Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Nilitarajia wazo kuu ingekuwa mikakati ya kuwaletea Wananchi maendeleo na kutatua changamoto za kiuchumi nchiniWanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani. Lililobaki tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, DAS, DC, DAS) kila mtu apate
Maendeleo yapi unadai? Huoni SGR?Nilitarajia wazo kuu ingekuwa mikakati ya kuwaletea Wananchi maendeleo na kutatua changamoto za kiuchumi nchini
Changamoto za maji safi na salama vijini, miundombinu isiyopitika misimu yote ya mwaka hali ambayo imepelekea baadhi ya mazao kuharibikia shambani kutokana ubovu wa barabara.Maendeleo yapi unadai? Huoni SGR?
Kasome ilaniAsaChangamoto za maji safi na salama vijini, miundombinu isiyopitika misimu yote ya mwaka hali ambayo imepelekea baadhi ya mazao kuharibikia shambani kutokana ubovu wa barabara.
Changamoto za upatikanaji wa huduma bora za afya
Hivyo vyeo tugawane 50-50 Tanganyika na Zanzibar1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani.
2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
Hakika kimtokacho mtu ndicho kilicho ujaza moyo wake. Kila la heri katika mchakato wa kugawana vyeoKasome ilani
Eeghh kisha mkakope matrilioni tena ya shilling, muuze bandari na migodi na ARDHI. Mtakufa vibaya nyie Watu1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani.
2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
Naunga mkono hoja1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani.
2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
PamojaNaunga mkono hoja
Kuna haja uchaguzi? Kama ndio kwa nini tupoteze fedha za kujenga barabara,maji,shule nk..1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani.
2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
Tuliza mshonoKuna haja uchaguzi? Kama ndio kwa nini tupoteze fedha za kujenga barabara,maji,shule nk..
Hahahaha sio kuwahudumia Wananchi ila kwanza ni vyeo🤣1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani.
2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
Yaani maji ,umeme na barabara ndiyo tunaongelea leo ktk karne hii.Wakati wenzetu wanazidi kigundua vitu mbali mbali na kutoa Elimu bora na Teknolojia za hali ya juu ili kupeleka mbele maisha ya raia wao sisi tunamuita Rsis kuja kuzindua matundu ya choo.Kweli bado sana tuko nyuma kifikra badala yakufikiria tunabahari kubwa tunawezaje kutengeneza viwanda vya Meli kwa ajili yetu na tuwauzie wenzetu yaani hata mtumbwi tunanunua alafu tunapongeza mikumi tena.Afadhali yule alieimba anakwenda Zimbwabwe sijui kashafika au bado.Tooth stick inatoka china kweli.Tuna Ardhi kubwa ya ,,kilimo badala yakuweka kipaumbele ktk kujenga viwanda vya mnolea eti tunaweka ruzuku kwenye mbolea kutoka nje hii ni akili matope.Mimi nadhani bado tunaitajika tuendelee kutawaliwa tena siyo na wazungu makaburu tu wanatosha ila si hawa makaburu weusi.Changamoto za maji safi na salama vijini, miundombinu isiyopitika misimu yote ya mwaka hali ambayo imepelekea baadhi ya mazao kuharibikia shambani kutokana ubovu wa barabara.
Changamoto za upatikanaji wa huduma bora za afya
Utahudumia bila cheo?Hahahaha sio kuwahudumia Wananchi ila kwanza ni vyeo🤣