Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM inaamini katika uhuru wa mawazo na umahiri wa hoja. Mwisho wa siku wanançhi wenyewe ndio wataamua wafuate lipi.Kama ambavyo tumekuwa tukiimba kwa katiba bora yetu ya Chama kuliko vyama vyote nchini na Afrika,ni wazi kabisa kua Askofu Gwajima ameleta sintofahamu kubwa sana nchini huku akijua kitendo kile kilikua ni cha uchochezi wa makusudi na alidhamiria.
Mwanachama mzima wa CCM huwezi kusimama uansuambia umma kwanini Corona imeibuka baada ya Magufuli kufa, huwezi kumwambia Mkuu wa nchi anashadadia misaa ya Bilgate ili wananchi wachomwe chanjo ya Corona wafe, huu ni upotoshaji, udhalilishaji wa viongozi wa nchi na ni uchochezi mkubwa sana si wa kufumbia macho.Hivi kweli Mhe Rais anaweza kuwaongoza wananchi wake kwenye kifo?
WITO KWA CCM: Naomba Askofu Gwajima achukuliwe hatua kali za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kumfuta uanachama ili arudi Kanisani kwake akaendelea kupotosha watu na kuhubiri uongo wake. Jimbo liwekwe wazi kuna wanaccm safi Kawe ni imani yangu kua tukirudia uchaguzi tutashinda tena na tutapata mwakilishi mzuri.
Matamshi ya Gwajima si ya bahati mbaya bali ni kusudi la kutaka kuleta mpasuko wa kitaifa ambao mpaka sasa kuna chuki kubwa sana umejengeka miongoni mwa wananchi.Damage ya matamshi yake ni kubwa sana si wa kuachwa.Amedhalilisha mamlaka za nchi kwa kiasi kikubwa sana.
Basi mataga kwa niaba ya jiwe waombeni msamaha Dr Nyambura Moremi, Lawrence Mafuru na Ernest Mangu.CCM inaamini katika uhuru wa mawazo na umahiri wa hoja. Mwisho wa siku wanançhi wenyewe ndio wataamua wafuate lipi.
Kwani hao waliongea kama wanachama au viongozi wa CCM kama Askofu Gwajima? MkifeliGI mitihani mnadai walimu wamewaonea kwenye kusahihisha kumbe umejibu utopolo!Basi mataga kwa niaba ya jiwe waombeni msamaha Dr Nyambura Moremi, Lawrence Mafuru na Ernest Mangu.
Mfukuze kwanza Mama Samia na Waziri mkuu, maana kipindi Dkt Magufuli anakataa chanjo walikuwa ndiyo washauri wake wakuu, hivyo kama Dkt Gwajima kusisitiza kile ambacho mwenyekiti wa CCM Dkt Magufuli enzi za uhai wake alikisemea tena kwa ufafanuzi na Mama na Waziri mkuu hawakusema wamfukuze uanachama Dkt Magufuli maana yake basi wao pia wanapswa kufukuzwa uanachama kwa sababu waliunga mkono hoja ya Dkt Magufuli. Angalizo. Wewe na wenzako mlivyo mapimbi ni kuwa: Sisi hatukatai chanjo wala hatupingi chanjo. Tunachopinga ni hyu mpiga vuvuzela waziri wenu wa afya kutuleleta chanjo bila kujiridhisha. Alipaswa kwanza alete dawa, ajiridhishe, na aujulishe umma wa watanzania kama ilivyokuwa msimamo wa serikali ambayo Mama Samia alikuwa makamu na Mh. Majaliwa alikuwa Waziri mkuu. Sasa huyu Dorothy anaropoka ropoka tu, ningekuwa Mama Samia, huyu mropokaji ningemfukuza kazi, maana yeye ndiye chanzo cha yote.Kama ambavyo tumekuwa tukiimba kwa katiba bora yetu ya Chama kuliko vyama vyote nchini na Afrika,ni wazi kabisa kua Askofu Gwajima ameleta sintofahamu kubwa sana nchini huku akijua kitendo kile kilikua ni cha uchochezi wa makusudi na alidhamiria.
Mwanachama mzima wa CCM huwezi kusimama uansuambia umma kwanini Corona imeibuka baada ya Magufuli kufa, huwezi kumwambia Mkuu wa nchi anashadadia misaa ya Bilgate ili wananchi wachomwe chanjo ya Corona wafe, huu ni upotoshaji, udhalilishaji wa viongozi wa nchi na ni uchochezi mkubwa sana si wa kufumbia macho.Hivi kweli Mhe Rais anaweza kuwaongoza wananchi wake kwenye kifo?
WITO KWA CCM: Naomba Askofu Gwajima achukuliwe hatua kali za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kumfuta uanachama ili arudi Kanisani kwake akaendelea kupotosha watu na kuhubiri uongo wake. Jimbo liwekwe wazi kuna wanaccm safi Kawe ni imani yangu kua tukirudia uchaguzi tutashinda tena na tutapata mwakilishi mzuri.
Matamshi ya Gwajima si ya bahati mbaya bali ni kusudi la kutaka kuleta mpasuko wa kitaifa ambao mpaka sasa kuna chuki kubwa sana umejengeka miongoni mwa wananchi.Damage ya matamshi yake ni kubwa sana si wa kuachwa.Amedhalilisha mamlaka za nchi kwa kiasi kikubwa sana.
Kwani hao waliongea kama wanachama au viongozi wa CCM kama Askofu Gwajima? MkifeliGI mitihani mnadai walimu wamewaonea kwenye kusahihisha kumbe umejibu utopolo!

Naunga mkono HOJA....Kama ambavyo tumekuwa tukiimba kwa katiba bora yetu ya Chama kuliko vyama vyote nchini na Afrika,ni wazi kabisa kua Askofu Gwajima ameleta sintofahamu kubwa sana nchini huku akijua kitendo kile kilikua ni cha uchochezi wa makusudi na alidhamiria.
Mwanachama mzima wa CCM huwezi kusimama uansuambia umma kwanini Corona imeibuka baada ya Magufuli kufa, huwezi kumwambia Mkuu wa nchi anashadadia misaa ya Bilgate ili wananchi wachomwe chanjo ya Corona wafe, huu ni upotoshaji, udhalilishaji wa viongozi wa nchi na ni uchochezi mkubwa sana si wa kufumbia macho.Hivi kweli Mhe Rais anaweza kuwaongoza wananchi wake kwenye kifo?
WITO KWA CCM: Naomba Askofu Gwajima achukuliwe hatua kali za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kumfuta uanachama ili arudi Kanisani kwake akaendelea kupotosha watu na kuhubiri uongo wake. Jimbo liwekwe wazi kuna wanaccm safi Kawe ni imani yangu kua tukirudia uchaguzi tutashinda tena na tutapata mwakilishi mzuri.
Matamshi ya Gwajima si ya bahati mbaya bali ni kusudi la kutaka kuleta mpasuko wa kitaifa ambao mpaka sasa kuna chuki kubwa sana umejengeka miongoni mwa wananchi.Damage ya matamshi yake ni kubwa sana si wa kuachwa.Amedhalilisha mamlaka za nchi kwa kiasi kikubwa sana.
Naunga mkono HOJA....
HASHTAG GWAJIMA afukuzwe CCM!
#GwajimaAfukuzweCCM
Kama ambavyo tumekuwa tukiimba kwa katiba bora yetu ya Chama kuliko vyama vyote nchini na Afrika,ni wazi kabisa kua Askofu Gwajima ameleta sintofahamu kubwa sana nchini huku akijua kitendo kile kilikua ni cha uchochezi wa makusudi na alidhamiria.
Mwanachama mzima wa CCM huwezi kusimama uansuambia umma kwanini Corona imeibuka baada ya Magufuli kufa, huwezi kumwambia Mkuu wa nchi anashadadia misaa ya Bilgate ili wananchi wachomwe chanjo ya Corona wafe, huu ni upotoshaji, udhalilishaji wa viongozi wa nchi na ni uchochezi mkubwa sana si wa kufumbia macho.Hivi kweli Mhe Rais anaweza kuwaongoza wananchi wake kwenye kifo?
WITO KWA CCM: Naomba Askofu Gwajima achukuliwe hatua kali za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kumfuta uanachama ili arudi Kanisani kwake akaendelea kupotosha watu na kuhubiri uongo wake. Jimbo liwekwe wazi kuna wanaccm safi Kawe ni imani yangu kua tukirudia uchaguzi tutashinda tena na tutapata mwakilishi mzuri.
Matamshi ya Gwajima si ya bahati mbaya bali ni kusudi la kutaka kuleta mpasuko wa kitaifa ambao mpaka sasa kuna chuki kubwa sana umejengeka miongoni mwa wananchi.Damage ya matamshi yake ni kubwa sana si wa kuachwa.Amedhalilisha mamlaka za nchi kwa kiasi kikubwa sana.
what if ukimfukuza akaanzisha chama chake?? nawaza tu.chaweza kuwa mbadala wa chama fulaniKama ambavyo tumekuwa tukiimba kwa katiba bora yetu ya Chama kuliko vyama vyote nchini na Afrika,ni wazi kabisa kua Askofu Gwajima ameleta sintofahamu kubwa sana nchini huku akijua kitendo kile kilikua ni cha uchochezi wa makusudi na alidhamiria.
Mwanachama mzima wa CCM huwezi kusimama uansuambia umma kwanini Corona imeibuka baada ya Magufuli kufa, huwezi kumwambia Mkuu wa nchi anashadadia misaa ya Bilgate ili wananchi wachomwe chanjo ya Corona wafe, huu ni upotoshaji, udhalilishaji wa viongozi wa nchi na ni uchochezi mkubwa sana si wa kufumbia macho.Hivi kweli Mhe Rais anaweza kuwaongoza wananchi wake kwenye kifo?
WITO KWA CCM: Naomba Askofu Gwajima achukuliwe hatua kali za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kumfuta uanachama ili arudi Kanisani kwake akaendelea kupotosha watu na kuhubiri uongo wake. Jimbo liwekwe wazi kuna wanaccm safi Kawe ni imani yangu kua tukirudia uchaguzi tutashinda tena na tutapata mwakilishi mzuri.
Matamshi ya Gwajima si ya bahati mbaya bali ni kusudi la kutaka kuleta mpasuko wa kitaifa ambao mpaka sasa kuna chuki kubwa sana umejengeka miongoni mwa wananchi.Damage ya matamshi yake ni kubwa sana si wa kuachwa.Amedhalilisha mamlaka za nchi kwa kiasi kikubwa sana.
Jombaaa ww c mwanachadema au?Ndani ya CCM Askofu Rashid Gwajima ni mbuyu wenye mizizi mirefu.
Ni taasisi iliyoimarishwa na utawala uliopita na sasa haitetereki wala kutetereshwa.
Sukuma gang is a real big institute
Mpumbavuu ni ww..ambae unamskiliza waziri gwajima na prof uchwara yunusu leo wakisema chanjo imethibitishwaa wakat kipind cha jpm wao walisema hakuna chanjo inayokamilika kwa mida mfupi hivyoo ilikuwa sio chanjo ya halali kwa wakati ule..Tunamuachia Mpumbavu kama huyu azungumzie taaluma ya afya, kweli nchi yangu bado tuna wajinga wengi sana....View attachment 1872318
Naona povu limekutoka nimemtukana huyo mungu wako , haya nenda kasali atakuepusha na koronaMpumbavuu ni ww..ambae unamskiliza waziri gwajima na prof uchwara yunusu leo wakisema chanjo imethibitishwaa wakat kipind cha jpm wao walisema hakuna chanjo inayokamilika kwa mida mfupi hivyoo ilikuwa sio chanjo ya halali kwa wakati ule..
Baada ya jpm kuondoka ndani ya miezi 3 chanjo imekuwa nzuri..ww pamoja na wanzako ni makenge nyotee