CCM tunaenda mbele au tunarudi nyuma? Hii ya Kibajaji kuwa mchangiaji wa kwanza Bajeti nyeti ya Waziri mkuu ni kama " babeli"

CCM tunaenda mbele au tunarudi nyuma? Hii ya Kibajaji kuwa mchangiaji wa kwanza Bajeti nyeti ya Waziri mkuu ni kama " babeli"

..unaweza kutanguliza darasa la saba kuchangia, baada ya hapo unatoa nafasi kwa wabunge wasomi wachangie na kufunga mjadala.

..nadhani utaratibu huo utapunguza uwezekana wa wabunge darasa la 7 kuharibu mjadala, kwa kuponda, na kupotosha, hoja za wabunge wasomi.
Kuchangia au kukejeli na kutusi?!
 
Lusinde et al ndiyo cream ya CCM yani ndiyo vichwa vya chama yeye na Musukuma.
 
Kuchangia au kukejeli na kutusi?!

..Spika anatakiwa awanyime "target" ya kukejeli na kutusi.

..ndiyo maana nashauri darasa la 7 watangulie, halafu wabunge wasomi wachangie baada yao.

..akianza kuchangia msomi, halafu darasa la 7 akafuatia, kitakachotokea ni darasa la 7 kumtukana na kumkejeli mbunge msomi.
 
Kwa vyovyote vile...hata nikibaki peke yangu bado ntawaheshimu WASOMI...

hawa maprof wachache kina Kalamaganda Kabugi waliofanya wasomi wadharaulike. Sio kipimo cha kwamba elimu haina maana tena....

Kwa sababu hiyo Kibajaji na msukuma ni wapumbavu tu waliopata fedha kwa ushirikina then ndo wanadharau wasomi
Elimu yako inakusaidia nn kama unaishi kwa shida.elewa maana ya elimu.elimu ni kuelimika sio kukalili darasani.kunaelimu nyingi sana duniani.akili yako ndio imeushia hapo
 
Back
Top Bottom