Pre GE2025 CCM tunaomba 2025 msituletee marais wa kujiokoteza okoteza, Samia asipite hata kwenye top 10 yenu ya mapendekezo

Pre GE2025 CCM tunaomba 2025 msituletee marais wa kujiokoteza okoteza, Samia asipite hata kwenye top 10 yenu ya mapendekezo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ooh pole Sana kumbe mgeni wa mambo hata hujui hatua iliopiga TRC katika uongezaji mapato pale safari za Kaskazini na Uvushaji mizigo kwenda Uganda kupitia Victoria.
Kama unafanya biashara na wewe umekata leseni ya biashara TRA utaelewa nini nazungumza.
Fananisha miradi iloanzishwa na Magufuli na fananisha anachokifanya huyu mjambiani ni mbingu na ardhi.
Rais pekee nilowahi kumuona tofauti NI Magufuli pekee.
Ila we jamaa nakufaham usije ukaniita nimetoka Hargeisa tena.
MJADALA UMEFUNGWA.
Weka takwimu
 
Kwakweli Kwa haya tulioyapitia miaka mitatu inatosha sasa
Hatuwalaumu CCM Kwa huyu raisi tulienae kwa sasa lakini mtatukosea sana kama tutasikia huyu Rais ndio mtaempitisha kama mgombea.

Tumechoshwa na mambo yanayoendelea achilia mbali mfumuko wa bei holela, wizi wa mali za umma unaoota mizizi mpaka tunasikia wengine wananua ma apartment Dubai ,Amerika daaah

Hili swala la umeme litoshe kumrudisha huyo bibi kizee kwao akalee wajukuu tu sasa hivi imekuwa ni kawaida kukatiwa umeme siku nzima kila siku bila taarifa yoyote na hajali chochote yeye anawaza kwenda kuzurura nje

Tunaomba mfanye maamuzi magumu kama mliyoyafanya 2015 kateni huyu bibi tuleteeni mtu yeyote lakini sio huyu bibi.

Tumechoka tafadhali naamini kuna watu wachache bado wanajielewa CCM na wamechoshwa na haya yanayoendelea tengenezeni vita kweli kweli huyu bibi aishie hapa hakika mkifanya hivyo mtakua mashujaa na tutawakumbuka daima leteni dude lolote tulijaribu kuliko kuona huyu bibi kizee anarudi hawez kujisimamia Hana uchungu na wananchi, hana kauli, hatumkubali yupo tu anazurura

Leo nimejikuta napandwa na hasira sana unaamka saa kumi unasema kazi ambazo sijazifanya juzi na Jana kwa sababu ya umeme nitajitahidi nizimalizie zote leo unawasha taa kumbe wamekata umeme saa nane sijui daaah.
Ccm ipi wazungumzia hapa ,pumbavu
 
Ngoja nikizipata nitakuletea.
Soma hiyoo
Screenshot_20221119-094007.png
Screenshot_20221119-093841.png
 
Kwa mjibu wa CCM muheshimiwa mpaka sasa alishapita bila kupingwa,wadanganyika tutaendelea kukaa bila Rais, tutaendelea kutawaliwa na wazanzibar mpaka CCM watakapoamua wenyewe.

Wazanzibar wana marais wawili mpaka sasa,anayeiongoza Zanzibar na yule anayeiongoza Tanzania ndio maana kwa sasa hivi huwezi ukawasikia wazanzibar wakipiga kelele,wametulia kimyaa utafikri hawana kero yoyote,subiri Rais atoke Tanganyika utasikia kelele zao.
 
Back
Top Bottom