CCM tukumbushane majimbo yaliyotopea kwa umaskini baada ya kuongozwa na upinzani ili tuyakomboe tukianza na Rombo

CCM tukumbushane majimbo yaliyotopea kwa umaskini baada ya kuongozwa na upinzani ili tuyakomboe tukianza na Rombo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ikumbukwe kuwa sasa tupo kwenye uchumi wa kati mdogo hivyo jitihada zinahitajika ili tuweze kupanda na kufika $4000 per capita.

Hivyo niwaombe tuorodheshe majimbo maskini ili tuyafanyie mkakati maalumu bila kujali itikadi zetu na misimamo yetu ya kisiasa na kimaendeleo.

Mimi naanza na jimbo la Rombo

Maendeleo hayana vyama!
 
Yaan wafanyakaz wakipangiwa kule hawataki tena kurud nyumban maana huduma zote n available,huyu c bure huenda kanywa kipumuu mkuu
Anatakiwa akapimwe akili Mirembe, atafute kibarua anayetoka Rombo ambaye anachunga kwa wanyiramba wenzake kama atampata.
 
Back
Top Bottom