CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

Hahahahaha huyu alikupa Hadi Time ya ukweli! Dadeeeeki!
 
Ikulu Ndugu yangu imejengwa na wajerumani. Mji wa Bagamoyo ndio una historia za dini zote.
Hata hivyo ikulu mpya ipo dodoma Magufuli Alisema atafanya jumba la makumbusho mpewe tu. Nilienda kusali makanisa yote mawili Ukiona mfumo wa ujenzi ni wa kirumi ukienda makanisa ya zamani ulaya utashangaa yanafanana na ya KKKT na Romani. Yale mbele Sasa sijui msikiti uko wapi. Wafanyakazi wa ikulu walijenga msikiti pale pembeni ya ikulu nasikia mkala pesa.
 
Dola ya kiislamu waislamu wenyewe Hawaitaki. Mambo ya kukatana vichwa hadharani, pia wanawake kuficha uzuri wao wengi hawapendi. Kupiga mawe wanawake wachepukaji wewe unaona Sawa?
Yaani K yako mwenyewe mtu anakupangia umpe nani unaona ni Sawa. Kuzuia wanawake kusoma wala kufanya shopping utaweza. Umezoea kupuyanga popote Leo hii huwezi kutoka kwenda popote bila kusindikizwa na mwanaume utaweza? Hizi dini zimekuja na Meli sisi tulizoea kuabudi kwenye miti na milima. Wakoloni wakatuletea hizi dini kipindi tunavaa ngozi tu tunaziba mbele na nyuma. Matiti wazi na heshima kwa mwanamke ilikuwepo. Sasa unataka tuanze Mila za kiarabu. Utakuwa umelogwa.
 
Mzungu alivyokuja alikuta kuna wenyeji, kumbuka hilo.

Utashindana na Uislam, kwa historis ya karibuni, uliofika pwani ya Afrika Mashariki miaka 1,300 nyuma? Kwa historia ya kale soma Sulaiman alikuwa wapi na alioa Malkia wa wapi?
 
Hizo zote ni propaganda zilizokujaza ujinga, soma Qur'an uuelewe Uislam.
 
1300 kulikuwa Kuna mji mkubwa

Hukusoma wewe hata darasa Moja.
Kuna mji maarufu kabla ya bagamoyo upo Katibu na kilwa ulizama baharini unaitwa Rhapta.
Hii Dar es salaam ilikuwa yote ni mikoko na mashamba mpaka pale Ujerumani kujenga ngome yao pale magogoni. Na mji Kuanza kujengwa. Hii upanga yote yalikuwa ni maji tu. Hata wakati wa miaka ya themanini Kinondoni lilikuwa eneo la kuwinda. Nimekuja Dar kijitonyama yote ni majaruba ya mpunga.

Hizo ulizonazo kichwani ni Propaganda za Alishababu. Hawakusoma basi kila kitu wanabuni tu.
 
Kasome kuhusu Kilwa.
 
Hizo zote ni propaganda zilizokujaza ujinga, soma Qur'an uuelewe Uislam.
Dada yangu hizi dini kabla ya demokrasia zilikuwa zinatawala nchi nyingi sana. Ulaya yote ilikuwa inatawaliwa na walumi pia wa katoliki. Lakini serikali hizi zote zilishindwa na kusambaratika. Angalia kote huko Irani ni shida tu. Huwezi kumbana binadamu. Mwacheni mtu achague dini anayotaka. Kama mtu anataka kuwa na sheria za kidini ajifanyie mwenyewe. Si kumlazimisha watu ni vulugu tu na vita na mauaji.
 
Kasome kuhusu Kilwa.
Kilwa masoko ni baada Rapta kuzama na kupotea majini. Africa ilikuwa kitovu cha biashara miaka 5000 iliyopita. Ugunduzi ulionyesha sarafu mbali mbali pamoja na michoro pamoja na Nyumba za rami na cement za kirumi. Baada dola ya kirumi kuanguka na Kuanza vita dhidi ya wayahudi biashara ilikufa hata kabla ya ukristo na Uislamu. Rapta ilikuwepo wachina walifanya biashara hapa.
 
Dada yangu hizi dini kabla ya demokrasia zilikuwa zinatawala nchi nyingi sana. Ulaya yote ilikuwa inatawaliwa na walumi pia wa katoliki. Lakini serikali hizi zote zilishindwa na kusambaratika. Angalia kote huko Irani ni shida tu. Huwezi kumbana binadamu. Mwacheni mtu achague dini anayotaka. Kama mtu anataka kuwa na sheria za kidini ajifanyie mwenyewe. Si kumlazimisha watu ni vulugu tu na vita na mauaji.
Sifahamu "walumi" ndiyo nani.
 
Sifahamu "walumi" ndiyo nani.

Sifahamu "walumi" ndiyo nani.
Usikae ukasoma dini yako pekee. Kazi ya dini hapa Duniani ni kukuandaa si kwa maisha ya Hapa Duniani bali ya ahela. Soma dini zote utashaangaa. Mfano Mimi nilisoma kurani.

Nikagundua hakuna tofauti Kati ya Uislamu na ukristo. Hata wakristo wa kwanza wote Walikuwa wanaswali kama waislamu wa Leo.

Ila mabadiliko yalitokea mpaka Sasa wanaonekana tofauti. Chakushangaza dini zote zimemtoka Ibrahim.

Ila watu Wanatumia hizi dini kupeleka ajenda zao. Kuna mtu anatamani madaraka lakini hana vigezo anatumia dini kupata madaraka tena kwa Maslahi binafsi. Dini zote ni za kweli lakini Kuna watu wanaizitumia kujinufaisha wenyewe fanya uchunguzi huwezi kwenda msikitini wala kanisani. Ila ukweli kabisa Mungu yupo na dini zote kuu tatu zimemtokana kuitwa na Abraham na Mungu.
 
Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.

Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.

Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.

Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.

Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.

Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Dahh hyo video ya 2 inachekesha sana, na hyo ya kwanza kumbe Ndugai kuna wakati alikua anaongea point eeh

Siasa si hasa asee.
 
Ndiyo walewale.

Point siyo kuwapima vipi, ni wapi? Kwanini asiende huko wanakovuliwa?

Tanroads wanakwenda bungeni kupima barabara zao?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Wanapimwa kote kote. Kwani vitu haramu kama madawa ya kulevya yanakamatwa kwa wazalishaji tu na siyo kwa watumiaji?
Mtumiaji atasema ametoa kwa nani hadi atapatikana mvuvi haramu na vifaa vyake haramu.
Ukiona mtu anakimbilia kutukana watu wajinga ujue yeye ndiyo ana tatizo sehemu.
Kama kungekuwa na highway zilizo chini ya TANROADS zinazopita bungeni TANROADS wangepima vile vile kama sehemu zingine.
 
Vitu vingine vikitajwa hovyo hovyo huzua taharuki kwetu sisi wenye ashki majinuni
Uliyonayo inaitwa "dirty mind". mitandao imekuvuruga uanadamu wako.

Sali, funga ma soma sana.

Unafahamu maana ya "ashki majinuni" uliyoiandika?
 
Wanapimwa kote kote. Kwani vitu haramu kama madawa ya kulevya yanakamatwa kwa wazalishaji tu na siyo kwa watumiaji?
Mtumiaji atasema ametoa kwa nani hadi atapatikana mvuvi haramu na vifaa vyake haramu.
Ukiona mtu anakimbilia kutukana watu wajinga ujue yeye ndiyo ana tatizo sehemu.
Kama kungekuwa na highway zilizo chini ya TANROADS zinazopita bungeni TANROADS wangepima vile vile kama sehemu zingine.
Ushase "madawa" anaezalisha anazalisha madawa, hazalishi "haramu" , haramu anakuja kuyafanya asiyeyazalisha.

Mfano mzuri sana sukari, sukari ndiyo "ingredient" ya kwanza ya alcohol, anaeifanya alcohol kuwa kilevi ni nani? mzalisha sukari?
 
Kuna member wa jf kwa sas hajulikan yupo hai au ni mfu aliwah kupost masuala haya haya ya elimu za wanaccm akagharamika! La msingi hapa ni kuwakataa hawa ccm hata kwa kuwatengda, kuwapopoa hata na mawe wanapoongea au kutuhutubia ujinga.
Umenikumbusha kainalugaba msemakweli alindika kitabu cha mafisadi wa elimu mwanzo mwisho majina ya makada wa ccm wenye elimu fake,yule mwamba sijui yuko wapi 🤣
 
Ushase "madawa" anaezalisha anazalisha madawa, hazalishi "haramu" , haramu anakuja kuyafanya asiyeyazalisha.

Mfano mzuri sana sukari, sukari ndiyo "ingredient" ya kwanza ya alcohol, anaeifanya alcohol kuwa kilevi ni nani? mzalisha sukari?
Alcohol ingredients ya Kwanza ni starch na wadudu wa na Amila yeast. Hivi kwanini hukwenda shule?
 
Alcohol ingredients ya Kwanza ni starch na wadudu wa na Amila yeast. Hivi kwanini hukwenda shule?
Sijaenda shule kusomea pombe mimi. Lakini hilo halinifanyi nisielewwe alcohol ni nini.

Hivyo ulivyo vitaja vyote vinatengeneza sukari na process yake ni "fermentation". Ukiiongeza sukari unaongeza spidi tu ya fermentation. Huwezi kupata "methanol" bila sukari, iwe ya miwa au ya hao 'wadudu" wako.bacteria wa yeast auu matunda mengne au hata miti na mimea mingine. Hata takataka za nyumbani unatengeza hizo "sugars" za kufanya "methanol", kwa maana hiyo hata mavia yako unaweza kuyageuza yakawa sukari ya alcohol.

Huwa sikisii.

Kumbuka hilo.
 
Sijaenda shule kusomea pombe mimi.

Kumbuka hilo.
Kazi ya Elimu ni kukusaidia wewe kutambua mazingira yanayokuzunguka ili uyatawale. Sasa upo sehemu unataka kueleza watu kuhusu kuacha pombe hata hujui pombe inatengenezwaje?
Umeme ni nini, Mawe ni nini, sana sana utaanza Kuwadanganya watu tu. Sasa shukuru hao watu wasiwe na uelewa. Wakiwa na uelewa watakusikiliza harafu wakuache hapo na uvundo wako.

Binadamu wa Leo unatakiwa kusoma kila kitu na kujua vizuri.

Mfano tu ni mkataba wa Bandari hata wasomi wenyewe wameshindwa kutafsiri ipaswavyo. Maana hawajui lugha ya sheria. Sheria ina lugha zake.
Hata mtume anahimiza watu wasome wajue mambo. Lakini Kuna kamtu hakana elimu kanatafuta uhalali anakwambia achana na elimu Dunia. Wakati anatumia MTANDAO, Magari, umeme, Pasi, nguo, bunduki. Kama elimu Dunia mbaya atembee uchi bila nguo. Alale kwenye nyumba ya miti na udongo. Huwezi kujenga bila hesabu nyumba itabomoka.
 
Back
Top Bottom