Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Picha bora kuliko zote duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha bora kuliko zote duniani
CCM kweli imejipanga, hivi siku za karibuni nimekuwa nikiona bidhaa za aina mbalimbali zikimwaga mtaani kwa ajili ya kumkampenia Rais Samia, ni hatua nzuri sana ila wahakikishe walau zinapatikana kwa bei rafiki ili hata Mababu zangu kule Katerero waweze kuzimudu.
Tupia bidhaa nyingine ya CCM tusiyoijua
View attachment 3257470View attachment 3257471
Hii bidhaa ya wapi tena🤣🤣🤣
Milioni 64 ni kutoka kwetu watafutaji wa halali, hakuna hata shilingi moja muuza unga. Akatumbue maisha Uganda na 64m? Jazba ndio habari ya mjini na tunamuelewa vizuri kuliko yule muuza unga wako.Niseme nini mbwembwe zote zile hadi leo mna milioni 64 za tone tone na huyo mzee tumbotumbo kaenda kuzitumbua Uganda? Nitasema nini mbele ya lile tumbo kubwa la Lissu na ule ulafi? Halafu mwambieni apunguze jazba mambo bado!
Sasa kenge kama hii uiambie habari ya upinzani itakuelewa
Mbona sielewi hii nayo ni bidhaa?
Mdomo umechongoka kama wa Lucas Mwashambwa!
Una kichaa cha mimba we mtoto na bado!!Milioni 64 ni kutoka kwetu watafutaji wa halali, hakuna hata shilingi moja muuza unga. Akatumbue maisha Uganda na 64m? Jazba ndio habari ya mjini na tunamuelewa vizuri kuliko yule muuza unga wako.
Hawa hawa vijana wanaoshinda kwenye pool na boda boda, hawajui hata SMG ni nchi gani au mti wa aina gani.!!!!!! Ndio wapindue nini,, labda wapindue meza za konyagi.Msipoangalia vijana watapindua nchi hii kwa huu upuuzi wenu nawaambia.
NdioMbona sielewi hii nayo ni bidhaa?
Kwanini wanatumia nguvu kubwa wakati wao watapita tu bila kupingwa na yeyote namana wao ndio serikaliCCM kweli imejipanga, hivi siku za karibuni nimekuwa nikiona bidhaa za aina mbalimbali zikimwaga mtaani kwa ajili ya kumkampenia Rais Samia, ni hatua nzuri sana ila wahakikishe walau zinapatikana kwa bei rafiki ili hata Mababu zangu kule Katerero waweze kuzimudu.
Tupia bidhaa nyingine ya CCM tusiyoijua
View attachment 3257470View attachment 3257471
ukute na wafanyabiashara wameona fursa wakaingia china kufyatua bidhaaCCM kweli imejipanga, hivi siku za karibuni nimekuwa nikiona bidhaa za aina mbalimbali zikimwaga mtaani kwa ajili ya kumkampenia Rais Samia, ni hatua nzuri sana ila wahakikishe walau zinapatikana kwa bei rafiki ili hata Mababu zangu kule Katerero waweze kuzimudu.
Tupia bidhaa nyingine ya CCM tusiyoijua
View attachment 3257470View attachment 3257471
Hapo bidhaa ni ipi?
Naweza kupata kondom za hivi?CCM kweli imejipanga, hivi siku za karibuni nimekuwa nikiona bidhaa za aina mbalimbali zikimwaga mtaani kwa ajili ya kumkampenia Rais Samia, ni hatua nzuri sana ila wahakikishe walau zinapatikana kwa bei rafiki ili hata Mababu zangu kule Katerero waweze kuzimudu.
Tupia bidhaa nyingine ya CCM tusiyoijua
View attachment 3257470View attachment 3257471
Ongea na MwashambwaNaweza kupata kondom za hivi?