johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Kuchangia au kukejeli na kutusi?!..unaweza kutanguliza darasa la saba kuchangia, baada ya hapo unatoa nafasi kwa wabunge wasomi wachangie na kufunga mjadala.
..nadhani utaratibu huo utapunguza uwezekana wa wabunge darasa la 7 kuharibu mjadala, kwa kuponda, na kupotosha, hoja za wabunge wasomi.