Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sanaaa ndio tunaona majibu yake leoKile kimbuga kilimpain.
Msamehe tu huyo kichwani hamna kitu kabisa na hajielewi ,ana miaka 34 lakini Bado analala sebureni kwa dada yake huyo ni mzigo kwa familia na nchi piaMkuu sidhani kama wewe ni mwana ccm
Unaleta mipasho na taarabu tu ,Kuna muda yapasa utumie kichwa chako kufikiri sio kukibeba kichwa juu ya mabega kama mzigo sawa na mizigo mingine
Mkuu hapa sio Facebook au Instagram hapa kuna wataalamu ,wabobezi na wasomi ,Ujinga wako peleka Facebook huko,Hapa ni takwimu na data zinaongea
Poroja na ujinga waachie wana ccm wa facebook huko
Sisi wana ccm wa JF ni wasomi na wataalamu wa report na tumefanya kazi duniani huko ,kwanini unaleta ushamba na ujinga ?
Waanzilishi wa chama ccm Mwalimu Nyerere alikuwa anajenga hoja na alishawishi watu tutafute uhuru
Hotuba ya kikwete akiwa Mwalimu Nyerere Memorial university alieleza kuwa Mwalimu Nyerere hakuogopa hoja na hoja hazipigwi lungu
Wewe unajiita mwana ccm huna kazi hapa JF zaidi ya kuleta ngonjera,mipasho na taarabu
Jaribu kushauri Chama nini kifanyike na wapi kunahitajika maboresho
Taarabu,Mipasho,Ngonjera ni mambo ya kiswahili na kishamba sana
Tushauri chama
Tanzania haiwezi kuongozwa na msaliti wa Nchi
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Tanzania haiwezi kuongozwa na msaliti wa Nchi
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Mkuu kwa hoja hii dhaifu nimeona ni busara zaidi nikae kimya.Lissu anaenda sokoni na stendi?Hivi mikutano na viwanja vya kufanyia mikutano so vinawekwa kwenye ratiba na NEC?Au NEC ndo wanampangia sokoni na stendi?Msaliti wa Nchi Lissu anasimama stend na sokoni
Hakuna mtu atapoteza muda kwenda kusikiliza matusi
Mkuu kwa hoja hii dhaifu nimeona ni busara zaidi nikae kimya.Lissu anaenda sokoni na stendi?Hivi mikutano na viwanja vya kufanyia mikutano so vinawekwa kwenye ratiba na NEC?Au NEC ndo wanampangia sokoni na stendi?
Tunduru hii sio ya miaka ya 90,useme ni kijijini.. ni moja ya wilaya kongwe. Imepiga hatua sana.Wanabodi,Siku nne kabla ya uchaguzi ngome zetu wana CCM hasa vijijini zimechakazwa na kutikiswa na Tundu Lissu.
Wilaya ya Tunduru Ruvuma, Mambo sio mambo ni ngome yetu wana CCM lakini wananchi wa miaka mitano iliyopita sio wananchi wa mwaka huu 2020 wamebadilika na kutugeuka kabisa.
Hii wilaya ni picha au taswira tosha kuwa sasa kunakoitwa vijijini sio vijijini tena kuna werevu na waelewa wengi kuliko mtazamo wetu ndani ya chama chetu CCM.
Mkutano wa Tundu Lissu huko Tunduru leo umenifanya nibadili taswira ya chama chetu ccm kuwa lazima sasa tubadilishe mfumo mzima wa itikadi na mawazo juu ya wananchi wa vijijini.
Mosi, CCM ikishinda na tutashinda ni muda wa kuanzisha siasa za usawa ,Maeneo tuliyoyaita vijijini leo sio vijijini tena kwani yana michanganyiko ya watu kutoka mijini hivyo madhara ya mitazamo juu ya CCM imetapakaa kila kona.
Pili, Uelewa wa wananchi umeongezeka sana kutokana na teknolojia ya mawasiliano hasa simu za mikononi hivyo imepelekea watu kujua ukweli halisi wa nchi inavyoendeshwa. Haya ndio madhara ya shule za kata kwa ccm wale wanafunzi hata kama wengi walipata sifuri lakini kuna kitu waliondoka nacho kidogo shule ambacho wanawaeleza ndugu na jamaa huko vijijini.
Kuanzia mwaka 2021 kuelekea mwaka 2025 ni muda wa kuanzisha mahusiano mema kwa kila chama na kurudisha furaha kwa wananchi tena. Madhara ya chuki yameshaonekana huko vijijini kwa wananchi kuanza kukisaliti chama cha mapinduzi.
Kuanzia 2021 ni muda wa kuwa waumilivu na kuruhusu hoja mbadala, Tuache watu waongee ya moyoni, wataongea kwa hasira lakini usiku watalala, Baada ya miaka mitano hawatakuwa na kinyongo kama sasa ambapo wanakwenda kutuadhibu mpaka wilaya kama Tunduru porini huko.