Hahahahaha huyu alikupa Hadi Time ya ukweli! Dadeeeeki!
Ikulu Ndugu yangu imejengwa na wajerumani. Mji wa Bagamoyo ndio una historia za dini zote.
Dola ya kiislamu waislamu wenyewe Hawaitaki. Mambo ya kukatana vichwa hadharani, pia wanawake kuficha uzuri wao wengi hawapendi. Kupiga mawe wanawake wachepukaji wewe unaona Sawa?Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".
Kabla ya kutoka bungeni baadhi ya wabunge wa UKAWA jana, Professor Lipumba aliweka wazi aliyoyaongea kanisani waziri mmoja wa Serikali ya Muungano. Lipumba alisema kuna waziri kaenda kuhutubia kanisani kuwa "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam". Jana...www.jamiiforums.com
Mzungu alivyokuja alikuta kuna wenyeji, kumbuka hilo.Ikulu Ndugu yangu imejengwa na wajerumani. Mji wa Bagamoyo ndio una historia za dini zote.
Hata hivyo ikulu mpya ipo dodoma Magufuli Alisema atafanya jumba la makumbusho mpewe tu. Nilienda kusali makanisa yote mawili Ukiona mfumo wa ujenzi ni wa kirumi ukienda makanisa ya zamani ulaya utashangaa yanafanana na ya KKKT na Romani. Yale mbele Sasa sijui msikiti uko wapi. Wafanyakazi wa ikulu walijenga msikiti pale pembeni ya ikulu nasikia mkala pesa.
Hizo zote ni propaganda zilizokujaza ujinga, soma Qur'an uuelewe Uislam.Dola ya kiislamu waislamu wenyewe Hawaitaki. Mambo ya kukatana vichwa hadharani, pia wanawake kuficha uzuri wao wengi hawapendi. Kupiga mawe wanawake wachepukaji wewe unaona Sawa?
Yaani K yako mwenyewe mtu anakupangia umpe nani unaona ni Sawa. Kuzuia wanawake kusoma wala kufanya shopping utaweza. Umezoea kupuyanga popote Leo hii huwezi kutoka kwenda popote bila kusindikizwa na mwanaume utaweza? Hizi dini zimekuja na Meli sisi tulizoea kuabudi kwenye miti na milima. Wakoloni wakatuletea hizi dini kipindi tunavaa ngozi tu tunaziba mbele na nyuma. Matiti wazi na heshima kwa mwanamke ilikuwepo. Sasa unataka tuanze Mila za kiarabu. Utakuwa umelogwa.
1300 kulikuwa Kuna mji mkubwaMzungu alivyokuja alikuta kuna wenyeji, kumbuka hilo.
Utashindana na Uislam, kwa historis ya karibuni, uliofika pwani ya Afrika Mashariki miaka 1,300 nyuma? Kwa historia ya kale soma Sulaiman alikuwa wapi na alioa Malkia wa wapi?
Hukusoma wewe hata darasa Moja.Mzungu alivyokuja alikuta kuna wenyeji, kumbuka hilo.
Utashindana na Uislam, kwa historis ya karibuni, uliofika pwani ya Afrika Mashariki miaka 1,300 nyuma? Kwa historia ya kale soma Sulaiman alikuwa wapi na alioa Malkia wa wapi?
Kasome kuhusu Kilwa.1300 kulikuwa Kuna mji mkubwa
Hukusoma wewe hata darasa Moja.
Kuna mji maarufu kabla ya bagamoyo upo Katibu na kilwa ulizama baharini unaitwa Rhapta.
Hii Dar es salaam ilikuwa yote ni mikoko na mashamba mpaka pale Ujerumani kujenga ngome yao pale magogoni. Na mji Kuanza kujengwa. Hii upanga yote yalikuwa ni maji tu. Hata wakati wa miaka ya themanini Kinondoni lilikuwa eneo la kuwinda. Nimekuja Dar kijitonyama yote ni majaruba ya mpunga.
Hizo ulizonazo kichwani ni Propaganda za Alishababu. Hawakusoma basi kila kitu wanabuni tu.
Dada yangu hizi dini kabla ya demokrasia zilikuwa zinatawala nchi nyingi sana. Ulaya yote ilikuwa inatawaliwa na walumi pia wa katoliki. Lakini serikali hizi zote zilishindwa na kusambaratika. Angalia kote huko Irani ni shida tu. Huwezi kumbana binadamu. Mwacheni mtu achague dini anayotaka. Kama mtu anataka kuwa na sheria za kidini ajifanyie mwenyewe. Si kumlazimisha watu ni vulugu tu na vita na mauaji.Hizo zote ni propaganda zilizokujaza ujinga, soma Qur'an uuelewe Uislam.
Kilwa masoko ni baada Rapta kuzama na kupotea majini. Africa ilikuwa kitovu cha biashara miaka 5000 iliyopita. Ugunduzi ulionyesha sarafu mbali mbali pamoja na michoro pamoja na Nyumba za rami na cement za kirumi. Baada dola ya kirumi kuanguka na Kuanza vita dhidi ya wayahudi biashara ilikufa hata kabla ya ukristo na Uislamu. Rapta ilikuwepo wachina walifanya biashara hapa.Kasome kuhusu Kilwa.
Sifahamu "walumi" ndiyo nani.Dada yangu hizi dini kabla ya demokrasia zilikuwa zinatawala nchi nyingi sana. Ulaya yote ilikuwa inatawaliwa na walumi pia wa katoliki. Lakini serikali hizi zote zilishindwa na kusambaratika. Angalia kote huko Irani ni shida tu. Huwezi kumbana binadamu. Mwacheni mtu achague dini anayotaka. Kama mtu anataka kuwa na sheria za kidini ajifanyie mwenyewe. Si kumlazimisha watu ni vulugu tu na vita na mauaji.
Vitu vingine vikitajwa hovyo hovyo huzua taharuki kwetu sisi wenye ashki majinunimakaadi, masaburi, makalio, manundu, msambwanda, zigo, yote ni matako tu.
Sifahamu "walumi" ndiyo nani.
Usikae ukasoma dini yako pekee. Kazi ya dini hapa Duniani ni kukuandaa si kwa maisha ya Hapa Duniani bali ya ahela. Soma dini zote utashaangaa. Mfano Mimi nilisoma kurani.Sifahamu "walumi" ndiyo nani.
Dahh hyo video ya 2 inachekesha sana, na hyo ya kwanza kumbe Ndugai kuna wakati alikua anaongea point eehSakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.
Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.
Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.
Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.
Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.
Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Wanapimwa kote kote. Kwani vitu haramu kama madawa ya kulevya yanakamatwa kwa wazalishaji tu na siyo kwa watumiaji?Ndiyo walewale.
Point siyo kuwapima vipi, ni wapi? Kwanini asiende huko wanakovuliwa?
Tanroads wanakwenda bungeni kupima barabara zao?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Uliyonayo inaitwa "dirty mind". mitandao imekuvuruga uanadamu wako.Vitu vingine vikitajwa hovyo hovyo huzua taharuki kwetu sisi wenye ashki majinuni
Ushase "madawa" anaezalisha anazalisha madawa, hazalishi "haramu" , haramu anakuja kuyafanya asiyeyazalisha.Wanapimwa kote kote. Kwani vitu haramu kama madawa ya kulevya yanakamatwa kwa wazalishaji tu na siyo kwa watumiaji?
Mtumiaji atasema ametoa kwa nani hadi atapatikana mvuvi haramu na vifaa vyake haramu.
Ukiona mtu anakimbilia kutukana watu wajinga ujue yeye ndiyo ana tatizo sehemu.
Kama kungekuwa na highway zilizo chini ya TANROADS zinazopita bungeni TANROADS wangepima vile vile kama sehemu zingine.
Umenikumbusha kainalugaba msemakweli alindika kitabu cha mafisadi wa elimu mwanzo mwisho majina ya makada wa ccm wenye elimu fake,yule mwamba sijui yuko wapi 🤣Kuna member wa jf kwa sas hajulikan yupo hai au ni mfu aliwah kupost masuala haya haya ya elimu za wanaccm akagharamika! La msingi hapa ni kuwakataa hawa ccm hata kwa kuwatengda, kuwapopoa hata na mawe wanapoongea au kutuhutubia ujinga.
Alcohol ingredients ya Kwanza ni starch na wadudu wa na Amila yeast. Hivi kwanini hukwenda shule?Ushase "madawa" anaezalisha anazalisha madawa, hazalishi "haramu" , haramu anakuja kuyafanya asiyeyazalisha.
Mfano mzuri sana sukari, sukari ndiyo "ingredient" ya kwanza ya alcohol, anaeifanya alcohol kuwa kilevi ni nani? mzalisha sukari?
Sijaenda shule kusomea pombe mimi. Lakini hilo halinifanyi nisielewwe alcohol ni nini.Alcohol ingredients ya Kwanza ni starch na wadudu wa na Amila yeast. Hivi kwanini hukwenda shule?
Kazi ya Elimu ni kukusaidia wewe kutambua mazingira yanayokuzunguka ili uyatawale. Sasa upo sehemu unataka kueleza watu kuhusu kuacha pombe hata hujui pombe inatengenezwaje?Sijaenda shule kusomea pombe mimi.
Kumbuka hilo.