Wewe utakuwa na laana Rombo ni maskini? na kule kwenu Iramba paitwaje?
Anzeni na haya ya Dodoma hapa Kibakwe na Kongwa.Ikumbukwe kuwa sasa tupo kwenye uchumi wa kati mdogo hivyo jitihada zinahitajika ili tuweze kupanda na kufika $4000 per capita.
Hivyo niwaombe tuorodheshe majimbo maskini ili tuyafanyie mkakati maalumu bila kujali itikadi zetu na misimamo yetu ya kisiasa na kimaendeleo.
Mimi naanza na jimbo la Rombo
Maendeleo hayana vyama!
Nchi ya uchumi wa katiIkumbukwe kuwa sasa tupo kwenye uchumi wa kati mdogo hivyo jitihada zinahitajika ili tuweze kupanda na kufika $4000 per capita.
Hivyo niwaombe tuorodheshe majimbo maskini ili tuyafanyie mkakati maalumu bila kujali itikadi zetu na misimamo yetu ya kisiasa na kimaendeleo.
Mimi naanza na jimbo la Rombo
Maendeleo hayana vyama!
Sure mkuuLabda umasikini wa nguvu za kiume maana walisema inabidi kukodi wanaume toka Kenya
Maeneo ya usseri haya!Nchi ya uchumi wa katiView attachment 1505914
Rombo ni maskini huko Tarakea ukame kwa kwenda mbeleRombo umewahi kusikia wana uhaba wa madarasa, umeme, maji, shida ya barabara, mawasiliano na huduma za afya?
Utakuwa na kilimba tumbo wewe siyo bureRombo ni maskini huko Tarakea ukame kwa kwenda mbele
Ndoo kwenyeweHivi Rombo sio kule wanaume wamekithiri kwa ulevi wa pombe za kienyeji hadi wake zao wanalazimika kwenda Kenya kutafuta huduma ya ndoa?
Busanda kuna umaskini gani ? Umetoka usingizini nini ?KATI YA MAJIMBO MASIKINI JIMBO LA BUSANDA LINAOONGOZA KWA UMASIKINI BUKWIMBA HATAKIWI AJE KUGOMBEA TENA NI AIBU TUPU
Utakuwa na kilimba tumbo wewe siyo bure
Ikumbukwe kuwa sasa tupo kwenye uchumi wa kati mdogo hivyo jitihada zinahitajika ili tuweze kupanda na kufika $4000 per capita.
Hivyo niwaombe tuorodheshe majimbo maskini ili tuyafanyie mkakati maalumu bila kujali itikadi zetu na misimamo yetu ya kisiasa na kimaendeleo.
Mimi naanza na jimbo la Rombo
Maendeleo hayana vyama!
Kwa taarifa yako Rombo hata tusipopelekewa msaada wa chakula bado tunaweza kujilisha... Lini ushasikia Rombo wamepeleka chakula cha misaada.Rombo ni maskini huko Tarakea ukame kwa kwenda mbele
Bwashee hata Kongwa wanajilisha na kulisha wengine!Kwa taarifa yako Rombo hata tusipopelekewa msaada wa chakula bado tunaweza kujilisha... Lini ushasikia Rombo wamepeleka chakula cha misaada.
" connection"Maendeleo hayana chama. Kama kuna jimbo halikuendelea kwa sababu si la sisiemu, basi, kuna unafiki mahali.
Huu ujinga wa kubagua kupeleka maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani ili ccm ijifanye kuwa imelikomboa jimbo toka kwenye umasikini utaisha lini? Acheni kuwakomoa wapinzani kwa kugoma kupeleka maendeleo huko mnakuwa mnawatesa wananchi kwa ujinga wenu, kumbukeni kuwa Rombo wanalipa kodi ni wajibu wao kupata maendeleo .Ikumbukwe kuwa sasa tupo kwenye uchumi wa kati mdogo hivyo jitihada zinahitajika ili tuweze kupanda na kufika $4000 per capita.
Hivyo niwaombe tuorodheshe majimbo maskini ili tuyafanyie mkakati maalumu bila kujali itikadi zetu na misimamo yetu ya kisiasa na kimaendeleo.
Mimi naanza na jimbo la Rombo
Maendeleo hayana vyama!