Uchaguzi 2020 CCM wajiweke kisaikolojia kujiandaa na matokeo yoyote

Lissu anatakiwa ashitakiwe kwa yale aliyokuwa akiyafanya huko Marekani na Ulaya kabla ya kurudi hapa nchini. Yule mlinzi wake anatakiwa awe na pingu mkononi baada tu 28/10. Atiwe nguvuni akajibu tuhuma zake.
Hahaaa aluuu,ccm mmeanza kupoteana.
 
Akuna kibaraka wa mabeberu anawezashinda uchaguzi,watanzania atuwezi wapa kura vijakazi vya mabeberu.
 
CCM wajiandae kiakili na kisaikolojia. Uchaguzi wa mwaka huu ni pasua kichwa. Anything anywhere can happen. Jambo la muhimu mtu atakayeshinda ashinde kwa halali.
Iwe wazi kama ilivyokuwa kwa kura za wajumbe wa CCM ngazi zote! mtu apate moja, mia nk hadharani!!Hapo mbona safi tyuuuu!
 
Yaani kuwa mgombea ndio tayari mnamhesabia kama mhalifu? eti asitoroke!!
 
Kuzungumzia CCM ya miaka 50 iliyopita ni kukosa UHALISIA WA KISIASA kwani kwa mfananisho huo, CHADEMA lazima uiache nje na usiizungumzie KABISA. Tunazungumzia CCM ya leo na CHADEMA ya leo. Kwa kufanya mlinganisho huo, kuna UHALISIA WA KISIASA. Pia kwa sasa tunazungumzia ya SASA ambayo kwa kweli yanawafanya wapinzani pamoja na Lissu kukosa hoja na kuishia kutukana na kumsikiliza na kuyasema ya Bob Amsterdam ambaye ni mnyonyaji tu na mwizi tu kama wakoloni wenzake wote. Hatimaye ni wazi kuwa CHADEMA mmeshajiweka kisaikolojia KUSHINDWA licha ya uongo na ubabaishaji mkubwa kutoka kwa wagombea wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…