CCM tunaenda mbele au tunarudi nyuma? Hii ya Kibajaji kuwa mchangiaji wa kwanza Bajeti nyeti ya Waziri mkuu ni kama " babeli"

Kuchangia au kukejeli na kutusi?!
 
Lusinde et al ndiyo cream ya CCM yani ndiyo vichwa vya chama yeye na Musukuma.
 
Kuchangia au kukejeli na kutusi?!

..Spika anatakiwa awanyime "target" ya kukejeli na kutusi.

..ndiyo maana nashauri darasa la 7 watangulie, halafu wabunge wasomi wachangie baada yao.

..akianza kuchangia msomi, halafu darasa la 7 akafuatia, kitakachotokea ni darasa la 7 kumtukana na kumkejeli mbunge msomi.
 
Elimu yako inakusaidia nn kama unaishi kwa shida.elewa maana ya elimu.elimu ni kuelimika sio kukalili darasani.kunaelimu nyingi sana duniani.akili yako ndio imeushia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…