Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila tujichunge Mapolisi ya Tanzania hayanaga akili!Yaliyotokea Malawi yanaenda kutokea Tanzania mwaka huu. Watu hawataamini, Dunia haitaamini ila historia inaenda kuandikwa mwaka huu!!
Kwamba hakujenga Uwanja wa ndege chatle au hajapeleka Mbuga ya wanyama kwao? Lisu anasema hii kuwajulisha mabwege wanaoaminishwa kuwa anapambana na ufisadi kumbe porojo tu!
Toka arudi amegusia tena suala la ushoga?"Kupinga ushoga nikutengeneza mazingira ya kutengwa na umoja wa mataifa kwa kukiuka haki za binadamu" TL
Usifikiri Lisse mjinga ndugu. Wanamulikwa sasaivi na jumuiya ya kimataifa kuliko kipindi chochote kile. Wajaribu kufanya ujinga waoneIla tujichunge Mapolisi ya Tanzania hayanaga akili!
Haina hoja! Mtaturu Singida Mashariki ameshapata jibu!Watazitoa wapi hizo hoja sasa hao CCM???
Sasa walivyo waajabu watamtuma Musiba kuja kujibu hii hoja bila fact. Kumbuka na CCM wakumbuke, kina Lissu, Mnyika na Zitto wapo wamejaa tela na data zoooote ambazo hata BOT wanajaribu kuficha. CCM wawe wapole na watulie waone namna ya kupambana na hoja za Lissu. Pia suala la kupambana na Rushwa ndani ya Chama litaitesa sana CCM maana hakuna aliyemsafi hata Katibu MkuuKwa hakika Kuna mambo ni surprise aisee,nimeshangaa Sana kwamba eti kwa miaka 5 tu, tumekopa zaidi ya Trilioni 40!(Kama hii ni kweli) hii nchi tutakuwa tumerogwa haki ya Mungu, hivi kweli tunakopa pesa nyingi kiasi hicho zinakwenda wapi? Ndiyo haya madaraja, barabara, ndege na vivuko?
Kama ndiyo ina maana kila kitu tunafanya kwa kukopa? Makusanyo yetu yaliyoongezeka yanakwenda wapi?
Kama kweli haya yametokea, (kukopa zaidi ya trilioni 40 kwa miaka 5 tu) itakuwa ni UHUJUMU UCHUMI WA KIWANGO CHA JUU ZAIDI HAPA NCHINI!
Aya ya mwisho ya bandiko lako ndiyo yenye kubeba kitakachojiri wakati huu wa kampeni za uchaguzi huu.In fact CCM inatakiwa wajikite kwenye hoja. Tena hoja zilizoshiba. Ila strategy za kumtumia propaganda kama za Musiba, au vyombo vya dola kwa namna yoyote ile vitakuwa na athari mbaya kwa CCM.
Hata kitendo cha kuzuia mikutano ya siasa kwa hii miaka mitano, awali kilionekana kama kitaibeba CCM, lakini sasa ni dhahiri kuwa ulikua uamuzi mbaya. JPM alizoea kusifiwa tuuu, na wananchi walizoea kusikia upande mmoja. Bora angewaachia wapinzani wawe wanamkosoa kipindi chote hicho baadhi ya hoja zao za kukosoa aidha zingezoeleka kwa wananchi au angezifanyia kazi.
Sasa wambizani wataingia na rundo la hoja mbichiiii. Ambazo zinaweza kushangaza watu.
JPM alijisahau kama atarudi tena kuomba kura. Kuna watu wengi wameumizwa, wanasubiri watoe hukumu yao kwenye sanduku.
Haya ndugu MJUMBE tumekusikia! under 18 alie........Mleta mada Ni hoja zipi unazo mpigia mapambio huyu TL ambazo haziwezi kujibiwa kirahisi?.
"Miundo mbinu ya Tanzania iliyopo imejengwa na Wajerumani" TL
"Serikali ya Magufuli haijafanya lolote jipya ilililofanya nikupeleka mbuga ya wanyama chato" TL
"Kupinga ushoga nikutengeneza mazingira ya kutengwa na umoja wa mataifa kwa kukiuka haki za binadamu" TL
"Tanzania Corona bado ipo Sana na Hali si shwali" TL.
"Hakuna sheria inayosema usiongeze Neno/Maneno katika Wimbo wa Taifa" TL
Mkuu kwa upupu huu wa TL Wachana na kujibiwa na watu wazima above 18, hata under18 Alie ishia lasaba anaweza kujibu hoja hizo dhaifu na Tena zingine atazipuuza maana hazina Maana. Sasa sijui Ni hoja gani unazosimea.
Kuanzia November 2020 tutafanya Post Mortem ya deni la Taifa ili tuone uhalali wake,matumizi yake v/s mapato yetu ya ndani.Kama tukigundua uhalifu,sheria zipo,Mahakama ya Mafisadi aliyoianzisha na kukosa wateja itafurika.Kwa hakika Kuna mambo ni surprise aisee,nimeshangaa Sana kwamba eti kwa miaka 5 tu, tumekopa zaidi ya Trilioni 40!(Kama hii ni kweli) hii nchi tutakuwa tumerogwa haki ya Mungu, hivi kweli tunakopa pesa nyingi kiasi hicho zinakwenda wapi? Ndiyo haya madaraja, barabara, ndege na vivuko?
Kama ndiyo ina maana kila kitu tunafanya kwa kukopa? Makusanyo yetu yaliyoongezeka yanakwenda wapi?
Kama kweli haya yametokea, (kukopa zaidi ya trilioni 40 kwa miaka 5 tu) itakuwa ni UHUJUMU UCHUMI WA KIWANGO CHA JUU ZAIDI HAPA NCHINI!
Anadeki ofisi ya PolepoleJohnBaptist bado hajaamka.
Tukutane hapa tar 29 October. 2015 kuna watu waliahidi kuiahama nchi lakini hawakuhama hivyo, naomba ujiandae....Wapiga kura ni wananchi wote sio ccm pekee.
Jiwe na genge lake wajiandae kisaikolojia... watafute kazi nyingine tuu
Ni hizo tu ulizozisikia kutoka kwa Tundu Lissu? Ngoja nikukumbushe...
1. Kwa miaka 5 tu serikali ya awamu ya tano imekopa zaidi ya Trilioni 40, (kama Ni kweli zimekwenda wapi?) Hoja hii inapaswa kujibiwa kwa sababu tumeambiwa mara zote kuwa makusanyo yameongezeka na miradi yetu inatumia fedha za ndani
2. Ujenzi wa Hydroelectric power kule rufiji sio jambo jipya, (japo ni zuri) kwani kuna wengine walishajenga mabwawa kama hayo na yanafanya kazi mfano, Kidatu, Mtera n.k
3. Ujenzi wa reli si Jambo jipya (japo ni zuri), kwani reli zilijengwa na watangulizi wengine, mf.TAZARA NA RELI YA KATI na waliondoka baada ya muda wao kuisha, kwa hiyo hoja kwamba yeye aongezewe muda kwa sababu hizo ni dhaifu sana
4. Kukanyagwa kwa sheria mbali mbali, ikiwemo kuwadhulumu wafanyakazi haki zao za kimsingi kama kuwaongezea mishahara, kuwapandisha madaraja (vyeo) uhamisho, kusinyaa kwa ajira n.k haya yote ameyakanyaga bila huruma,kinyume Cha sheria!
Hayo ni baadhi tu ya mengine mengi ambayo Tundu Lissu ameyazungumzia na yanapaswa kujibiwa kwa hoja, unaweza kutusaidia kujibu kwa niaba ya chama chako?
Msinge wafanyia roho mbaya fastjet unadhani nani angepanda humoViongozi wako Ile siku ya Uhuru walivyoenda jijini mwanza kwaajili ya kuomba maridhiano walikodi maji ya bahari ya Hindi kwenda Mwanza?
Halafu watu tukisema Upinzani wa Tz umejaa wanafiki wa Taifa hili mnatunanga.
Unalizingumziaje swala la kukopa 40 tr ndani ya miaka mitano? Achana kwanza na swala la kukwapua 1.5 trKwani Chato siyo Tanzania?
Akijenga uwanja wa ndege huko anatumia peke yake? Hakuna uchumi huko? Hii ni sera ya chuki.
Nilisema tangu zamani. Rais Magufuli amefanya mambo mengi sana. Mtu asiyeyatambua sisi tutamtambua kama myopic ambaye atayadharau, hatayasimamia na atayaacha yapotee likiwemo suala la nidhamu kazini na uwajibikaji. Usipoona namna anaitoa nchi kwa kasi ya ajbau kutoka uchumi tegemezi kwenda kujitegemea, utakuwa mbumbumbu usiyestahili kugombea nafasi hata ya ubunge. Kama utafumbia macho namna amefumua mikataba ya wizi na kulinda raslimali zetu tutakuona wewe unalengo la kuendeleza ufsadi uliokuwa umeota ndevu na kulindwa kwa mtutu katika awamu ya nne. Kama hutaona vile amejnga hadhi ya nchi kimataifa pasipo show face, wewe utakuwa juha usiyetakiwa hata kuingia kwenye kamati ya mipango na maendeleo ya taifa. Kama huwezi kuona namna anavyokakatika kuweka uchumi imara na ajira endelevu kwa kuanza na uijenzi wa miundo mbinu sahihi, hatutaki kukusikiliza.
Siasa za chuki na visasi, havitajenga taifa wala kutaboresha maendeleo zaidi ya kuleta migawanyiko ambayo haitadumaza maisha tu bali italeta mateso makubwa kwa vizazi vyetu.
Tunataka mtu anayetambua umuhimu wa msuala aliyoyafanya Rais Magufuli ili ayalinde na kuyaendeleza.
Tunataka mtu anayeweza kujenga hoja namna atatumia misigi aliyoiweka Magufuli katika kufanya maendeleo ya taifa.
Tunataka mtu anayeweza kubainisha makamilisho ya juhudi za rais Magufuli na kuelewa namna gani atayakamilisha.
Tunataka mtu anayeelewa mapungufu ya Rais Magufuli na ajue na kueleza jnisi gani atafanya ili kufanya mapinduzi katia eneo zile.
Tunataka mtu mwenye vision inayotekelezeka na siyo matusi na kutuvuta kuturudisha nyuma.
Tunahitaji maendeleo ya taifa na si propaganda za kutaka vyeo ki ujanga ujanja kwa kutumia uelewa duni wa wananchi wa chini.
Tunahitaji nia na uwezo wa kiongozi kulindoa taifa katika hali alipolifikisha raisi wetukulipeleka mbele zaidi na si kujifanya kwamba hajafanya kitu wakati kila mtu anajua Kikwkt aliliporomosha taifa na kuliingiza katika shimo la urefu gani kwenda chini.
Ninaomba tujali utaifa na maisha ya Vizazi vyetu na siyo ubinafsi, udanganyifu na hadaa. Watu kama Membe kugombea urais wa nchi ni tusi kubwa sana kwa Watanzania. Watanzania tuwe makini na Membe.
Ndoto za mchana.........sa hv hamtolei mfano baba wenu wa demokrasia Kenya???Yaliyotokea Malawi yanaenda kutokea Tanzania mwaka huu. Watu hawataamini, Dunia haitaamini ila historia inaenda kuandikwa mwaka huu!!
Unalizingumziaje swala la kukopa 40 tr ndani ya miaka mitano? Achana kwanza na swala la kukwapua 1.5 tr
Kujenga uwanja chato si tatizo, tatizo ni endapo upo uwanja wa kimataifa km kadhaa kutoka chato na chato uliojengwa uwe wa kimataifa.Kwani Chato siyo Tanzania?