Pre GE2025 CCM waanza kuzalisha bidhaa zinazomnadi Rais Samia kuelekea uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

..wanauza, au wanagawa bure?
 
Niseme nini mbwembwe zote zile hadi leo mna milioni 64 za tone tone na huyo mzee tumbotumbo kaenda kuzitumbua Uganda? Nitasema nini mbele ya lile tumbo kubwa la Lissu na ule ulafi? Halafu mwambieni apunguze jazba mambo bado!
Milioni 64 ni kutoka kwetu watafutaji wa halali, hakuna hata shilingi moja muuza unga. Akatumbue maisha Uganda na 64m? Jazba ndio habari ya mjini na tunamuelewa vizuri kuliko yule muuza unga wako.
 
Milioni 64 ni kutoka kwetu watafutaji wa halali, hakuna hata shilingi moja muuza unga. Akatumbue maisha Uganda na 64m? Jazba ndio habari ya mjini na tunamuelewa vizuri kuliko yule muuza unga wako.
Una kichaa cha mimba we mtoto na bado!!
 
Msipoangalia vijana watapindua nchi hii kwa huu upuuzi wenu nawaambia.
Hawa hawa vijana wanaoshinda kwenye pool na boda boda, hawajui hata SMG ni nchi gani au mti wa aina gani.!!!!!! Ndio wapindue nini,, labda wapindue meza za konyagi.
 
Kwanini wanatumia nguvu kubwa wakati wao watapita tu bila kupingwa na yeyote namana wao ndio serikali
 
Watu hawajui namna cult of personality inavyoanza.
 
ukute na wafanyabiashara wameona fursa wakaingia china kufyatua bidhaa
 
Naweza kupata kondom za hivi?
 
Watu wapo kutengeneza pesa..., hizo ni justification za matumizi hata kama huenda kuwekwa kwa hizo nembo kunapunguza value (kupendwa) ila hizo nembo ndio zinaongeza price / cost ambayo ni income atakayopewa aliyopewa hio tenda (ukizingatia na hizo tenda ni miradi yao wenyewe)...

Kama watu hawa wana mapato kiasi cha kuweza kufanya haya sijui kwanini wanaendelea kutafuna kodi zetu kama ruzuku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…