CCM tumfukuze uanachama Askofu Gwajima, hana busara

Samia kama Raia..., Sio kama Rais..., amfungulie mashitaka kwa kumsingizia slander na aombe kulipwa fidia...., akishinda kesi achukue kila kilichopo na jamaa alipe fidia

Ndio hapo watu watajua kuwa na mdomo haimaanishi useme kila kinachokujia akilini (ukizingatia usemacho kama kinaweza kuleta madhara kwa wengine)
 
If you are intelligent enough you would have capture what i wrote. I am sorry to say this, you are too ignorant to analyse the meaning of a single sentence. I just comment on your ignorant views regarding the vaccine referencing your ethnicity without mentioning white people as a comparison with black people. But you came out with your nonsense comparison.
What a shame!!
 
Dah mtoa mada sitaki kuaminii kwamba mtu akikataa chanjo anakiuka katiba ya sisim,mbona hayati hamkufukuza na yeye alikua anaikataa chanjo hadharani au yeye alikua si mwana chama wa sisim?
 
Referring black people as sub-human, must have reference point for comparison to a complete human in your self hating intellectual ignorance mind....
 
Uko sawa
 
Zamani wenye shingo nene walikuwa wanatuhumiwa kwamba wanaweza wakawa magaidi walikuwa wanazuiliwa kwaaili ya kuhojiwa
 
Kumbe CCM tuna watu mazuzu namna hii!Yaani afukuzwe kwa kusema ukweli ambao utasaidia kuwalinda Watanzania!Kwa hiyo CCM imegeuka ya wauaji sasa.Dah,hii ni ngumu kumeza.Wewe na genge lako mnaopanga mipango miovu ya genocide dhidi ya Watanzania ndio mnaopaswa kufukuzwa CCM,sio Gwajima.
 

 
toeni majibu ya maswali ya wananchi msikimbilie ku acuse watu!!!

toeni majibu ya haya maswali-

1.ukichanja uendelee kuvaa barakoa,social distance na tahadhari zote!?=ndio

2.ukichanjwa chanjo ya korona unaweza kuambukizwa!?=ndio

3.ikiwa Kama swali namba 2,jibu ni ndiyo ! basi unaweza pia kuambukiza !?=

leteni majibu acheni ubabaishaji,hata Kama watu hawajaenda shule ,sio muwachukulie poa wanaweza kupokea kila utopolo mnaotaka kuwa feed!.
 
Naunga Mkono hoja. Afukuzwe uanachama kwa kwenda kinyume na msimamo wa Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala. Kama alikuwa na hoja ya msingi angekwenda kuhoji kimyakimya.


kama hataki kuchanja asitumie nafasi yake kupotosha wengine
 
Awamu ile hata kutamka Corona ilikuwa kama kufanya kosa la uhaini!

Eti wengine wakawa wanaita changamoto ya kupumua [emoji848][emoji848]

Dunia ina mambo hii!

Sijui huwa inakuwaje mambo haya ?!

Ndiyo maana wenye maono ya mbali wanataka Kuandikwa kwa Katiba upya.
 
Si uandike kwa kiswahili tu ili kuimarisha mahaba yako kwa Mwafrika? Naona kizungu chenyewe kidogo kiko upande.
 
Ana kosa gani?Si anamuenzi shujaa?Kumuenzi shujaa ni kosa?
Your browser is not able to display this video.
 
Jimbo kama vipi arejeshewe binti mdee
 
Akifukuzwa ndio tutamwaamini zaidi yeye kuliko nini, kwani kosa liko wapi, mbona hamukumfukuza mwendazake?au sababu ni Gwajima,jibuni hoja ,hoja inapingwa kwa hoja na si vinginevyo.
 

Wamfute kwa kosa gani?!..

JPM alishasema chanjo haifai kuna baadhi ya watanzania na nchi za mbele wanaamini kwenye hilo km chanjo haifai...

Serikali ya sasa hv inasema chanjo inafaa hapo ndio mkanganyiko ulipoanza, Gwajima yeye ni kama amefufua mtazamo wa JPM kuhusu chanjo...ila chanjo ishasemwa ni hiari na serikali ya sasa...iwepo freedom of speech kuhusu chanjo..serikali ifanye yake kuelimisha na jumuiya zisizo amini chanjo zihubiri yake..mimi naamini kuna madaktari wa hapa Tanzania wapo ambao hawaamini kwenye chanjo hii ya Corona ila hawana ujasiri wa kuzungumza hadharani...so wenye ujasiri wapewe nafasi waelimishe pia...mwisho wa siku ni mwananchi mwenyewe kwa hiari yake achague anataka lipi
 
Referring black people as sub-human, must have reference point for comparison to a complete human in your self hating intellectual ignorance mind....
Its simple..if black people are sub-human that means the reference is human..no where i pointed white people as the only human..infact there is no white people..all people are coloured..if you think there are white people you are still a slave.
Poor ignorant slave.
 
Weee
Wee ulitaka kwsbb ni CCM kila kitu kiwe ndiyo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…