Can hupa ya maji ya plastiki yenye kifuniko cha bluu. Ina lebo yenye maandishi yanayosema "RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA" na "Hongera Mh. Rais." Inaonekana kuwa ni bidhaa maalum inayosherehekea au kumpongeza Rais wa Tanzania.
Hii ni ubunifu kuonyesha kwamba serikali inajali watu wake. Sina upinzani nao wabuni? Kwani kuna mtu kawazuia kufanya? Mimi nadhani tu wa mtu mwenyewe na sio kwamba nirushwa.
Hii ni ubunifu kuonyesha kwamba serikali inajali watu wake. Sina upinzani nao wabuni? Kwani kuna mtu kawazuia kufanya? Mimi nadhani tu wa mtu mwenyewe na sio kwamba nirushwa.
Machadomo full kuchanganyikiwa halafu sijui kitu gani hawa jamaa kujiona wasafi kenge wakubwa, SSH atawakalisha mapema sana na hawatoamini mama kizimkazi atavowakabia kwa juu.