Uchaguzi 2020 CCM tutafanya makosa makubwa kama tutajaribu kuzibeza hoja za Tundu Lissu

Viongozi wako Ile siku ya Uhuru walivyoenda jijini mwanza kwaajili ya kuomba maridhiano walikodi maji ya bahari ya Hindi kwenda Mwanza?

Halafu watu tukisema Upinzani wa Tz umejaa wanafiki wa Taifa hili mnatunanga.
inamana kusingekuwa na ndege ya ATCL wasingeenda? ndo mana mnaambiwa mjifunze kujibu hoja sio vimaneno kama vya yule taahira mwenzio MUSIBA
 
Kwahiyo ulitaka waende na meli Dar-mwanza.
Kumbe hata akili za kujibu huna! Pole Sanaa Endelea kushabikia Watu wanaopinga ununuliwaji wa ndege wakati wao wakitumia ruzuku za chama kukodi ndege ya kwenda kuombea maridhiano.
 
Laiti kama Lissu angeshambuliwa tu na majambazi isingekuwa issue sana lakini kwa kuwa ni mkakati uliokuwa umesukwa na wale wale waliopashwa kumlinda ndio maana serikali nzima inakuwa on the defensive muda wote na kwa kweli inafurahisha wanavyoshindwa kabisa kujitetea kwa hilo.

Sasa na Lissu naye anaitumia hiyo positively as an opportunity to draw the voters' attention hadi kuwafanya akina Ndugai, Makonda and the fellow gang members to seek the hideout..

It's really interesting. Ukifanya uhalifu baadaye nyendo zako na the way you react to certain situations can easily expose you.
 
Nakupa pole tu kwa uelewa wako!
 
CCM Wana hoja dhaifu mbili, 1.Eti Lissu ataomba huruma kwa wapiga kura 2. hoja yoyote ambayo CCM inazidiwa jibu ni kutumwa na mabeberu
 
Hoja zipi? Wewe ni maanaCCM wa mtindo gan?
 
Hakuna utumwa mbaya kama wa kujiona upo free
 
Ukiona mtu anatuma masaa kukwambia alichofanya jua hakuna alichofanya
 
wacha nkuulize swali moja jepesi, unajua kwanini lazima ukope hata kama sio kwa ajili ya matumizi? ukishindwa hili swali basi we ni mbumbumbu
Hakuna utumwa mbaya kama wa kujiona upo free pole sana


Hata kama utumii ndiyo ukope Trillion 40 ficha ujinga wako kidogo
 
Makosa tayari yamefanyika kwa Ndugai kumdhibiti na kudhani alimukomoa kumbe amemuongezea umaruufu mara mbili
 
Swali kwako hauna matumizi utakopa Trillion 40 ya nini?

in simple terms hujui , na ndo cdm walivo akili za bangi tu na ndo maaana mgombea wenu alibaki kupungia miti tu alivoenda dodoma
 
Ccm wako personal sana kwa Tundu lissu.Hoja hujibiwa kwa hoja lakini ni bahati mbaya ni kama wao wameamua ku set maroboti ambayo yakiona kila hoja wanayoona wao ni kutusi na kukejeli.
 
Hizo media waliogopa kutangaza upinzani kutokana na hii sheria kandamizi ya vyombo vya habari
 
Lissu hana hoja zaidi ya dharau, kiburi na kujikweza. Haya yote ni machukizo kwa Mungu na atashushwa. Kapewa second chance na Mungu lakini inaonesha wazi hajapata neema ya kulijua hili na kubadilika.
 
Lissu hana hoja zaidi ya dharau, kiburi na kujikweza. Haya yote ni machukizo kwa Mungu na atashushwa. Kapewa second chance na Mungu lakini inaonesha wazi hajapata neema ya kulijua hili na kubadilika.
Hayo nayo Ni mawazo yako hatuna budi kuyaheshimu tu.
 
JK kwa miaka yake 10 alikopa trilioni 23 ila huyu mzee mzima duuuh. Mwaka 2016 alikopa mpaka akafikia sehemu iliyoandikwa "Mkopo kasafiri"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…