CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti


Kanisome vizuri, unaweza kusoma lakini usielimike. Mbona kijana unaninukuu nusu nusu?
 
Kanisome vizuri, unawezza kusma lakini usielimike.
Faida ya kusoma si kuelimika. Kusoma kukusaidia kutawala mazingira yako si lazima uelemike. Kuna watu wasomi sana bado wanaishi na mila na desturi zao. Watu kama waspanish, waitaliano, wamasai, wahindi, na wachina. Kuelimika si kuacha mazingira yako. Ndio maana Africa tunatawalika elimu kidogo tu tu naacha mila na desturi. Zamani wanawake Walikuwa wanafundwa. Sasa wameacha ni vulugu tu wanawake wanadangana sana. Kwasababu hawafundwi tena eti tumeelemika. Waitaliano wanawafunda mpaka Leo binti zao. Ingawa walitawaliwa na dini mbali mbali lakini siku ya harusi lazima wavunje chupa. Wanakula vyakula vyao vya asili lakini sisi. Ukiisha kuwa mwislamu utaka vyakula vya Kiarabu tu.
 
Ewaaaa na wewe uko na maguphobia! Uhali Gani?
 

 
Chongolo hajakosea na makubaliano yapo wazi kabisa, hjayaona?

Elewa tu, makubaliano ya nchi na nchi siyo Mkataba wa kuendesha bandari ipi na vipi.

Kuendesha bandari siyo lelemama.
Tuna elezwa Dubai sio nchi
 
Pombe lazima iwepo ili ikutofautishe mtu mwema na mtu mbaya. Kama pombe haipo basi hata kurani haijatimia. Maana inakataza kitu ambacho hakipo. Dhambi inatakiwa iwepo ili mafunzo ya vitabu yatimie. Kama hakuna Rushwa Taasisi ya kupambana na Rushwa haipaswi kuwepo. Kwahiyo kama hakuna dhambi Uislamu na ukristo haupaswi kuwepo wote tutakuwa watakatifu. Kwahiyo dhambi lazima ziwepo ili dini zihubiri watu waokoke. Tena zambi zinatakiwa kuwa nyingi zaidi ili dini ziwe kubwa zaidi. Giza ilikuwepo ndio watu wakagundua umeme. Otherwise umeme hauna maana yoyote.
 
Leo ndiyo umelijuwa hilo? Kuna mpaka watu wanaitwa Pombe.
 
Elezwa upendavyo.

Kulumbana na mtu mjinga ni sawa na kulumbana na ukuta.

Iwe au isiwe nchi, tatizo nini?
Hebu usijifungie ndani usome vitabu mbali mbali Utakuja kujua Dunia vizuri. Mimi mpaka sasa nimesoma vitabu vitabu 2000 ikiwemo kuran na biblia na machapisho mbali mbali ya dini zingine. naelewa Dunia kiasi bado nasoma. Mfano tu Mimi nimesoma vitabu mpaka nilikutana na mtu nikiiona pua macho na mdomo najua ni mwaminifu au ni longolongo
 
Iwe ni marafuiu kwa form 4 failure kushika nyadhifa yeyote serikalini
Naungana na wewe maana form4 ndio sehemu pekee mwanafunzi anafunguliwa Dunia kwa upana sana. Baada ya hapo anaandaliwa kwenye professional. Nadhani masomo yaongezwe Zaidi huko chini.
 
Unaweza kuwa umesoma lakini hujaelimika.
 
Leo ndiyo umelijuwa hilo? Kuna mpaka watu wanaitwa Pombe.
Jina halihusiani na Tabia ya mtu. Kuna Jina mpaka la viungo vya binadamu huko Moshi. Kuna watu wanaitwa MBORO utadhani anayo kubwa kumbe kibamia. ni majina tu.
 
Unaweza kuwa umesoma lakini hujaelimika.
Kuelimika si muhimu. Muhimu ni kujua vitu. Kuelimika ni kubadilika. Msomi mzuri habadiliki anaelewa. Mfano nipo kwenye basi nimevaa nguo za kawaida wamasai wanaongea kimasai Mimi najua kimasai. Raha yangu ni kusikia wanaongea nini. Hii ndio Faida ya kusoma ni kujua wala si kubadilika hapana. Tabia zibakie zako za Awali lakini ujue. Tabia zako za kula pekupeku usiziache bali ujue ukimwi unaambukizwaje?
 
Lameck Madelu - Mwigulu Nchemba
Daudi Albert Bashite - Paul Makonda
Erick Ngambeki - Kheri James
Said Bagaile - Hamis Kingwangwala
Obed Mayagi Mulaga - Cyprian Musiba.
Daniel Chongolo - Godfrey Daniel Chongolo.
 
Huoni point kwasababu ubongo wako umebanwa sehemu Moja. Umefungwa kwenye kamba fupi ya dini unakula hapo hapo huwezi kwenda popote mpaka ukate kamba ukale Majani ya mbali na hapo.
 
Hata wasomi wakipewa dhamana kwenye serikali ya CCM hujtoa ufahamu
 
Lameck Madelu - Mwigulu Nchemba
Daudi Albert Bashite - Paul Makonda
Erick Ngambeki - Kheri James
Said Bagaile - Hamis Kingwangwala
Obed Mayagi Mulaga - Cyprian Musiba.
Daniel Chongolo - Godfrey Daniel Chongolo.
Hii ya Ndani kabisa haha wewe ni TISS🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…