FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kazi ya Elimu ni kukusaidia wewe kutambua mazingira yanayokuzunguka ili utayatawale. Sasa upo sehemu unataka kueleza watu kuhusu kuacha pombe hata hujui pombe inatengenezwaje?
Umeme ni nini, Mawe ni nini, sana sana utaanza Kuwadanganya watu tu. Sasa shukuru hao watu wasiwe na uelewa. Wakiwa na uelewa watakusikiliza harafu wakuache hapo na uvundo wako. Binadamu wa Leo unatakiwa kusoma kila kitu na kujua vizuri. Mfano tu ni mkataba wa Bandari hata wasomi wenyewe wameshindwa kutafsiri ipaswavyo. Maana hawajui lugha ya sheria. Sheria ina lugha zake. Hata mtume anahimiza watu wasome wajue mambo. Lakini Kuna kamtu hakana elimu kanatafuta uhalali anakwambia achana na elimu Dunia. Wakati anatumia MTANDAO, Magari, umeme, Pasi, nguo, bunduki. Kama elimu Dunia mbaya atembee uchi bila nguo. Alale kwenye nyumba ya miti na udongo. Huwezi kujenga bila hesabu nyumba itabomoka.
Kanisome vizuri, unaweza kusoma lakini usielimike. Mbona kijana unaninukuu nusu nusu?