CCM tujipange kugawana vyeo uchaguzi tushashinda 100%

CCM tujipange kugawana vyeo uchaguzi tushashinda 100%

Napendekeza Waziri mkuu awe Abdul, CDF wampe Mafwele, mkurugenzi wa TISS muriro, naibu waziri mkuu Mchengerwa, mambo ya nje Wanu, wizara ya fedha, Angela Kiziga,
 
1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani.

2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
Ngoma ilipokua ngumu mkaona ili mtimize malengo yenu basi muue kwanza raia au sio?
 
Back
Top Bottom