Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa aluuu,ccm mmeanza kupoteana.Lissu anatakiwa ashitakiwe kwa yale aliyokuwa akiyafanya huko Marekani na Ulaya kabla ya kurudi hapa nchini. Yule mlinzi wake anatakiwa awe na pingu mkononi baada tu 28/10. Atiwe nguvuni akajibu tuhuma zake.
Wanaccm woòoteeeeMlimdanganya hivi hivi EL mwaka 2015, endeleeni kumdanganya hivi hivi Lissu mwaka 2020.
Jambo la muhimu baada ya 28/10 Lissu asipewe nafasi ya kutoroka nchi.
Iwe wazi kama ilivyokuwa kwa kura za wajumbe wa CCM ngazi zote! mtu apate moja, mia nk hadharani!!Hapo mbona safi tyuuuu!CCM wajiandae kiakili na kisaikolojia. Uchaguzi wa mwaka huu ni pasua kichwa. Anything anywhere can happen. Jambo la muhimu mtu atakayeshinda ashinde kwa halali.
Yaani kuwa mgombea ndio tayari mnamhesabia kama mhalifu? eti asitoroke!!Kumbe ni kujinadi majukwaani. Hata Lissu huoni anavyo jinadi kushitaki the Hague kama vile mahakama hiyo imegeuka mpiga kura Tanzania.. Lissu asubri hukumu yake kwenye sanduku la kura 28/10 wala haiko mbali siku 9 tu. Na baada ya hapo ni kuhakikisha hatoroki nchi, kwenda kuendelezea uasi wake Marekani na Ulaya.
Kuzungumzia CCM ya miaka 50 iliyopita ni kukosa UHALISIA WA KISIASA kwani kwa mfananisho huo, CHADEMA lazima uiache nje na usiizungumzie KABISA. Tunazungumzia CCM ya leo na CHADEMA ya leo. Kwa kufanya mlinganisho huo, kuna UHALISIA WA KISIASA. Pia kwa sasa tunazungumzia ya SASA ambayo kwa kweli yanawafanya wapinzani pamoja na Lissu kukosa hoja na kuishia kutukana na kumsikiliza na kuyasema ya Bob Amsterdam ambaye ni mnyonyaji tu na mwizi tu kama wakoloni wenzake wote. Hatimaye ni wazi kuwa CHADEMA mmeshajiweka kisaikolojia KUSHINDWA licha ya uongo na ubabaishaji mkubwa kutoka kwa wagombea wake.CCM Kuna mahali nimekosea, target mbaya, maandalizi mabaya na mipango pia imekaa vibaya. Mzee Warioba alisema kwa Tundu ni mtu ambaye anazijua sana sheria kupambana naye penye haki itakuletea matatizo makubwa.
Kwa hali ilivyo sasa kuna uwezekano ulio wazi ni kwamba CCM wajiweke kisaikolojia kujiandaa na matokeo yeyote. Ukweli uko wazi CCM wananchi hawakipendi labda kwa ukongwe wake au kushindwa kutimiza ahadi zake kwa miaka 59 iliyopita.