CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.

Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.

Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.

Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.

Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.

Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Ndugai anasema viongozi wana makalai matupu
 
Ulielewa alichokisema Chongolo au unakurupuka tu?.
Ukiunganisha kauli ya Kassim, Mbarawa na chongolo ziko sawa?

Chongolo pekee ndo amekiri mkataba unahusu bandari zote, wengine wote wamedanganya.

Umeelewaje wewe!!!!
 
Waislamu wameingiaje hapo ?
Mbona mwapenda kujivua nguo na kuonekana ni mijitu ya ovyoo?
Kassim alisemea msikitini kuwa bandari ya tangala haihusiki na mkataba.
 
Chongolo hajakosea na makubaliano yapo wazi kabisa, hjayaona?

Elewa tu, makubaliano ya nchi na nchi siyo Mkataba wa kuendesha bandari ipi na vipi.

Kuendesha bandari siyo lelemama.
Tumewekeza trillion kadhaa Kutoka Kodi za wananchi.

Haiwezekani tujenge sie Kwa Kodi zetu, Yeye aje apewe Bure na asichangue hata mia.

Pia kama Serikali ya Sa100 imeshindwa kudhibiti RUSHWA, wizi na ucheleweshaji mizigo bandarini, itupishe tuchague wanaoweza.
 
Unaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.

Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima samaki waliopikwa kwa ruler.

Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
Kuna member wa jf kwa sas hajulikan yupo hai au ni mfu aliwah kupost masuala haya haya ya elimu za wanaccm akagharamika! La msingi hapa ni kuwakataa hawa ccm hata kwa kuwatengda, kuwapopoa hata na mawe wanapoongea au kutuhutubia ujinga.
 
Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.

Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.

Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.

Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.

Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.

Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Acha umbea wa kipuuzi, CCM nani ana vyeti vya magumashi, CCM imejaa watu wasomi wa kweli. Magufuli yeye ndiyo alikuwa na PhD feki ndiyo maana alimwua Ben Saanane, uone haya aibu kumtaja huyo shetani.
 
Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.

Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.

Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.

Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.

Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.

Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Kwanza ujue CCM haiko njia panda, uamuzi wa kubinafsisha uendeshaji wa bandari umeshapita kinachosubiriwa ni utekelezaji tu.
 
Tumewekeza trillion kadhaa Kutoka Kodi za wananchi.

Haiwezekani tujenge sie Kwa Kodi zetu, Yeye aje apewe Bure na asichangue hata mia.

Pia kama Serikali ya Sa100 imeshindwa kudhibiti RUSHWA, wizi na ucheleweshaji mizigo bandarini, itupishe tuchague wanaoweza.
ujinga ni mzigo
 
Chongolo hajakosea na makubaliano yapo wazi kabisa, hjayaona?

Elewa tu, makubaliano ya nchi na nchi siyo Mkataba wa kuendesha bandari ipi na vipi.

Kuendesha bandari siyo lelemama.
Wewe bibi rudi madrasa uendelee kujifunza kiarabu na namna ya kuvaa ushungi.

Unaposema makubaliano ya nchi na nchi unamanisha nini?

Kwamba Dubai ni nchi au?? unatetea usichokijua wewe!
 
Unamaanisha Tanzania na nani vile?
 
Kuna member wa jf kwa sas hajulikan yupo hai au ni mfu aliwah kupost masuala haya haya ya elimu za wanaccm akagharamika! La msingi hapa ni kuwakataa hawa ccm hata kwa kuwatengda, kuwapopoa hata na mawe wanapoongea au kutuhutubia ujinga.
Tumkubali msomi Mbowe, au siyo?
 
Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.

Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.

Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.

Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.

Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.

Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Ndio hivyo mama ameshindwa kuwatumia akina kabudi akina lukuvi ili wamsaidie na badala yake akawaweka hao Machawa wake ,acha avune alichopanda
 
Back
Top Bottom