Uchaguzi 2020 CCM Vijijini Tundu Lissu ametikisa ngome ni muda wa CCM kubadili itikadi na mikakati

Na nilisha mwambia sana huyo wapi wengi wa namna hiyo na ndio maana nimewahi kusema humu ndio maana tunaonekana vilaza sisi wana ccm ila kwa sasa Mimi naenda na lisu ni hatari kubwa sana magufuri akiludi madarakani tutasaga meno ila hapa ntaonekana natoa ngonjera
Angalia maswahiba wake wanacho Fanya kwenye nchi zao ndaishimiye nae kaanza na wapinzani wake mseveni ndio balaa tupu ni hatari hatari tupu ingawa wanafiki ni wengi sana.
 
2021 mtajifunza mkiwa wapinzani,ili 2025 mje mjaribu tena bahati yenu.
 
Sijawahi ona wala kusikia Serikali unataka isifiwe Kwa kutimiza wajibu wake. Ingekuwa hivyo basi Nyerere tungemtukuza na kumsujudu.
 
Hakuna Mtanzania atampigia kura msaliti wa Nchi

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Hakuna mahali popote na kwenye hutuba yeyote lissu ameeleza kuhus ushoga Sasa jomba mbona unakuwa Kama..
Mjinga ambae anaona ukweli,anasikia ukweli lakini anaamini uongo

#akili ndogo mtaji wa ccm
 
Ukisoma ilani ya Chadema utalia imejaa mambo mabaya
Hakuna mahali popote na kwenye hutuba yeyote lissu ameeleza kuhus ushoga Sasa jomba mbona unakuwa Kama..
Mjinga ambae anaona ukweli,anasikia ukweli lakini anaamini uongo

#akili ndogo mtaji wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…