Uchaguzi 2020 CCM Vijijini Tundu Lissu ametikisa ngome ni muda wa CCM kubadili itikadi na mikakati

Huo ni uwongo Chadema, baada ya mgombea wao kutoka ubeligiji kukataliwa na Watanzania
Mkuu umejuaje Watanzania wamemkataa Lissu wakati mikutano yake inajaa nyomi na hana msanii hata mmoja anayezunguka naye?

Tusikaririshwe kwamba Watanzania wa leo ni wale wale wa juzi na jana.

Mimi sipo kwenye mambo ya siasa kivile ila ni vema tukawa tunatafakari kabla yakuongea tulichomezeshwa.
 
Anaenda stend na sokoni, hakuna Mtanzania wa kwenda kusikiliza matusi

Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Rafiki yangu unachonifurahisha ni kwamba huna hoja mbadala kabisa huwa unaandika sentensi ile ile thread nzima na kila jukwaa.

Tujifunze kutoa hoja zenye ushawishi sio kukariri sentensi moja tu.
 
Hoja kubwa ni kwamba lissu ni msaliti wa Nchi
Rafiki yangu unachonifurahisha ni kwamba huna hoja mbadala kabisa huwa unaandika sentensi ile ile thread nzima na kila jukwaa.

Tujifunze kutoa hoja zenye ushawishi sio kukariri sentensi moja tu.
 
Anaenda stend na sokoni, hakuna Mtanzania wa kwenda kusikiliza matusi
Hawa wanaojaa kwenye mikutano yake ya kampeni kumbe sio Watanzania?Kama sio Watanzania huoni serikali haipo makini kidhibiti wahamiaji haramu?

Pili kama Lissu ni Mbeligiji kama unavyoandika kila mara kwanini serikali imemwacha raia wa kigeni agombee nafasi nyeti ya Urais?

Maana Tanzania hatuna sheria ya Urais pacha.
 
Msaliti wa Nchi Lissu anasimama stend na sokoni
Hakuna mtu atapoteza muda kwenda kusikiliza matusi

Back
Top Bottom