Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Si Kuna kijana Kiongozi wenu anasema safari hii mtatumia Sindano ya Sumu kummaluza Lissu,Kama Mungu alimlinda na Risasi 30+hiyo Sumu itawarejea ninyi na kizazi chenu!Narudia kudhondwa kwa Lissu hakuna ubishi, muhimu sasa ni kuangalia na kushughulika na yatikanayo na uchaguzi 2020.
Lissu baada ya kushindwa atakuwa anahasira kwa vile wako wanaomdanganya na kujidanga eti atashinda uchaguzi. Mkakati wake ili kuficha aibu atataka kuionesha dunia hakushindwa kihalali...
Si Kuna kijana Kiongozi wenu anasema safari hii mtatumia Sindano ya Sumu kummaluza Lissu,Kama Mungu alimlinda na Risasi 30+hiyo Sumu itawarejea ninyi na kizazi chenu!
Mlimdanganya hivi hivi EL mwaka 2015, endeleeni kumdanganya hivi hivi Lissu mwaka 2020.
Jambo la muhimu baada ya 28/10 Lissu asipewe nafasi ya kutoroka nchi.
Ccm ni chama cha upinzani kuanzia 28/10Lissu anatakiwa ashitakiwe kwa yale aliyokuwa akiyafanya huko Marekani na Ulaya kabla ya kurudi hapa nchini. Yule mlinzi wake anatakiwa awe na pingu mkononi baada tu 28/10. Atiwe nguvuni akajibu tuhuma zake.
Chadema imezidi kuwa kubwa asaiv ndio chama kilichoenea zaidi maeneo mengi adi kwenye ngome za ccm mfano geita, simiyu nk.we unazani kufanya mkutano bariadi kwa chama cha upinzani ni kazi rahisi? lakini mwamba lisu kakiwasha na raia wamekubali nyie endeleeni na polojo zetu but mjue huu ndio mwisho wenuCCM haijawahi shindwa, hakitashindwa. Kama mlishindwa kukitoa kidude 2015 kwa ukawa, safari hii hakichomoki.Chama cha Mbowe kimekuwa dhaifu Sana sasa kuliko awali. JPM tano tena.
Ni juha tu atakayekipigia CCM kura. Si chama tu, hata Jiwe kama mtu binafsi hauziki na ni jiko la kufua chuki nchi nzima. Uwepo wake Ikulu yetu unapaisha hasira kubwa inayopenya mawingu kumfikia Allah ikuwa na bango "dhalimu anapotawala nchi huugua".CCM Kuna mahali nimekosea, target mbaya, maandalizi mabaya na mipango pia imekaa vibaya. Mzee Warioba alisema kwa Tundu ni mtu ambaye anazijua sana sheria kupambana naye penye haki itakuletea matatizo makubwa.
Kwa hali ilivyo sasa kuna uwezekano ulio wazi ni kwamba CCM wajiweke kisaikolojia kujiandaa na matokeo yeyote. Ukweli uko wazi CCM wananchi hawakipendi labda kwa ukongwe wake au kushindwa kutimiza ahadi zake kwa miaka 59 iliyopita.
Narudia kushindwa kwa Lissu hakuna ubishi, muhimu sasa ni kuangalia na kushughulika na yatokanayo na uchaguzi 2020.
Lissu baada ya kushindwa atakuwa anahasira kwa vile wako wanaomdanganya na kujidanga eti atashinda uchaguzi. Mkakati wake ili kuficha aibu atataka kuionesha dunia hakushindwa kihalali...
Kwanini musimpige shindano ya sumu kama munavo jinadi majukwaaniLissu anatakiwa ashitakiwe kwa yale aliyokuwa akiyafanya huko Marekani na Ulaya kabla ya kurudi hapa nchini. Yule mlinzi wake anatakiwa awe na pingu mkononi baada tu 28/10. Atiwe nguvuni akajibu tuhuma zake.
CCM itashinda bila kupigiwa kura? Kote waliko tegemea zimegeuka ngome kuu za CHADEMA. Angalia kilicho token Bariadi, Lamadi, Ukerewe, Simiyu yote na Kagera yote bado CCM wana chao tena? Mtwara na Lindi watapata kura sifuri. Mbeya ndio usiseme. Kufeni salama CCM tumechoka kuwasikia.Narudia kushindwa kwa Lissu hakuna ubishi, muhimu sasa ni kuangalia na kushughulika na yatokanayo na uchaguzi 2020.
Lissu baada ya kushindwa atakuwa anahasira kwa vile wako wanaomdanganya na kujidanga eti atashinda uchaguzi. Mkakati wake ili kuficha aibu atataka kuionesha dunia hakushindwa kihalali...
Kwanini musimpige shindano ya sumu kama munavo jinadi majukwaani
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
CCM itashinda bila kupigiwa kura? Kote waliko tegemea zimegeuka ngome kuu za CHADEMA. Angalia kilicho token Bariadi, Lamadi, Ukerewe, Simiyu yote na Kagera yote bado CCM wana chao tena? Mtwara na Lindi watapata kura sifuri. Mbeya ndio usiseme. Kufeni salama CCM tumechoka kuwasikia.