Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
CCM Kuna mahali nimekosea, target mbaya, maandalizi mabaya na mipango pia imekaa vibaya. Mzee Warioba alisema kwa Tundu ni mtu ambaye anazijua sana sheria kupambana naye penye haki itakuletea matatizo makubwa.
Kwa hali ilivyo sasa kuna uwezekano ulio wazi ni kwamba CCM wajiweke kisaikolojia kujiandaa na matokeo yeyote. Ukweli uko wazi CCM wananchi hawakipendi labda kwa ukongwe wake au kushindwa kutimiza ahadi zake kwa miaka 59 iliyopita.