johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Sio tu kufika nimekaa mkuu mwezi mzima!Hivi kuna jumbo maskini kama Kongwa? Umeshawahi kufika Rombo wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio tu kufika nimekaa mkuu mwezi mzima!Hivi kuna jumbo maskini kama Kongwa? Umeshawahi kufika Rombo wewe?
Hahahaaaa......... Labda master J ataibadilisha!Bora uhame Singida mkuu ni aibu tupu
Umaskini wake unalingana na Kongwa?Sio tu kufika nimekaa mkuu mwezi mzima!
Rombo umewahi kusikia wana uhaba wa madarasa, umeme, maji, shida ya barabara, mawasiliano na huduma za afya?Hahahaaaa......... Labda master J ataibadilisha!
Zinafanana tu... ukiwa Kibaigwa ni kama Rombo tu!Umaskini wake unalingana na Kongwa?
Anafananisha Eden na jehanamRombo umewahi kusikia wana uhaba wa madarasa, umeme, maji, shida ya barabara, mawasiliano na huduma za afya?
Kipumu ukipiga mchana lazima kiharibu afya ya akili, tumsamehe bure.Anafananisha Eden na jehanam
Wilaya nzima nyumba za tembe na mbunge anajisifu JPM kafanya mambo makubwa et.Misungwi kuna shida kubwa ya maji
Hizi akili za kuvukia barabara mtaacha lini??
Mbunge kazi yake nikuwasemea wananchi sio kupeleka maendeleo!! Seema ni majimbo mangapi yametopea kwenye umasikini toka ccm iwe madarakani??
Kongwa
Iramba
Bariadi
Misungwi
Chato
Igunga
Muleba
Karagwe
Acha dharau bro.. huo umaskini wa rombo unaanzia wapi? Labda kwenu ndo maskini. Sisi wana rombo sio maskini. Tuna barabara, tumesoma, tumejenga nyumba za mbao, tofali na pia tuna umeme hata kabla ya REA kuja. Huo umaskini unaotutangazia unaanzia wapi? Tembea ukutane na maskini uje kuwasema uachane na sisi. Hatuchagui chama ukitakacho na tutaendelea kuwazidi. Hatusubiri kuletewa kama nyie. Tunajua kutafutaIkumbukwe kuwa sasa tupo kwenye uchumi wa kati mdogo hivyo jitihada zinahitajika ili tuweze kupanda na kufika $4000 per capita.
Hivyo niwaombe tuorodheshe majimbo maskini ili tuyafanyie mkakati maalumu bila kujali itikadi zetu na misimamo yetu ya kisiasa na kimaendeleo.
Mimi naanza na jimbo la Rombo
Maendeleo hayana vyama!
Umejieleza sana kama uko machame vile kumbe mkuu!Acha dharau bro.. huo umaskini wa rombo unaanzia wapi? Labda kwenu ndo maskini. Sisi wana rombo sio maskini. Tuna barabara, tumesoma, tumejenga nyumba za mbao, tofali na pia tuna umeme hata kabla ya REA kuja. Huo umaskini unaotutangazia unaanzia wapi? Tembea ukutane na maskini uje kuwasema uachane na sisi. Hatuchagui chama ukitakacho na tutaendelea kuwazidi. Hatusubiri kuletewa kama nyie. Tunajua kutafuta
Pole kwa kufikiri kwamba ni machame tu ndo pameendelea. Ilikua miaka ya 70 na 80. Kuanzia 2000 na kuendelea na sisi tulianza kuona matunda ya kusomesha. Rudi tena huko vijijini ukaone mabadiliko. Nilitumia vijiti ila leo situmii tena. Nina mwanga na si wa REA. Na pia sipo mwenyewe. Rudi tena ukatizame broUmejieleza sana kama uko machame vile kumbe mkuu!
Watu wa Kongwa walimkataa li Ndugai mbele ya Magufuli hadi aibu maskini.Jimbo la Ndugai Kongwa
Dogo Rombo ni kama Masaki. Fanya mpango ukakomboe kule Mtera kwa wale jamaa wanaoezekea udongo nyumba zao na wanaosumbuliwa na funzaIkumbukwe kuwa sasa tupo kwenye uchumi wa kati mdogo hivyo jitihada zinahitajika ili tuweze kupanda na kufika $4000 per capita.
Hivyo niwaombe tuorodheshe majimbo maskini ili tuyafanyie mkakati maalumu bila kujali itikadi zetu na misimamo yetu ya kisiasa na kimaendeleo.
Mimi naanza na jimbo la Rombo
Maendeleo hayana vyama!