CCM tumfukuze uanachama Askofu Gwajima, hana busara

Wewe wakati Mafuli typo ulikuwepo hapa nchii au ilikuwa hujazaliwa?
Gwajima amezingatia Katiba yenu bora kuliko vyama vyote inayosema "nitasema ukweli daima,fitna kwangu mwiko"
Hoja ya Gwajima haiwezikufifshwa kwa matisho yenu ,kwa ninavyo mjua Gwajima hata mkimtishia na mkamfukuza hamtauondoa uhalisia kwamba mama amekuwa dhaifu na hawezi tena kupambana na wale mnaowaita Mabeberu hulu misaada yao mnaitaka
 
Hawezi mfukuzwa, na akifukuzwa akawa si mwanachama wa ccm na kuupoteza ubunge, kutaibua hoja ya wabunge 19 wa chadema ambao wamevuliwa uanachama na bado ni wabunge. Chezea siasas wewe.
 
Hivi CCM bado ni chama cha siasa?
 
Kwani mama yeye anautalamu gani juu ya hizo chanjo

Kwa hiyo gwajima akiongea mnashadadia maneno yake Kama vile mwali wa kizungu

Chanjo sio lazima na gwajima hajafunga watanzania pingu miguuni wasiende kupata hizo chanjo

Yakuambiwa changanya na yako
 
Mitano tena kwa Gwajima. CCM hoyeee!!! CCM kwa kuokoteza watu haijambo
 
ukiona mtu yeyote anapinga hoja za Gwajima kuhusu chanjo ya covid19 basi ujue huyo ni msukule wa wazungu,na watu hao ni hatari sana kwa taifa na vizazi vijavyo,wanatakiwa wafe na ikiwezekana wauawe kabisa tusafishe nchi.

Mijitu inashindwa hata kutumia akili ya kawaida tu kufiri....iko wapi scientific paper inayoonesha madhara ya muda mfupi na mrefu ya chanjo hii?

Chanjo imetengenezwa haina hata miaka 2,utajuaje madhara ya miaka 10 baadaye?Hivi watu hawaoni kama sisi ndio tumefanywa kuwa guinea pigs?....watu hawaoni kama sisi ndio tunaanza kufanyiwa experiments?Na je kama matokeo hayatakua mazuri itakuaje?

Ukiona daktari au mtu yeyote anayejiita msomi au mwanasayansi anayempinga Gwajima kwenye hili basi huyo mtu ni hatari sana kwa taifa hili na anapaswa asafishwe kutoka kwenye uso wa nchi hii ili kulinda maslahi ya taifa.....

Kumbe bado misukule ya wazungu iko mingi sana.
 
Mbona Magu hamkumfukuza???
 
Siasa ya tanzania ina shida. Yaani, hakuna chama kinaruhusu mawazo tofauti toka kwa wanachama. Hii yote ni kulinda maslahi.
 

Nimekusoma mkubwa na kuielewa concern yako...

Lakini mimi nina neno moja kwa namna ninavyolitazama jambo hili...

Kwamba, mara baada ya huyu mchungaji mwaka 2020 kutangaza kuingia ktk siasa za majukwaani moja kwa moja kupitia CCM na kugombea ubunge jimbo la Kawe, DSM nilishangaa sana na kuona sasa anapotea katika huduma ya kiroho...

Sasa bila shaka yoyote, nimetambua kuwa, kumbe I was wrong...!!

Nimetambua bila shaka yoyote kuwa, kumbe Bishop Rev. Josephat Gwajima yuko CCM na kupewa ubunge kwa kusudi maalumu la ki - Mungu..

Wote tunafahamu kuwa chini ya mfumo wetu utawala uliopo, watu wengi wanaingia ktk siasa na kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa kama udiwani au ubunge kwa kutazamia kunufaika kimaslahi ya kimwili zaidi...

Lakini kwa Bishop Rev. Josephat Gwajima siyo kwani hahitaji fedha chafu za kisiasa. Tayari baba yake [Mungu Yehova] amempa na anampa fedha nyingi na utajiri usio wa kawaida kawaida..!!

That's to say, he is there for a special mission ambayo hata serikali na CCM hawaijui na hawakuweza kuijua kwa sababu mission hiyo inawalenga wao, ni rungu lao la kuwapiga...

Point yangu ni hii;

KWANZA, Rev. Gwajima hatabadili msimamo wake

PILI, kadiri watakavyoendelea kumsakama naye ndivyo atakavyoendelea kukusisitiza na kukandamiza anachokiamini tena kwa maneno makali zaidi yatakayowakera wenye mamlaka...

Wenye kumbukumbu rejeeni ishu ya mahakama ya kadhi mwaka 2012/2013 wakati wa Kikwete na mgogoro wa yeye na Paul Makonda aliyekuwa RC DSM few years ago...

TATU, Bishop Rev. Josephat Gwajima akiingia kwenye mgogoro na mamlaka za kidunia au serikali za kibinadamu aidha serikali nzima au kiongozi mmoja mmoja huwa HASHINDWI bali mara zote HUSHINDA...!

Na sababu ni moja tu: Yeye anatumikia ufalme wenye nguvu zaidi kuliko falme zote duniani wanaozitumikia hao anaoingia nao kwenye mgogoro...

Na ufalme anaoutumikia ni ule wa mbinguni na mfalme wake ni YESU KRISTO mfalme wa wafalme. Hakuna mfalme au ufalme ulio juu ya huu...!!!

WHAT THEY SHOULD TO DO?

1. AIDHA, wafuate ushauri na maelekezo yake kuhusu haya mambo huku wakijua kuwa asemaye ni "JITU LILILOTOKA MBINGUNI"

2. AMA, wapuuze na wamkabili kwa kutumia ushauri kama huu unaotolewa humu na mleta mada. Na wote tunaelewa ujinga wa utawala wa CCM. Hawataishia kumfukuza uanachama tu bali watajaribu hata kumdhuru ikiwemo kumuua....

What they don't know about this man is that, HE IS IMMORTA, he is indestructible...

WHAT I PERSONALLY SEE IS;

Possibility kubwa ni kutumia option namber two. Watamkabili na ikifanyika hili KUSUDI LA HUYU MTU KUWA MBUNGE WA CCM litakuwa wazi na litaanza kutekelezeka vigorously kinyume na matarajio ya serikali ya CCM kupitia mtu waliyemdhania yuko upande wao...!!

Ni mtazamo na maoni yangu tu haya
 
Kama ya Kigwangala na Gwaji girl
 
Serikali itakuwa wapuuzi Kama hawatomshugulikia Huyo Taperi, kinachomfaa ni kifo tu hakuna lingine,mtu ambae anailetea dharau serikali na kupotosha watu,Ni muhaini kabisa huyo
 
Basi mataga kwa niaba ya jiwe waombeni msamaha Dr Nyambura Moremi, Lawrence Mafuru na Ernest Mangu.
Taifa ili liendelee linahitaji fikra mbali mbali.

Hivyo basi sio sahihi kuzodoana mtu anapotoa maoni yake ambayo unafikiri hayaendani na yako.

Ndio Mungu katuumba namna hiyo hatuwezi fanana wote namna ya kufikiri.
 
Atekwe. Apelekwe polisi; na afunguliwe kesi ya ugaidi na uhaini.
 
Anachofanya Gwajima ni kuenzi legacy ya Magufuli.Hamtaki watu waenzi legacy ya Magufuli?Hamtaki watu wamuenzi shujaa?!
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…