Pre GE2025 CCM tunaomba 2025 msituletee marais wa kujiokoteza okoteza, Samia asipite hata kwenye top 10 yenu ya mapendekezo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dogo umeshindwa kuandika Maoni yako Kwa heshima?

Mods tunaomba mfuta huu uzi unadhalilisha hadhi ya Mkuu wa Nchi.
Mwandishi amekosa nidhamu.
 
Safi sana - sasa hii uiweke kwenye Ilani ya CHADEMA kwa 2025. Ila sijui ni nani ataipeperusha safari hii - ni mwanaCCM Luhaga Mpinaaaaa au ni silent kada wenu Padri Charles Kitima? Maana CHADEMA kama CHADEMA sioni mtu.

Mtu si wewe nyuma ya keyboard
 
Kero ni kubwa sana, 1961-2024 bado hatuna
1.umeme wa uhakika.
2.maji ya uhakika, nchi ya maziwa makuu
3.huduma za afya za uhakika
4.miundo mbinu bora

Umaskini,Maradhi,Ujinga na sasa Adui mpya Ufisadi
Ongezea na nyege
 
Safi sana - sasa hii uiweke kwenye Ilani ya CHADEMA kwa 2025. Ila sijui ni nani ataipeperusha safari hii - ni mwanaCCM Luhaga Mpinaaaaa au ni silent kada wenu Padri Charles Kitima? Maana CHADEMA kama CHADEMA sioni mtu.
Hamna muafrika mwenye akili boss. Sasa sijui wapi unapata mtu wa kuongoza nchi hii. Miaka 60+ umeme Bado ni tatizo, sasa utasema Kuna chama Cha watu wenye akili hapo?
 
Mwenzetu anayo hoja muhimu asikilizee!
 
Kero ni kubwa sana, 1961-2024 bado hatuna
1.umeme wa uhakika.
2.maji ya uhakika, nchi ya maziwa makuu
3.huduma za afya za uhakika
4.miundo mbinu bora

Umaskini,Maradhi,Ujinga na sasa Adui mpya Ufisadi
Adui mwingine mbaya ni unafiki
 
Naomba haya maoni yako yamfikie haraka iwezekanavyo kijana wake mtetezi humu jukwaani kwa jina la Lucas mwashambwa, aka CHAWA mtoto.
 
Umeongea sana kwa hisia kali.
Nikukumbushe tu kuwa ccm ni ileile haijawahi kubadilika.

Juzi ulimsikia Kasim na Kinana wanasema wanataka watoe form Moja tu ya kugombea urais.
 
Dogo umeshindwa kuandika Maoni yako Kwa heshima?

Mods tunaomba mfuta huu uzi unadhalilisha hadhi ya Mkuu wa Nchi.
Mwandishi amekosa nidhamu.
Acha watu watoe madukuduku yao. Rais siyo mungu, au malaika. Kama ana anzaingua, au ana mapungufu! ni vizuri akaambiwa ukweli! Badala ya kumpamba tu muda wote.
 
Kero ni kubwa sana, 1961-2024 bado hatuna
1.umeme wa uhakika.
2.maji ya uhakika, nchi ya maziwa makuu
3.huduma za afya za uhakika
4.miundo mbinu bora

Umaskini,Maradhi,Ujinga na sasa Adui mpya Ufisadi
Lkn bado mnaendelea kuichagua ccm kisa mmepewa khanga na vitenge
 
Safi sana - sasa hii uiweke kwenye Ilani ya CHADEMA kwa 2025. Ila sijui ni nani ataipeperusha safari hii - ni mwanaCCM Luhaga Mpinaaaaa au ni silent kada wenu Padri Charles Kitima? Maana CHADEMA kama CHADEMA sioni mtu.
Pole sana maana naona ukitafuna kashata na maji ya kandoro ikiwa ndiyo lunch yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…