Zanzibar 2020 CCM waanza kufunga virago Zanzibar, waihofia ACT-Wazalendo

Zanzibar 2020 CCM waanza kufunga virago Zanzibar, waihofia ACT-Wazalendo

Uko Pemba sehemu gani kwanza hakuna mpemba ccm na wapemba wote wanajielewa ccm aliyeko Pemba huyo ni muuza sumu yapanya kunguni viroboto mende

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Ccm ipo hata ndani ya familia yako ndiyo maana ccm hushinda kwa kishindo mara zote
 
Jibu hoja broo usije na matusi lkn siwalaumu nyinyi matusi mushazoea kwani mumerisi kwa shangazi yenu asha bakari

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kama hujavurugwa nioneshe neno moja tusi katika post yangu: ndiyo maana watu wa ainayako wanahitaji kuongozwa na kuelekezwa
 
Je na hawa wapenda walioko tanganyika mnawapeleka wapi mabolizozo nyie
Mukiambiwa ccm hamna akili muna hamaki hebu jiulize jee kuna mungano wowote Tanzania walio ungana na nchi kama uengereza ,sweede, Canada, German jee ipo tarehe walioungana na nchihizi mbona kuna watanganyika wanishi huku na wazanzibari wala kububudhiwa

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama mwinyi ni mzanzibar huu ni mwaka wa 20 yuko bungeni niliwahi kumsikia lini akaitetea Zanzibar au nyengine yy ni waziri wa vyombo vya ulinzi mbona mpaka Leo ushahidi hauja kamilika kuhusu mashehe wale wala yy kuwatetea mashehe wale

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hili la Masheikh anatakiwa aulizwe hadharani, namuona ana sijda kwa hio anaswali.
 
Wacheni kujipa moyo maalim anashinda kwa asilimia 89 kama watakubali kua na sanduku la kura wasipokubali kinachofuata nikitendo cha Malawi sijaonapo dunia hii dola ikaishinda nguvu ya umma

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
nadhani huu ndo utakuwa muhula wa mwisho kwa Seif kugombea Zanzibar(umri) hivyo hana cha kupoteza.
itapelekea yeye kufanya kampeni ya uhakika ili kuhakikisha anapata ushindi.
na ccm kama yenyewe itataka iendelee kubakisha madaraka kwao, hivyo itapelekea mpambano kuwa mkali.
in short nachelea kusema Seif awamu hii atakuwa na nguvu(kuimarika) kupita awamu zote zilizopita
 
Back
Top Bottom