Miaka,,,Huku Mikakati Bora Ya Namna Ya Kuiwezesha Nchi Iendelee Hakuna.
 
1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani.

2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
Mna haki ya kugwana vyeo maana mgombea wenu ndiye anayechagua wote wanaosimamia uchaguzi - hapo kuna uchaguzi ama kupotezeana muda na pesa za watanzania.
 
Hapo ndipo inapoonyesha kwann wananchi wanahitaji tume huru na katiba mpya sababu ya wapuuzi km nyie..!! 😏
 
1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani.

2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
Mnachezea tuu hela za kampeni Huku mkijua kabisa hamna uchaguzi bali ni ufuska tuu mnafanya
 
1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani.

2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
Chawa Mungu awachukue mapema Taifa lipone
 
Hizi akili za kina wasira tukiwaambia mmechoka mleta mbwembwe et limechoka body injin ni nzima si comedy kbs hii ya cheka tena
 
Back
Top Bottom