imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Haitawasaidia kitu, Msaliti wa Nchi hana nafasi Tanzania akatukane ubeligiji
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haitawasaidia kitu, Msaliti wa Nchi hana nafasi Tanzania akatukane ubeligiji
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Usiseme hivyo. Mimi na ukoo wangu wote kura kwa Tundu Lissu tuu.
Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Acha ushoga na ushankupe wewe!Kura za thamani zipo Ccm, kupigia kura Chadema yenye msaliti wa Nchi utaambulia mabua
Msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji hana nafasi Tanzania
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Mkuu umejuaje Watanzania wamemkataa Lissu wakati mikutano yake inajaa nyomi na hana msanii hata mmoja anayezunguka naye?Huo ni uwongo Chadema, baada ya mgombea wao kutoka ubeligiji kukataliwa na Watanzania
Mkuu umejuaje Watanzania wamemkataa Lissu wakati mikutano yake inajaa nyomi na hana msanii hata mmoja anayezunguka naye?
Tusikaririshwe kwamba Watanzania wa leo ni wale wale wa juzi na jana.
Mimi sipo kwenye mambo ya siasa kivile ila ni vema tukawa tunatafakari kabla yakuongea tulichomezeshwa.
Msaliti wa Nchi hana nafasi Tanzania akatukane ubeligiji Tanzania hatutaki ushoga,
Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Rafiki yangu unachonifurahisha ni kwamba huna hoja mbadala kabisa huwa unaandika sentensi ile ile thread nzima na kila jukwaa.Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Rafiki yangu unachonifurahisha ni kwamba huna hoja mbadala kabisa huwa unaandika sentensi ile ile thread nzima na kila jukwaa.
Tujifunze kutoa hoja zenye ushawishi sio kukariri sentensi moja tu.
Hawa wanaojaa kwenye mikutano yake ya kampeni kumbe sio Watanzania?Kama sio Watanzania huoni serikali haipo makini kidhibiti wahamiaji haramu?Anaenda stend na sokoni, hakuna Mtanzania wa kwenda kusikiliza matusi
Hawa wanaojaa kwenye mikutano yake ya kampeni kumbe sio Watanzania?Kama sio Watanzania huoni serikali haipo makini kidhibiti wahamiaji haramu?
Pili kama Lissu ni Mbeligiji kama unavyoandika kila mara kwanini serikali imemwacha raia wa kigeni agombee nafasi nyeti ya Urais?
Maana Tanzania hatuna sheria ya Urais pacha.
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu