Pre GE2025 CCM tunaomba 2025 msituletee marais wa kujiokoteza okoteza, Samia asipite hata kwenye top 10 yenu ya mapendekezo

Pre GE2025 CCM tunaomba 2025 msituletee marais wa kujiokoteza okoteza, Samia asipite hata kwenye top 10 yenu ya mapendekezo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Form kwa upande wa ccm imeshachapwa nayo ni moja tu, kupita ameshapita, sisi wana ccm tunasubiri kumuapisha tu rais wetu kwa msimu wake wa kwanza kuchaguliwa kiraia 2025-2030, na 2030-2035, atakapomalizia ngwe yake ya pili, kwa sasa ni rais kwa mujibu wa katiba, na sio urais kwa Sisi watanzania kiuchaguzi.
Wakati huo wewe upo hapo Kibaigwa hata chai hujaipata.
 
Binafsi Uzanzibari wake tuu ni sababu tosha ya kutokubali, haiwezekani Tanganyika tuongozwe na raisi kutoka nchi nyingine kwa kivuli cha muungano usioeleweka,ni vyema rasilimali za Tanganyika zisimamiwe na watanganyika halisi na ziwanufaishe watanganyika ,sio rasilimali za Tanganyika zinufaishe Tanzania nzima kwa kivuli cha muungano uchwara ila rasilimali za zenji(sina uhakika kama wazazi) zibaki kuwanufaisha wazenji wenyewe
Mkimaliza kubaguana mtahamia kwenye mipaka ya nchi
 
Yaani kukatika umeme hapo mtaani kwako ndio iwe sababu ya kutukana Rais?

Kwamba Kila kukitokea Changamoto yenye genuine reason tuwe tunafukuza Rais si ndio?

Acha utoto basi.
Ccm hoyeeeeeee[emoji573]
 
Wewe ni kifaranga wa Bata wa kienyeji tuu ndio maana unalalamika na kuomba wanaume wakusaidie kuchukua hatua [emoji23][emoji23]
Wacheni kulialia kwa unafiki.
24.1.2024. Jiungeni na wazalendo wa nchi hii kufanya MAANDAMANO YA AMANI ILI KUDAI MAMBO YA MSINGI KWENYE MAISHA YETU YA KILA SIKU.
 
Wacheni kulialia kwa unafiki.
24.1.2024. Jiungeni na wazalendo wa nchi hii kufanya MAANDAMANO YA AMANI ILI KUDAI MAMBO YA MSINGI KWENYE MAISHA YETU YA KILA SIKU.
Nyumbu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
20240120_160353.jpg

Mkimaliza kuandamana Kila mtu alete hesabu za alichovuna
 
Kwakweli Kwa haya tulioyapitia miaka mitatu inatosha sasa
Hatuwalaumu CCM Kwa huyu raisi tulienae kwa sasa lakini mtatukosea sana kama tutasikia huyu rais ndio mtaempitisha kama mgombea tumechoshwa na mambo yanyoendelea achilia mbali mfumuko wa bei holela ,wizi wa mali za umma unaoota mizizi mpaka tunasikia wengine wananua ma apartment Dubai ,Amerika daaah
Hili swala la umeme litoshe kumrudisha huyo bibi kizee kwao akalee wajukuu tu sasa hivi imekua ni kawaida kukatiwa umeme siku nzima kila siku bila taarifa yoyote na hajali chochote yeye anawaza kwenda kuzurura nje
Tunaomba mfanye maamuzi magumu kama mliyoyafanya 2015 kateni huyu bibi tuleteeni mtu yeyote lakini sio huyu bibi
Tumechoka tafadhali naamini kuna watu wachache bado wanajielewa CCM na wamechoshwa na haya yanayoendelea tengenezeni vita kweli kweli huyu bibi aishie hapa hakika mkifanya hivyo mtakua mashujaa na tutawakumbuka daima leteni dude lolote tulijaribu kuliko kuona huyu bibi kizee anarudi hawez kujisimamia Hana uchungu na wananchi,Hana kauli,hatumkubali yupo tu anazurura

Leo nimejikuta napandwa na hasira sana unaamka saa kumi unasema kazi ambazo sijazifanya juzi na Jana kwa sababu ya umeme nitajitahidi nizimalizie zote leo unawasha taa kumbe wamekata umeme saa nane sijui daaah
Utamaduni wa CCM ni Mgombea Urais kuhudumu kwa vipindi viwili. Hivyo basi, mwaka 2025 Mgombea Urais wetu CCM ni SAMIA SULUHU HASSAN. Hizo propaganda peleka Chadema wakachague Mwenyekiti wa Chama mwingine. Watoto wanazaliwa hadi Wanajukuu yeye Mwenyekiti?
 
Kwakweli Kwa haya tulioyapitia miaka mitatu inatosha sasa
Hatuwalaumu CCM Kwa huyu raisi tulienae kwa sasa lakini mtatukosea sana kama tutasikia huyu rais ndio mtaempitisha kama mgombea tumechoshwa na mambo yanyoendelea achilia mbali mfumuko wa bei holela ,wizi wa mali za umma unaoota mizizi mpaka tunasikia wengine wananua ma apartment Dubai ,Amerika daaah
Hili swala la umeme litoshe kumrudisha huyo bibi kizee kwao akalee wajukuu tu sasa hivi imekua ni kawaida kukatiwa umeme siku nzima kila siku bila taarifa yoyote na hajali chochote yeye anawaza kwenda kuzurura nje
Tunaomba mfanye maamuzi magumu kama mliyoyafanya 2015 kateni huyu bibi tuleteeni mtu yeyote lakini sio huyu bibi
Tumechoka tafadhali naamini kuna watu wachache bado wanajielewa CCM na wamechoshwa na haya yanayoendelea tengenezeni vita kweli kweli huyu bibi aishie hapa hakika mkifanya hivyo mtakua mashujaa na tutawakumbuka daima leteni dude lolote tulijaribu kuliko kuona huyu bibi kizee anarudi hawez kujisimamia Hana uchungu na wananchi,Hana kauli,hatumkubali yupo tu anazurura

Leo nimejikuta napandwa na hasira sana unaamka saa kumi unasema kazi ambazo sijazifanya juzi na Jana kwa sababu ya umeme nitajitahidi nizimalizie zote leo unawasha taa kumbe wamekata umeme saa nane sijui daaah
Hahaha..
Hapa chawa sugu Lucas mwashambwa na FaizaFoxy wanapita kimya kimyaa
 
Hii nchi tatizo sio uongozi ni wananchi, sema ni hvo tu tunaangushia jumba bovu kwa viongozi
 
viongozi wa serikali na chama washatoa maelekezo ya kutoa form moja.
kwa Africa hakuna siasa za kihuni kuizidi CCM.wanajua kuchezesha midundo tofauti kwenye kila point.
 
Back
Top Bottom