Pre GE2025 CCM tunaomba 2025 msituletee marais wa kujiokoteza okoteza, Samia asipite hata kwenye top 10 yenu ya mapendekezo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani kukatika umeme hapo mtaani kwako ndio iwe sababu ya kutukana Rais?

Kwamba Kila kukitokea Changamoto yenye genuine reason tuwe tunafukuza Rais si ndio?

Acha utoto basi.
Ameorodhesha mambo mengi, umeona la umeme tu!?
 
Hata mumuweke nani mtabaki masikini tu
Watu wanajua kucheza na akili zenu
Umeme wa uhakika huwa ni ndoto na danganya toto kila mwaka, ooh itakuwa historia
Hivi hamchoki haya
 
Wafuasi wengi wa chadema chama ambacho kingewafaa ni kile chama cha "yule jamaa wa wali nyama " wanapenda vyama vya kuwajaza Mahela bila kufanya kazi, kila mmoja kuanzia mbowe, lissu, slaa na wote wako kwenye "loafs races", ukipatikana mkate mbio zinaishia hapohapo, hata Bro kigwa ni loaf races.
 
Tatizo ni CCM...

Screenshot_20240121_102947_Gallery.jpg
 
Ameorodhesha mambo mengi, umeona la umeme tu!?
Mengine yote ni uzushi usio na msingi.

Pili Kwa akili zenu kuna siku Changamoto zitakuja kuisha?

Je hizo Changamoto zikilinganishwa na mengi aliyofanikisha utasemaje?

Mara

View: https://twitter.com/ProudlyCCM/status/1748293450393329695?t=Mc7FUKVF6U_v6tNaSzazOA&s=19

Songea

View: https://twitter.com/JafferMahmud/status/1747573126077030649?t=sLpzBnVUnJGcCLnFF7T3LQ&s=19

Morogoro

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1748637751115714890?t=AoRPXXWLGPzD8cGbEjNmuQ&s=19
 
Kwakweli Kwa haya tulioyapitia miaka mitatu inatosha sasa
Hatuwalaumu CCM Kwa huyu raisi tulienae kwa sasa lakini mtatukosea sana kama tutasikia huyu Rais ndio mtaempitisha kama mgombea.

Tumechoshwa na mambo yanayoendelea achilia mbali mfumuko wa bei holela, wizi wa mali za umma unaoota mizizi mpaka tunasikia wengine wananua ma apartment Dubai ,Amerika daaah

Hili swala la umeme litoshe kumrudisha huyo bibi kizee kwao akalee wajukuu tu sasa hivi imekuwa ni kawaida kukatiwa umeme siku nzima kila siku bila taarifa yoyote na hajali chochote yeye anawaza kwenda kuzurura nje

Tunaomba mfanye maamuzi magumu kama mliyoyafanya 2015 kateni huyu bibi tuleteeni mtu yeyote lakini sio huyu bibi.

Tumechoka tafadhali naamini kuna watu wachache bado wanajielewa CCM na wamechoshwa na haya yanayoendelea tengenezeni vita kweli kweli huyu bibi aishie hapa hakika mkifanya hivyo mtakua mashujaa na tutawakumbuka daima leteni dude lolote tulijaribu kuliko kuona huyu bibi kizee anarudi hawez kujisimamia Hana uchungu na wananchi, hana kauli, hatumkubali yupo tu anazurura

Leo nimejikuta napandwa na hasira sana unaamka saa kumi unasema kazi ambazo sijazifanya juzi na Jana kwa sababu ya umeme nitajitahidi nizimalizie zote leo unawasha taa kumbe wamekata umeme saa nane sijui daaah.
Unaumwa wewe. Samia ameiokoa nchi iliyoharibiwa na yule bwana wa chato. Sasa hivi kila Kona ni ajira tupu. Private sector inanawili sana kiasi ambacho wasomi wanafuraha ya ajabu hakuna like neno tena lilizoka kipindi Cha yule rucifer ya eti vyuma vimekaza
 
Kwakweli Kwa haya tulioyapitia miaka mitatu inatosha sasa
Hatuwalaumu CCM Kwa huyu raisi tulienae kwa sasa lakini mtatukosea sana kama tutasikia huyu Rais ndio mtaempitisha kama mgombea.

Tumechoshwa na mambo yanayoendelea achilia mbali mfumuko wa bei holela, wizi wa mali za umma unaoota mizizi mpaka tunasikia wengine wananua ma apartment Dubai ,Amerika daaah

Hili swala la umeme litoshe kumrudisha huyo bibi kizee kwao akalee wajukuu tu sasa hivi imekuwa ni kawaida kukatiwa umeme siku nzima kila siku bila taarifa yoyote na hajali chochote yeye anawaza kwenda kuzurura nje

Tunaomba mfanye maamuzi magumu kama mliyoyafanya 2015 kateni huyu bibi tuleteeni mtu yeyote lakini sio huyu bibi.

Tumechoka tafadhali naamini kuna watu wachache bado wanajielewa CCM na wamechoshwa na haya yanayoendelea tengenezeni vita kweli kweli huyu bibi aishie hapa hakika mkifanya hivyo mtakua mashujaa na tutawakumbuka daima leteni dude lolote tulijaribu kuliko kuona huyu bibi kizee anarudi hawez kujisimamia Hana uchungu na wananchi, hana kauli, hatumkubali yupo tu anazurura

Leo nimejikuta napandwa na hasira sana unaamka saa kumi unasema kazi ambazo sijazifanya juzi na Jana kwa sababu ya umeme nitajitahidi nizimalizie zote leo unawasha taa kumbe wamekata umeme saa nane sijui daaah.
Huyu kiongozi akishiba, hajali vitu vyote muhimu kama umeme, maji.
 
Tumekuelewa sana tutawaletea Paul makonda ,awafinye kisawasawa! Mpaka maji myaite mmma!
 
Uongozi wa huyu mama ni scrape.
Kuna madhaifu mengi kuliko hatua alizopigisha hili taifa.
Tukianza tu na umeme,shughuli nyingi za kujipatia kipato hutegemea umeme ila kwa siku umeme waweza katwa kama mara nne utadhani kuna mtoto anachezea switch.
Mfumuko wa bei ya vyakula mathalan sukari sasa unanunua kilo 4400 toka 2800 kipindi cha hayati.
Utendaji mbovu katika sekta za utumishi wa umma.
Nenda ofisi nyingi za umma uone jinsi nidhamu ya utumishi ilivyotoweka .
Upigaji umezidi katika kila eneo kiasi hufanya miradi mingine muhimu kutokukamilika.
Ataemsifia huyu mama nina mashaka nae kiakili.
 
Huo umeme ungekuwa haupo basi Utitiri wa Viwanda visingekuwa vinaabzishwa Kila uchao na Uchumi ungeshuka au ku paralyse.

Narudia kukwambia Samia is way better and has done many good things kushinda Rais yeyote wa Tanzania kabla yake.

Mwisho matatizo ya umeme Yana genuine reason na mtayasahau kama mlivyosahau tozo,sijui vyakula bei Juu nk nk

Good enough Samia Huwa Yuko focused hajawahi yumbishwa na maneno yenu ya kipuuzi mitandaoni.

Kazi iendelee 👇

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1747940328059937190?t=MPgmqkkY0isyXiPlRlBzig&s=19
 
Tupewe yeyote ila sio huyu Kizimkazi, Nape,wala Makamba, wakija hao tumeisha 😭👉🙌 mambo yatakua ni yale yale miaka nenda rudi.
 
Kwakweli Kwa haya tulioyapitia miaka mitatu inatosha sasa
Hatuwalaumu CCM Kwa huyu raisi tulienae kwa sasa lakini mtatukosea sana kama tutasikia huyu Rais ndio mtaempitisha kama mgombea.

Tumechoshwa na mambo yanayoendelea achilia mbali mfumuko wa bei holela, wizi wa mali za umma unaoota mizizi mpaka tunasikia wengine wananua ma apartment Dubai ,Amerika daaah

Hili swala la umeme litoshe kumrudisha huyo bibi kizee kwao akalee wajukuu tu sasa hivi imekuwa ni kawaida kukatiwa umeme siku nzima kila siku bila taarifa yoyote na hajali chochote yeye anawaza kwenda kuzurura nje

Tunaomba mfanye maamuzi magumu kama mliyoyafanya 2015 kateni huyu bibi tuleteeni mtu yeyote lakini sio huyu bibi.

Tumechoka tafadhali naamini kuna watu wachache bado wanajielewa CCM na wamechoshwa na haya yanayoendelea tengenezeni vita kweli kweli huyu bibi aishie hapa hakika mkifanya hivyo mtakua mashujaa na tutawakumbuka daima leteni dude lolote tulijaribu kuliko kuona huyu bibi kizee anarudi hawez kujisimamia Hana uchungu na wananchi, hana kauli, hatumkubali yupo tu anazurura

Leo nimejikuta napandwa na hasira sana unaamka saa kumi unasema kazi ambazo sijazifanya juzi na Jana kwa sababu ya umeme nitajitahidi nizimalizie zote leo unawasha taa kumbe wamekata umeme saa nane sijui daaah.
Sijataka ht kusoma.
Heading tu inaonyesha una malalamiko kama mwanamke vile
 
Huo umeme ungekuwa haupo basi Utitiri wa Viwanda visingekuwa vinaabzishwa Kila uchao na Uchumi ungeshuka au ku paralyse.

Narudia kukwambia Samia is way better and has done many good things kushinda Rais yeyote wa Tanzania kabla yake.

Mwisho matatizo ya umeme Yana genuine reason na mtayasahau kama mlivyosahau tozo,sijui vyakula bei Juu nk nk

Good enough Samia Huwa Yuko focused hajawahi yumbishwa na maneno yenu ya kipuuzi mitandaoni.

Kazi iendelee 👇

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1747940328059937190?t=MPgmqkkY0isyXiPlRlBzig&s=19

HIYO viwanda unavyosemea wewe vinalazimika kuwa na gharama kuwa ya uendeshaji na uzalishaji ndio maana hata vitu huwa juu kwetu.
Fikiria ni gharama gani kiwanda kinaingia pale umeme unapokatika wanapotumia nishati mbadala.
Kiongozi alikua marehemu.
Ambae alileta uthubutu na nidhamu katika utumishi wa umma.
Huyo unayemsifia kwa akili zake anatoaje wafanyakazi wenye uweledi shirika la reli na kuwaeka Suma JKT??
Yani hapo uliposema Samia ana uweledi kuliko viongozi wote Nina mashaka na wewe.
Tembelea mashirika mawili tu ya umma TRA na TRC halafu urudi unipe jibu?
Vipi Una habari hata mapato TRC yameshuka kwa uendeshaji mbovu wa reli ilhali reli ya kati ni miongoni mwa vyanzo vya mapato makubwa serikalini??
Unastaajabisha we jamaa .
 
TRA imefanya nini Sasa?

Tangu lini TRC ikaingiza pesa? Lini iliwahi pata faida?

Nidhamu ipi ikiwa wizi ulitamalaki? Hadi anafukuza CAG kulitokea nini?

Mijitu Mijinga ndio mtaji wa Watawala wa maigizo dizaini ya Mwendazake
 
Ooh pole Sana kumbe mgeni wa mambo hata hujui hatua iliopiga TRC katika uongezaji mapato pale safari za Kaskazini na Uvushaji mizigo kwenda Uganda kupitia Victoria.
Kama unafanya biashara na wewe umekata leseni ya biashara TRA utaelewa nini nazungumza.
Fananisha miradi iloanzishwa na Magufuli na fananisha anachokifanya huyu mjambiani ni mbingu na ardhi.
Rais pekee nilowahi kumuona tofauti NI Magufuli pekee.
Ila we jamaa nakufaham usije ukaniita nimetoka Hargeisa tena.
MJADALA UMEFUNGWA.
 
Back
Top Bottom